Mke ni nani? Rafiki au ndugu?

Nafikiri hii inatokana na tofauti ya kisaikolojia zaidi
kati ya mwanamke na mwanaume.

Kimsingi (primal level) kwa mwanamke kujenga
mahusiano ni muhimu wakati mwanaume kujenga
himaya ndiyo kitu muhumu.

Mwanamke japokuwa anakuwa ameolewa yeye
anauwezo waku-maltitask familia yake na ile ya
kwao, pia hupenda kuendeleza uhusiano na
familia iliyomlea kwa miaka mingi.

Kwa mwanaume kujenga mji wake ndiyo kitu
muhimu kule alikotoka mmiliki wa ile himaya ni
baba yake. Yeye akishaoa huwa hana lake kule
zaidi ya kusaidia kama kuna matatizo.
Good answer napenda watu wanye uwezo wa ku analise issue like this, nimekuelewa mkuu
 
mke sio ndugu, bt pia ni zaid ya rafiki.

...na huenda pia akawa adui mkubwa kuliko yeyote duniani.

All in all...Mke ni whole package; ...Rafiki, Mpenzi, Mwenza, Mzazi,
Mhudumu, dada, Msiri, Mama, bi Mkubwa, Ndugu nk, iwapo mtajaaliwa
kuishi vizuri iwe ni ndani ya ndoa au baada ya kuachana kwa heri.


 
Mwanamke wako ambaye ni Mkeo. Nadhani yuko kwenye position yako ww Ndo maana Maandiko Zatuambia na hao wawili c wawili tena BALI Mwili Mmoja.
 
Mkeo ni zaidi ya ndugu yako. she is supposed to be everything kwako, ni mshauri wako, ni mfariji wako, ni mwenzako ni mtu anayekujua kuliko mtu mwingine! But as long as she is still your wife..... she could be your worst nightmare!!!!!
 
A bit correction..... But as long as she remains your wife....... otherwise, she could be your worst nightmare! negation of majibu yangu ya juu mkeo ni nani!
 
Mke si ndugu yako ila watoto mliozaa naye ndo ndugu na damu yako. Mara nyingine mke anaweza telekeza mume na watoto akaishia zake kusikojulikana. Mke mara nyingi ni chanzo cha migogoro katika ndoa na familia. Hii hata Biblia inasema mwanamke mpumbavu huiharibu ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe ila hamna sehemu palipoandikwa mwanaume mpumbafu haharibu ndoa yake mwenyewe.

Pia kuna sehemu Bible inasema ni heri kukaa jangwani peke yako kuliko kuishi na mwanamke mkorofi lakini hamna sehemu iliposema kinyume chake.

Mara nyingi wake zetu wana abuse makusudi nafasi waliyopewa na kuzifanya ndoa nyingi kuwa jehanam duniani. Wanaume wengi wanapata pressure kutokana na matatizo ya ndoa.

Nina vision ya kuestablish HUSBAND ONLY RETREAT CENTRE; Mahali ambapo wanaume watakuwa wanakutana na kubadilishana mawazo na kupeana mawazo ya jinsi ya kuushinda na kuepuka migogoro ya ndoa bila kupata pressure. Itakuwa ni hosteli ya kupumzikia na wanawake hawataruhusiwa kabisa kuingia humo kwani wanaweza kuchochea chuki zaidi
 
Mke ni rafiki, si ndugu yako. Na ili ndoa iwe na furaha mnapaswa kuwa marafiki na si ndugu.
 
mke ni zaidi ya kila kitu, zaidi ya ndugu, zaidi ya rafiki.
Mke ni sehemu ya ubavu wako.
 
mke ni mwili wako hvyo jiulize mwili wako ni nini? Ila mke ni mwili wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom