..Mke wa mtu ameniota..

Ofcoz I sense he doesn't.... Ukiona mtu aki define tu sexual intercorse kama uchafu hapo kuna shida kidogo... BJ na kuzama atasema nini? Alafu eti kapata wapi funguo.... Such a small issue kama I want to be inside the home a Man I desperately need.....lol
Nahisi kama nakuona unacheza movie....:eyebrows:
 
Hivi hizo bahat mbona wengine hatuzipati? Mana naona siku zote wanaozipata ni watu wa kuzirembea, kamua wewe acha kuremba
 
Iwe perfect au imperfect kuambiwa asirudie is a MUST. Yaani kwa muktadha huo. Kama itakuwa perfect then kazi itafanyika kwa njia nyingine salama zaidi lol. (Shhhhh..... watoto wanakaribia kuamka...Mke wa Mtu umjuaye ni BOMU la Mbagala likimbie ujiokoe)

hahahaha.... ODM wewe noumar... sababu wajua if she has dared siku hio she is bound to dare hasa kama woote mmefika kunako??!!! Lmao.... Haya bana.
 
Nahisi kama nakuona unacheza movie....:eyebrows:

hahahaha..... Muulize Sweetie If and when I am determined ni to what lengths I go.... I don't care yupo kazini or a meeting.... If you know what I mean......:tongue: Yaani inabidi ajitahidi hata ajifanye aenda washroom alafu na mimi kujifanya siku hio ni zamu yangu usafi siku hio huko washroom kazini....lol
 
Hivi hizo bahat mbona wengine hatuzipati? Mana naona siku zote wanaozipata ni watu wa kuzirembea, kamua wewe acha kuremba

Sniper hapa inategemea muonekano wako.... Your attitude towards ladies na pia mazingira.....
 
hahahaha.... ODM wewe noumar... sababu wajua if she has dared siku hio she is bound to dare hasa kama woote mmefika kunako??!!! Lmao.... Haya bana.
Got me right! Na hakuna hatari mbaya kama hiyo hasa inapokuwa mme wake ni rafiki yako! Chezeya mke wa mtu?
 
uliwahi kuwa script writer wa movie?
Jaribu, unaweza ukafanikiwa sana

umenichekesha, nimekuona unavyohangaika na na magwanda ya usafi, mifagio, muwe yuko kwenye suti kali, what a scene!

hahahaha..... Muulize Sweetie If and when I am determined ni to what lengths I go.... I don't care yupo kazini or a meeting.... If you know what I mean......:tongue: Yaani inabidi ajitahidi hata ajifanye aenda washroom alafu na mimi kujifanya siku hio ni zamu yangu usafi siku hio huko washroom kazini....lol
 
uliwahi kuwa script writer wa movie?
Jaribu, unaweza ukafanikiwa sana

umenichekesha, nimekuona unavyohangaika na na magwanda ya usafi, mifagio, muwe yuko kwenye suti kali, what a scene!

we pancrease hujambo?
 
Khaa! Shem taratibu, wenzio tuko ofisini na bahati mbaya nimechomekeam shati. Ntaadhirika mbele ya watoto hapa:eyebrows:
 
Got me right! Na hakuna hatari mbaya kama hiyo hasa inapokuwa mme wake ni rafiki yako! Chezeya mke wa mtu?

Jamani ODM unatambua ni mke wa rafiki yako baada ya kulala nae kwanza?? lol... Darling shem Kumbe waweza banjuka na wake wa rafiki zako? :bolt: :bolt:
 
uliwahi kuwa script writer wa movie?
Jaribu, unaweza ukafanikiwa sana

umenichekesha, nimekuona unavyohangaika na na magwanda ya usafi, mifagio, muwe yuko kwenye suti kali, what a scene!

I am humbled dear....

Kwa kweli sijawahi, will have to consider that aisee.....
 
Ribosome still one for that visit at my home? lol

Eways B2T huyo antii ulikua humuheshimu ulikua wamsanifu...
I bet rafiki zako woote walikua wajua kua umelala nae.... Ungekua unamheshimu....

  1. Huo mbanjuko ingekua siri yako na yake daima. Usingehema kwa mwingine.
  2. Usingemtaja hapa kwa kusema "Nilikua nalilia anti" ni dhahiri ulikua humuheshim. Walau ungesema kwa heshima kua kuna anty nilikua nalala nae wakati nikiwa mdogo na nilimheshim (taking note wasema hapa sababu hatujuani)
  3. Attitude yako inaonesha ukisha lala na mwanamke heshima kwako inakufa..... Sad. Hebu toa heshima bana, sidhani kama wabandua na kuondoka nayo hadi uwe na dharau hivo... sio uwanaume huo jamani.

Narudia.... Karib nyumbani.

AD Nimekusoma,

Hili li anti ningekuwa enzi hizo najuwa sheria ningelishitaka kwa child abuse, lilianza kunipa nikiwa 16, ingawa nilikuwa balehe na tall, slim dark and handsome, lakini ilikuwa si kulala nalo. Ilikuwa ni kulila tu, si unajuwa utoto?

Kuhusu ile ya kuja kwako, nilikuuliza kama mna swing na mumeo? kama yes, nitegemee, kama ham swing, unantafutia kifo?.
 
Khaa! Shem taratibu, wenzio tuko ofisini na bahati mbaya nimechomekeam shati. Ntaadhirika mbele ya watoto hapa:eyebrows:

:A S-confused1: Shem I am confused.... Silewi ni vipi mimi kua aggressive na consistently on demand kwa Sweetie inahusiana na shati lako kuchomekwa.... Care to clarify pleeease??:nerd:
 
Sijui angekwambie amekuota mme wake amekushikisha ukuta ungekuja kuandika hapa?
 
Jamani ODM unatambua ni mke wa rafiki yako baada ya kulala nae kwanza?? lol... Darling shem Kumbe waweza banjuka na wake wa rafiki zako? :bolt: :bolt:
Siyo hivyo shem tena ntake radhi.... Ila katika mazingira haya uloyasema wewe kuna mwanaume yeyote rijali atakayeacha kufanya hayo makitu..... Hebu jisomee mwenyewe ulivyonitega....

Ok... nimekuelewa sijakusoma vizuri.... Sorry. Naomba nikuulize swali.... Leo hii unarudi kwako unakutana na mumewe anakuambia kapata safari, na unahakikisha kabisa kua mumewe kaondoka. Unarudi kwako ile uingie ndani HAMADI! Yupo kwko naked sebuleni kwako anaangalia movie with a drink in her hands... anakuna tu anakuambia "I am sorry nimekuja bila taarifa, nimeboreka peke yangu nyumbani nimeona jioni hii nii spend hapa kwako" Utafanya nini??

  1. Utaingia kusanya nguo zake na kumwambia avae na kuondoka tena kwa Ukali!
  2. Utaonesha kutojali uwepo wake (huku roho yako na biologia yako vikishangilia) kua hatimae siku imefika...
  3. Utaondoka hapo kwako ili umpigie simu kua ukute kaondoka
  4. Ama tu mara moja utavua nguo na wewe ili muweze banjuka...

Naomba nijibu kwa ukweli, tupo jamvini hapa hakuna haja ya pretense....
Ee Mungu tunusuru!:hatari:
 
Umeona eeh?? Saa ingine hata tu sura nzuri utadhani mtoto wa kike, mbaya zaidi na mapodozi juu!! lol

Ha,ha,ha,haaaaa!!Ngoja wenye sura kama tunapuliza moto ngoja tujongee kwenye "plastiki sajari" lol..!!
 
Back
Top Bottom