Mke ni nani? Rafiki au ndugu?

mbona umechagua maeneo machache bila ya hata ya ufafanuzi? Mke yategemea........lakini kwanza ni ndugu ........kwa sababu maandiko matakatifu yamenena......watakuwa mwili mmoja..........ni rafiki pia kwa sababu ileile.........maandiko yamenena mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako...........................................uadui kama upo unatokana na mapungufu yetu ya kiuanadamu tu..........
 
Tafsir ya mke ni very comlicated kutokana na role anayoplay kwako wewe mume,na inategemea na wakati na mazingira. Mfano usiku ni kiburudisho,akikufumania ni adui,akikupikia au kukufulia nguo ni msaidizi,akikuzalia ni mama,,akikubembeleza unapokuwa na majonzi ni mfariji,akikusaidia kimawazo ktk biashara yako au kazi yako ni mshauri wako,mkicheza pamoja ni rafiki etc.
 
Mke ni zaidi ya rafiki na pia zaidi ya ndugu na ndio maana watu wanawapenda zaidi wake zao kuliko ndugu na marafiki
 
Mke ni zaidi ya rafiki na pia zaidi ya ndugu na ndio maana watu wanawapenda zaidi wake zao kuliko ndugu na marafiki
 
mke ni shetani na hasitahili kumwmini hata siku mmoja maana ukimwamini anaona umekuwa bwenge ukimfanyia jambo zuri anaharibu, hizi ni dalili tosha za ibilisi
 
Yaan swal lime2lia sana! Mke si rafiki wala ndungu. Ktk kiapo cha ndoa mliapa kuwa mwili mmoja! sasa mke ni sehemu ya mwil wa mume!
 
Mke ni sabutimke ni matatizomke ni swaluamke ni jikomke ni pambomke ni chombo cha jikonimke ni jasiri kidogo mke ni mwikomke ni jalalamke ni fimbo ya mbalimke ni mkekaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!
 
Hakuna jibu mke si rafiki wala ndugu!
<br />
<br />
mke ni mkeo, ukitaka awe ndugu yako atakua, ukitaka awe rafiki yako atakua, ukitaka awe adui yako atakua, pia ukitaka awe mchawi wako atakua pia ni mtu tuu aamue anataka mkewe aweje

mkewe aweje
 
A Young Girl After Her
Honeymoon Came Fully
Exhausted And Tired. Her Friends
Asked Her What Happened? She
Replied: When This 70 Year Old
Bastard Told Me He Has Saved A
Lot From Last 50 Years, I Thought
It Was Money
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom