Mke wa Karamagi kizimbani kwa wizi...

Karamagi alimwacha Kisa lini?. Mikwara na mbwembwe zote zile za kumpora John Mongela mke?. Kama ni kweli Kisa kaachwa na Karamagi hilo ni fundisho kubwa sana kwa Kisa, maana tamaa imemzidi mwanamke huyu. Alimkimbia John na watoto kwa kufuata mihela ya Karamagi.

duh! kwa maneno mengine unasema "akome"...
 
Duh! Hata mimi nilikuwa sijapata hizi nyepesi! huyu mama ni gold digger kwikwikwi
 
Huyu KIDATU!
AMA KWELI!
NAONA UMECHOSHWA NA WANAMTANDAO KWA MWENDO WA MBELE.
PIGANENI MUKISAFISHE CHAMA KWANI KINAJIFIA ZAKE!
 
duh! kwa maneno mengine unasema "akome"...

Kwa ufupi ni zaidi ya akome, sasa sijui niseme nini naomba mnisaidie wana JF.

Kuchamba kwingi mwisho......................

Kisa ulivunja ndoa yako, ukaacha na watoto wadogo watatu sababu ya Fisadi Karamagi?. Wakati Karamagi anakutafuta na kukuambia uvunje ndoa yako ulijua kwamba Fisadi huyo ana mke na watoto kwa huyo mke wa kirusi. Kwanini ulifikiri kwako atatulia?, ama wewe unazo mbili?
 
Wekeni Picha Ya Huyo Mwanamama Anayewapelekesha Vigogo!
Lazima Atakuwa Ni Malikia Kwa Utaratibu Huu!

Huyu Kama Kweli Ana Tamaa...basi Hawezi Kumwacha Karamagi Fisadi La Nguvu Lenye Usawa Bara Bara!

Unless there is something that we are unaware of.
 
Kwa ufupi ni zaidi ya akome, sasa sijui niseme nini naomba mnisaidie wana JF.

Kuchamba kwingi mwisho......................

Kisa ulivunja ndoa yako, ukaacha na watoto wadogo watatu sababu ya Fisadi Karamagi?. Wakati Karamagi anakutafuta na kukuambia uvunje ndoa yako ulijua kwamba Fisadi huyo ana mke na watoto kwa huyo mke wa kirusi. Kwanini ulifikiri kwako atatulia?, ama wewe unazo mbili?

Makubwa!
Sasa na huyo Mrusi alimwibia kisa hiyo cell phone?
Ama kuna mengine yametupita?
Maana kama hao wanawake wanagombea mabwana wao waliouza nchi yetu..Then huu udaku wabaki nao huko na walete habari za bungeni!
Maana tumechoshwa na propaganda na sasa ni wakati wa issues!
 
Ni kwanini tuletewe habari za hao wanawake fyatu kugombea mafisadi wakati hata hatujui issue za ufisadi zitajadiliwa lini bungeni?
 
Kwa ufupi ni zaidi ya akome, sasa sijui niseme nini naomba mnisaidie wana JF.

Kuchamba kwingi mwisho......................

Kisa ulivunja ndoa yako, ukaacha na watoto wadogo watatu sababu ya Fisadi Karamagi?. Wakati Karamagi anakutafuta na kukuambia uvunje ndoa yako ulijua kwamba Fisadi huyo ana mke na watoto kwa huyo mke wa kirusi. Kwanini ulifikiri kwako atatulia?, ama wewe unazo mbili?

Kwahiyo huyo Kisa ndiye amembakizia mrusi kesi?
Hii ipelekwe kwenye UDAKU PLS.
 
Du makubwa hayo, ni kweli lakini au ni kuchafua watu tu. Huyo mama kweli alishindwa kupata hela kutoka former husband kununua cellphone na chain? Halafu vitu vyenyewe mbona ni bei poa sana????
 
Karamagi Ningekuwa Yeye Basi Hivi Visa!
Ila Ukiona Mwenzio Ananyolewa....
 
OPTION 1...

HAWA KUNA JAMBO WANAFICHA!

KWELI KIKWETE USIJE KUTA ANATAKA KUANZA KUWAZUNGUKA!
Naona PASSPORT NDIYO WALIITAKA!

Ila inawezekana hawataki kumyang'anya Passport kwasababu ya issues za ufisadi kwani bado wanasubiri bunge!

Na wakati huo huo labda mama wa watu alikuwa kwenye mipango ya kutoroka!

Usije ukashangaa ROSTAM NA YEYE ANAPORWA PASSPORT KWA WIZI WA KUKU!

OPTION 2....

Inaweza pia kuwa ni mbinu ya kusafishana ili watu wawaonee huruma na kusema kama kweli hawa ni mafisadi ni kivipi wapore cheni.
Lolote lawezekana.
Tutajua tu.

I suppose option number 2 is at work. Kikwete nayemjua mimi hawezi thubutu kuchukua option namba 1 (especially kwa huyo mu-iran
 
Karamagi Ningekuwa Yeye Basi Hivi Visa!
Ila Ukiona Mwenzio Ananyolewa....

Duu,
Ila kollosium ni hotel babu kubwa sitegemei wafanyakazi wake wawe wamepigika kiasi cha kuiba cellular phone ya 90,000, Hii habari ina habari zaidi ndani yake, zaidi ya wizi huu! subirini tu..
 
Kumbe hii ni familia ya mijizi... tutege sikio pengine punde tutasikia na mtoto wake kakwiba sehemu
 
I am having a feeling that we are not being fair to this woman. Inawezekana tunamhukumu kwa kuwa mtoto aliyemzaa anasomeshwa kwa hela za wizi, au kwa sababu aliolewa na Karamagi, au kwa sababu yeye ni mrusi, au kwa sababu yeye ni mwanamke all of which i think are unfair. Issue yake hata kama ni kweli, haina bearing kwenye kizunguzungu tulichonacho kwenye issue nzima ya ufisadi. Hata hivyo fisadi tunamfahamu labda tuambiwe kuwa huyu mwanamke alikuwa anamuendesha kwa remote control which i do not believe. Labda tungeiweka kwenye vibweka vya wakubwa..
 
... i know this woman ....sidhani kama anaweza kuiba simu ya tzs 90,000.....ile hoteli aliyoajiriwa kama manager ni ya MUSLIM JAFFER SABODO.....hawa kina sabodo mishahara wanayolipa ni mizuri tu....nadhani amekuwa BLACK MAILED for some reasons!!!!!

..kwa kuwa iko mahakamani tungoje@@@!!!....ila simply tusimuhukumu tu mtu kwa kuwa ni mgeni or like that!!
 
.......Yote msemayo yanawezekana ila tusubiri kesi itakapotajwa tena wenyekupata muda wakwenda Mahakamani waende kuifuatilia kwa kwaribu zaidi....
Wizi wa cheni yenye thamani 90000/- na simu ya 150,000/- hapa haijakaa sawa... yaani na mikataba yote ile tulio-sign london hatukupwewa ka-asante hata ya kilo 1 ili awatengenezee wake zake cheni za kueleweka!! Nahisi kuna vitu vimefichika hapa" Vita ya panzi furaha ya kunguru" waache walumbane ukweli utapatikana
 
Hivi kweli Karamagi alishindwa kumnunulia chain na cellphone vya maana huyu bibi wa kirusi? Mbona aliwahi kumpa girlfriend million 20 kufanya shopping London?!!
 
Fisadi hachagui cha kuiba, kashafundihwa kwamba akikutana na madini ya aina yoyote basi aibe tu, si unaona kaiba GOLD chain?

Like husband, like WIFE, wote ni machori tu.
 
Back
Top Bottom