Mke ni 'kiburudisho cha mume'?

Watu mnaogopa uzee. Lol.

Utakuja tu hata mfanyeje.

Ndio maana ni vyema kujipenda si kungojea kupendwa...mtajikuta depressed mkiona makunyanzi kisa...jamaa ataniona nimechakaa.

Mi suala la kuzeeka wala halinisumbuhi...kinachonisumbua akili ni ntakuwa mzee wa aina gani...nataka niwe mama/bibi mwenye heshima na si kusifiwa uzuri tu. I want my sons to be proud of my achievements as a person sidhani kama kwao ita matter kama mama ana maziwa artificial yalosimama.

Mimi kuna wamama nawatamani kweli na wameshastahafu na mvi zao kichwani...kwangu nawaona wako sexy si kwa mvuto kwa sababu kuna walichotuachia sisi tulo nyuma yao.

Hahahaaa! Wazo zuri sana, ila wengine shule tumeenda mpaka elimu ya juu bt no kuelimika!!! LOL! Tumezoea shortcut tu, ujasiriamali ushatushinda tumebaki TUNAJASIRIAMWILI tu!!! Kazi ipo. Fainali uzeeni!
 
Ndo maana hii thread iko kama swali
nauliza watu
najua threesome kwa wabongo wengi ni taboos
but believe me
wapo watu na wengine wabongo wameanza fanya haya mambo

mmh! sijui huku kuingiza tamaduni za watu wengine kwenye zile zetu kutatufikisha wapi, yani kweli mumeo kabisa umpendae analeta mtu mwingine mfanye threesome na mke unakubali kabisa!!! umeniacha na maswali mengi sana kuliko majibu. Ya kujifunza tujifunze mengine tuwaachie wenyewe.
Mimi kwa kweli binafsi yangu huo ni mpaka mkubwa sana kwenye kumburudisha huyo mume.
 
yaani mie nashangaa tu
ya nini kujichosha na mambo mengi hivyo?

Mbona kokrochi killer inatosha kabisa?

@FP, njoo unieleweshe
Kiukweli utacheza michezo yooote uitakayo lakini asikudanganye mtu the death of kokroch itabakia haina mpinzani. Na watu wote waseme Amina.

Watu wanasahau kuwa mapenzi ni burudani na kupeana raha na wala si vita.

shangaa wewe mzee mwenzangu, hawa vijana wa siku hizi akina The Boss wanatafuta viburudisho eti................. ngoja wazee Dark City na Asprin waje hapa waseme kama hayo yote hapo wanayajua. kokrochi killer ndo yenyewe bana, mengine yote mbwembwe tu...................... objective ni moja mlima upandwe, kivipi! haijalishi

Nashukuru kwa kuutambua uwepo wangu lakini nawatakeni radhi, umri wangu hauniruhusu kujadili haya mambo ya vijana wa kisasa. Naona hata mzee mwenzangu Dark City kaingia mitini.

Ila nimestuka kitu kimoja ambacho naenda kuomba mwongozo wa kiroho. Hii makitu ya threesome ambayo hata malaya wenye heshima zao wanaogopa kukifanya utawezaje kukifanya na mkeo? Kwamba utamleta malaya aje ashee na mkeo kunako kitandani mwako kukuburudisha?? Au utamleta rafiki yako aje aungane na wewe kumlala mkeo?

Dunia imekwisha. Ngoja nirudi zangu machimboni. Huku Torabora kuna joto kali sana.
 
Tora bora kuzuri sana

Pamekufanya ukipanga umeongezeka, hapo red nakupa salute

Kiukweli utacheza michezo yooote uitakayo lakini asikudanganye mtu the death of kokroch itabakia haina mpinzani. Na watu wote waseme Amina.

Watu wanasahau kuwa mapenzi ni burudani na kupeana raha na wala si vita.
 
Wanawake wa uswahilini ndiyo wanatamka maneno hayo (eti nitakupa kila kitu) ,kwao wanaamini kitu cha maana cha kumpa mwanamme ili ampende ni K

Unafikiri ni wanawake wa uswahilini tu? Unakosea...hata wasomi. Wapo wengi wanaoamini wanaume kazi yao ni kuwapa wanayotaka mostly material stuff, halafu wao wanawapa wanaume mengine ambayo hayajaonekana. sijui ninini hayo...
 
Nadhani hapa The Boss, issue hapa ni ukweli na uwazi, 4 real nw days kumekuwa na a lot of what we call "sexual inventions and innovations" zinaleta raha ya mapenzi kwa mud mfupi tu, yaani ni so temporal, althoug may seem that much fun and sweet!!
Mfano, the threesome, the anal, sex on the beach, etc etc...........personally nazchukulia they may be fun but znaondoa the longterm couples respect, kuna vtu vingi sana vya kufanya katika tendo la ndoa visivyo na madhara ya kisaikolojia kwa wapenzi walio pamoja na wanaoheshimiana, tuwe wawazi na tuwe wakweli katika ndoa kipi ungependa ufanye na ufanyiwe na mpenzi wako for hapiness in LOVE Making, na sio KUIGA kila kitu tukionacho kwenye porn movies.
 
Last edited by a moderator:
Watu mnaogopa uzee. Lol.

Utakuja tu hata mfanyeje.

Ndio maana ni vyema kujipenda si kungojea kupendwa...mtajikuta depressed mkiona makunyanzi kisa...jamaa ataniona nimechakaa.

Mi suala la kuzeeka wala halinisumbuhi...kinachonisumbua akili ni ntakuwa mzee wa aina gani...nataka niwe mama/bibi mwenye heshima na si kusifiwa uzuri tu. I want my sons to be proud of my achievements as a person sidhani kama kwao ita matter kama mama ana maziwa artificial yalosimama.

Mimi kuna wamama nawatamani kweli na wameshastahafu na mvi zao kichwani...kwangu nawaona wako sexy si kwa mvuto kwa sababu kuna walichotuachia sisi tulo nyuma yao.
ndo hapo, najitahidi kumwelewesha mdogo wetu lara 1 kuwa mume kama anakupenda na unamzalia watoto wake sidhani kama ataona shida wewe ukiwa na hizo ngozi, si wakati anakuoa na kabla hao watoto hawajaanza kuzaliwa ulikuwa bomba!
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli utacheza michezo yooote uitakayo lakini asikudanganye mtu the death of kokroch itabakia haina mpinzani. Na watu wote waseme Amina.

Watu wanasahau kuwa mapenzi ni burudani na kupeana raha na wala si vita.

Nashukuru kwa kuutambua uwepo wangu lakini nawatakeni radhi, umri wangu hauniruhusu kujadili haya mambo ya vijana wa kisasa. Naona hata mzee mwenzangu Dark City kaingia mitini.

Ila nimestuka kitu kimoja ambacho naenda kuomba mwongozo wa kiroho. Hii makitu ya threesome ambayo hata malaya wenye heshima zao wanaogopa kukifanya utawezaje kukifanya na mkeo? Kwamba utamleta malaya aje ashee na mkeo kunako kitandani mwako kukuburudisha?? Au utamleta rafiki yako aje aungane na wewe kumlala mkeo?

Dunia imekwisha. Ngoja nirudi zangu machimboni. Huku Torabora kuna joto kali sana.

Ahsante sana mkuu Asprin kwa kutembelea pande hii!

Labda ni uzee au ujinga wangu..

Kwangu mie, mke ni kitu special kabisa...Hawezi kukupatia watoto wazuri na wajukuu halafu ukamdai vitu vya ajabu ajabu! Ni sawa na kuombe supu ya kiti moto kwa Shekh....not fair at all.

Anyway...Hiyo package ya The Boss sijawahi kuitamani na wala siihitaji....!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
mbona u make it sound kama ni man tuu ndio anauepata starehe....alafu ndio maana wananwake wanajidai na K zao
 
ndo hapo, najitahidi kumwelewesha mdogo wetu lara 1 kuwa mume kama anakupenda na unamzalia watoto wake sidhani kama ataona shida wewe ukiwa na hizo ngozi, si wakati anakuoa na kabla hao watoto hawajaanza kuzaliwa ulikuwa bomba!

Hii topic inaweza kuwa ngumu kidogo tukisahau kuwa, Mume (sina hakika na mke), haendi kucheat na mwanamke mwingine kwa sababu mkewe amechoka, au sio mzuri tena, au atakayechit naye ni mzuri zaid au vyote... Lazima tujiulize ni kwa nini siku mme akiwa hana mudi na mkewe kabisa na hata akijitutumua itachukua madakika mengi jogoo kuwika, akipigiwa simu na ka-kimeo ka nje kuwa 'njoo ule' njia nzima suruali imetuna?
 
Thank you FP

ndo hapo, najitahidi kumwelewesha mdogo wetu lara 1 kuwa mume kama anakupenda na unamzalia watoto wake sidhani kama ataona shida wewe ukiwa na hizo ngozi, si wakati anakuoa na kabla hao watoto hawajaanza kuzaliwa ulikuwa bomba!
 
Last edited by a moderator:
Kwangu nafasi ya mume wa mtu hamnaaaa! Sitaki stress za ada ya mtoto sijui, wakwe wanahitaji nauli waje, harusi ya shemeji blah! blah! blah! achia mbali risk ya kuchanwa chanwa na VIWEMBE mkifumaniwa chobingo!!!!!! Mi wangu VIJANA wasio na majukumu na Pesa ya ziada ipo ikiningoja niitumie.

Kuhusu kuwafurahisha na kuwaridhisha Wake zao ni haki kwa kweli, ukizingatia baada ya uzazi, SEXY SHAPE KUSHNEY BABUJ, Tambi tambi, nido saa nane kasorobo ya usiku, they have sacrifised a lot to start a family with you, so its fare n square UMPE EXTRA LOVE, CARE N RESPECT, Hata kama viwango vyake kwenye 6 by 6 ni F umuangalie mwanao na kumshukuru mamushka (shughuli ile ya kuleta kiumbe ni balaaaa! Nusu ya kufa)

Sio mkeo akizaa, shepu kushney unaanza kumkwepa kutoka nae out!

Mimi mume wa mtu hata iweje simpi KIDUDE for the sake of the wife!!!! Ila pesa yake naila mtanisamehe kwa hilo!.

lara 1 dada yangu unanipa raha sana...big up lakini.
 
Not always the case. Lengo la msingi kabisa la mungu kuumba ndoa ni kusaidiana katika maisha kwa ujumla. The basic objective is not only sex life although it is very important.
 
Space - time dynamics! Naamini tatizo la wanaume wengi zaidi ni hamu/desire ya "kubadili mboga" kuliko "kubadili aina ya mapishi". Wengi hawaridhiki kula "maharage" kila siku hata kama yanapikwa kitofauti kila siku....wanapenda "kuonja" aina nyingine za mboga hata kama mara nyingi hizo mboga hizo nyingine sio "tamu na salama" kwa afya kama "maharage".
 
Space - time dynamics! Naamini tatizo la wanaume wengi zaidi ni hamu/desire ya "kubadili mboga" kuliko "kubadili aina ya mapishi". Wengi hawaridhiki kula "maharage" kila siku hata kama yanapikwa kitofauti kila siku....wanapenda "kuonja" aina nyingine za mboga hata kama nyingi hizo mboga hizo nyingine sio "tamu na salama" kwa afya kama "maharage".

Hilo ndilo tatizo la wengi wetu...Tunataka kuwa wajasiriamali katika kila kitu bila kujali kwango cha risk....lol!!

Tunasahau kuwa vitu vingine haviwezi kufanyiwa majaribio kwa sababu vimekidhi viwango tayari...
 
Noana watu wote wamekana ni taboo kujihusisha mambo haya.
Hivi kweli, hakuna watu wa ndoa wanaotafuta mipango ya kando kwa ajili ya manjonjo kama haya?
 
Mimi naamini Background na relationship zenu kwenye mambo ya kujamiiana yana mater sana!
-Kama historia ya mahusiano yenu yanaonyesha mlianza na utundu wote kunako 6x6, itaeendelea tuu
-Na kama asili yenu mlichukuana kiheshimaheshima, kwenye game itakuwa hivyohivyo hata mipaka itakuwepo.
ingawa kuna mambo mengine hujitokezaga wakati tayari mko kwenye uhusiano (eg.position, sexual behaviour)
 
Back
Top Bottom