Mke wa Bob Marley alonga

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
237
Mke wa muasisi wa muziki wa Reggea, Bob Marley amesema iwapo atapata mwanamume mwenye uwezo(hakutaja ni uwezo gani), yupo tayari kuanza uhusiano wa kimapenzi na mtu huyo.

Dah, hii imekaaje?
 
last time i checked alikuwa ameolewa baada ya kifo cha bob na akazaa mtoto na jamaa anaitwa Tacky, na wakazaa mtoto anaitwa serita
sina taarifa kama ali divorce....
 
Sasa mke wa Bob si atakuwa over 60 ? si kama Siberia 'everyone knows where it is but no one wants to go there'.
 
hi itakuwa ni uwezo wa shipa tu coz kama hela si tatizo. Mzee yusuph anaweza kufaa
 
Back
Top Bottom