Mke wa mtu amenitega...

unaoogopa nn, hata Yesu walimwita mpunga pepo na ana pepo lkn haikubadilisha ukweli

achana naye atakuambukiza magonjwa bure usijali hata akisema mbane alete ushahidi atashindwa tu, kisha utamweleza maisha yake yasivyo na uaminifu hadi haishi na mumewe, atagwaya na kukimbia

kumbuka zinaa ni dhambi kubwa inayoambatana na adhabu mara moja kama magonjwa ya zinaa, kupoteza utu wako mbele ya jamii na ukimwi
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom