Mke wa Dr Slaa avamiwa na majambazi

Status
Not open for further replies.
Dr Slaa akiwa na mkewe majira ya saa 12 jioni ya leo amevamiwa na majambazi barabarani wamefyatua risasi na kupora porch na kutoroka kwa kutumia pikipiki! Source: ITV habari ya saa 2 usiku huu.
 
Kama nimesikia sawa sawa aliyevamiwa na majambazi ni MKE wa DR Slaa, Josephine.
Kulingana na habari risasi zilipigwa na gari kukosa uelekeo nahatimaye kugonga gari nyingine mbele yake.
Polisi walifika muda mfupi baadaye na kuondoka na mama Josephine.
That is if at all my ears still hear good.
Poleni Dr Slaa and family.
 
Hawajasema kama na Dr Slaa alikuwepo. Inasemekana majambazi yalipiga risasi gari yake upande wa kushoto na likakosa uelekeo na kuligonga gari nyingine iliyokuwa mbele yake. Hapo ndio majambazi yalipompora..
 
Hao watakuwa ni magamba, wanautafuta ushahidi wa chenge kabla hajaukabithi kunakohusika. Wamthuru waone kama nchi hii itakalika
.
 
Dr Slaa akiwa na mkewe majira ya saa 12 jioni ya leo amevamiwa na majambazi barabarani wamefyatua risasi na kupora porch na kutoroka kwa kutumia pikipiki! Source: ITV habari ya saa 2 usiku huu.
mkuu Dr Slaa hakuwepo, alikuwepo mke wake pekee
 
uzembe mwingine unashangaza mno

na ndo mnataka mmpewe nchi muongoze?????????
really????????
 
pole mama ukombozi uliwaghalimu waafrika kusini kukimbia nchi na kuweka kambi morogoro
kama kuna chama magamba watajaribu kufanya huu upuuzi watakuwa wanajimaliza zaidi/kwa kasi
watanzania tumeshachoka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom