Mke wa balozi Daraja auawa; Mfanyakazi wa nyumbani atafutwa

03_10_r6etb9.jpg


Ambassador Andrew Daraja painfully narrating how he found his wife stabbed to death at their home in Dar es Salaam today.
Poleni sana Balozi Daraja na Familia. May God rest the soul of Mama Hanna in peace.
 
Very sad!! A lesson to learn, at least try to live with a relative (nephews, cousins, niece, etc). House boys/girls not reliable at all. Extended family members are always the best, tuache mambo ya kiulaya ulaya zaidi. R.I.P mama Hinna Daraja.
 
poleni for the sad moment of your lives!....nbut it is too early to convict the house boy as a victim for that inhuman action!...how sure are we that the boy is alive? what if he was taken somewhere and being killed so as to mislead the investigation? lets leave the matter to the police so as they can come up with the truth but for the time being lets say the woman was found dead and the boy was missing....!

Poleni sana wana familia ya Balozi Daraja.
Ni matumaini yangu balozi ni mwelewa na hivyo basi tu assume kuwa ushahidi kama vile fingerprints wenye kisu nk....Kama ulivyosema hapo juu,,hakuna sababu yoyote ya kijana huyo kutekwa ili kuvuruga ushahidi kama ni kweli walitaka pesa tu.
Ninaamini kama kulikuwa na wavamizi,na kama ni kweli walimteka kijana wa kazi,basi lengo lao lilikuwa ni kuuwa....Kama lengo lilikuwa ni pesa tu,then kulikuwa hakuna sababu ya kuondoka na kijana,so kifupi tukizingatia maneno ya Balozi Daraja mwenyewe kuwa lengo ni pesa,then tunaweza ku assume kuwa kijana ndiyo mtuhumiwa.
 
Sasa pesa kiasi gani Balozi anaweza kuziweka nyumbani kwake?? Kwani hana account za benki?Huenda hapo kuna Visasi tu vya muda mrefu...sidhani kama pesa ndo wamuue mama wa watu kikatili hivyo..Inauma sanaa

Very Deeply sorry for the Family of ambassador Daraja
 
this is in all dimensions very sad news. we continue loosing the lives of innocent citizen to unsucruplous few who are seen to be above the law. if not above the law why then all these daily deaths related to armed robbery?
 
ohh My God..Huu ni unyama mkubwa sana.Hii ishu sasa inakuwaje mtu analetwa kusikojulikana au rekodi yake haijulikani vizuri halafu anaruhusiwa kufanya kazi ktk mazingara hayo jamani?

Mungu ailaze Roho ya marehemu pema peponi.Naiombea familia ya balozi wapate faraja maana ni tukio lenye kuuma sana

si unajua kibongobongo hg,hb wanavyotafutwa,unaletewa tu
 
Pole sana Balozi na familia yote pamoja na marafiki. Mengine tuiachie Polisi kuliko kumtuhumu House Boy kwa vile haonekani ilihali hakuna mwenye kujua kipi kimemsibu.
 
polisi wanamtafuta mhudumu wa shamba, James Mabakuri (22), kwa tuhuma za kuhusika na mauaji hayo
Kuna moja ya magazeti ya leo wamesema jina limehifadhiwa ili kupisha uchunguzi wa police umalizike sasa nashangaa kuona jina limekuwa disclosed!!
 
Hapa kuna maswali mengi ya kujiuliza, ina maana walikuwa ni wanaishi watu wa3 tu katika ile nyumba? Ina maana watu wote walisafiri wakawaacha wawili ndani ya nyumba? Ina maana Balozi alipoletewa huyo mfanyakazi hakutaka kujua ametokea wapi? Ina maana Balozi hana mpishi hapo ndani kwake? ina maana aliponingia..........
 
poleni for the sad moment of your lives!....nbut it is too early to convict the house boy as a victim for that inhuman action!...how sure are we that the boy is alive? what if he was taken somewhere and being killed so as to mislead the investigation? lets leave the matter to the police so as they can come up with the truth but for the time being lets say the woman was found dead and the boy was missing....!
Inawezekana, rest in peace Mama Daraja na poleni wanafamilia kwa msiba mkubwa.
 
Poleni sana wafiwa, tunaomba sheria ichukue mkondo na waliofanya hicho kitendo cha kinyama sheria iwaadhabu ipasavyo.
 
Hi inasikitisha sana jamani.pole sana balozi na familia.jamani huyo house boy kama atakuwa anahusika atakuwa kafanya kitendo kibaya sana.huyo mama wa miaka 65 si angemfungia t huko garage yeye atafute hizo hela kama kweli alikuwa anajua kuna hela ndani.Imeniuma sana
 
Ni habari ya kusikitisha pole balozi Daraja. Kwa jinsi hali ilivyo kuna sehemu ya habari hii haiko sawasawa. NI uchunguzi tu utafunua hili.
 
Mh Balozi inabidi asaidie uchunguzi wa kifo cha mke wake! Alipopiga simu mkewe akawa hapatikani alichukua hatua gani? Huenda alikuwa anajua kilichokuwa kinaendelea! Kazi ya Polisi na uchunguzi. Poleni wafiwa kipindi cha majonzi
 
sijapenda hili la kumnyoshea kidole HouseBoy.. what if hakukimbia bali na yeye ni victim of foul play? Pia inaonekana the crime area has been heavily contaminated..
 
sijapenda hili la kumnyoshea kidole HouseBoy.. what if hakukimbia bali na yeye ni victim of foul play? Pia inaonekana the crime area has been heavily contaminated..

Halafu hilo jina la "houseboy" mimi silipendi. Halijakaa sawa kabisa...vipi kam msaidizi huyo ni mtu mzima...bado ataitwa "houseboy".....licha ya hata umri...it just doesn't sound right...

Na sijui hapo nyumbani kwa balozi walikuwa wakiishi watu watatu tu yaani marehemu mama balozi, balozi mwenyewe, na huyo msaidizi ama....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom