Mke VS Mume

NNYAMBALA

Member
Mar 3, 2011
85
12
kuna Jamaa ameoa, cku moja waligombana sana kiasi cha kutoongea.Ilipofika ucku walilala, lakini Jogoo wa Jamaa akawa anataka kupanda, shida ikawa atamwambiaje Mkewe, basi Jogoo akawa anapaluapalua, kumbe Mke naye anataka lakini ikawa ni jinsi gani ya kumwambia mumewe. Baadaye Mke uzalendo ukamshinda, akamwambia Mumewe CC ndiyo tumegombana lakini hao wenyewe hawajangomba tuwaache waendelee kucheza.
 
Back
Top Bottom