ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,699
- 9,460
ngoja nikutafutie nitakuwekea usijali best
Naomba link
Naomba link
well said papaaMke ni chanzo cha matatizo. Sio ndugu yako wala rafiki yako. Ukioa tu, urafiki na washkaji unaharibika kama hauko stable. Pia undugu huvunjwa na wake zetu.
kwa mafundisho ya Leo kanisani kuwa Kuna wakati mke anakuwa nwanao WA kwanza kwa sababu atakuita babanauliza hili swali ili nipate kuelewa.