Mke ni 'kiburudisho cha mume'?

nyumba kubwa, hata kama unapita naked kila siku.

Huoni tofauti ukiongeza vionjo vya ka muziki mororo huku unasaula ka blauzi tupa kule, mara kisketi umerusha angani.

Unabaki ba vijiguo viwili, unamchezea tentemente mara ki bra umemrushia na mara kinguo cha mwisho sakafuni.

Nafikiria tu kwa sauti
AWESOME...:yo:
 
Tuwe realistic bana....ni stripe mi najiuza? Hivi ataanzia wapi kuomba ni stripe wakati am always naked while in bed????

Haya mambo kama hamkuanza mkiwa lovers ni ngumu kuya introduce ndani ya ndoa. si kila kitu cha kujifunza bana.

Inakuwa too artificial...

Najua kuna wanaofanya lakini si kwa kuombwa ni kwa kuwa wana vi element vya ukomedi.

Si wengine hata kucheza show hatujawahi. Lol.. Iwe stripe dance.

Kama kucheza basi tucheze wote si mie ndio niwe kideo.

Nimekukubali Ukubwa dawa, Ujana Maji ya Moto!!!!
 
nyumba kubwa, hata kama unapita naked kila siku.

Huoni tofauti ukiongeza vionjo vya ka muziki mororo huku unasaula ka blauzi tupa kule, mara kisketi umerusha angani.

Unabaki ba vijiguo viwili, unamchezea tentemente mara ki bra umemrushia na mara kinguo cha mwisho sakafuni.

Nafikiria tu kwa sauti
ha haaaaaaaaaaa, kama nakuona Kongosho na dance yako, lol! ngoja niamke mie nianze kujifunza dance, you never know, kesho naweza kabidhiwa funguo za PRADO
 
Last edited by a moderator:
Hivi unajua wanawake wanaojisifu kuyajua mambo ndio wanaoongoza kwa kutwangwa talaka...tafakari.

Hakuna uhusiano kati ya uaminifu...ndoa kudumu na style za love making. Kuna mama aliamua kutoa tigo baada ya kumuuliza mmewe kinachomtoa nje ya ndoa nini akamwambia wenzio huko nje wananipa tigo...

Kweli mume katulia...baada ya miezi kadhaa kaanza tena kwenda nje...kuulizwa tena kulikoni..mbina tigo nakupa...unajua kajibiwa nini...pameshalegea.
Hii niliipata kwenye website moja kama true story.

I am myself...siumizi kichwa kabisa...nafanya vitu vilivyo ndani ya uwezo wangu na ninavyo enjoy doing.
 
Cost ya baby dady ofcourse, ikishindikana yangu wenyewe! LOL! Shosti kitamnadani unalala na braaaa? Afu mi yangu madogooo, sasa nawaza yakisinyaa baada ya kunyonywa si itabaki NGOZI inaninginia? Nyie mliojaaliwa ndo bra zinawafaaa!
lara 1 hapo kwenye RED umenifanya nicheke mpaka nitoe machozi, lol! watu wana maneno? hizo ngozi uziwekee na sponji, kuna bra zina sponji mbona! wala usikonde. kuyu hubby itabidi azizoee tu
 
Last edited by a moderator:
Hivi unajua wanawake wanaojisifu kuyajua mambo ndio wanaoongoza kwa kutwangwa talaka...tafakari.

Hakuna uhusiano kati ya uaminifu...ndoa kudumu na style za love making. Kuna mama aliamua kutoa tigo baada ya kumuuliza mmewe kinachomtoa nje ya ndoa nini akamwambia wenzio huko nje wananipa tigo...

Kweli mume katulia...baada ya miezi kadhaa kaanza tena kwenda nje...kuulizwa tena kulikoni..mbina tigo nakupa...unajua kajibiwa nini...pameshalegea.
Hii niliipata kwenye website moja kama true story.

I am myself...siumizi kichwa kabisa...nafanya vitu vilivyo ndani ya uwezo wangu na ninavyo enjoy doing.

yaani wewe unamfanya Lara1 aonekane wa uwanja wa fisi hapa lol
 
raha ya hapo kwenye red vitu unavyoinjoi kuvifanya utavifanya kwa ufasaha............, maximum satisfaction
 
Umenifanya nicheke kwa nguvu.

Si wa uwanja wa fisi. Lara1 ni new generation...siwezi kushangaa akifanya yote ingawa nimefurahi ana morals (si mtu wa tigo wala kutembea na waume za watu). Na amefanya nizidi kumpenda bure.

Unajua The Boss haya mambo yana u komedi fulani ndani...nina dada yangu kanizidi miaka 7 lakini ni comedian kweli kweli...na anamfanyia mumewe vitu ambavyo mi siwezi fanya in public...Yani mlio karibu ndio mnatafuta uchochoro kwa kuona aibu kwa niaba.

Ndio maana nikasema inategemea, kwa sisi ambao hata kucheza show mbele za watu hatujawahi myakuwa mnatuonea.

yaani wewe unamfanya Lara1 aonekane wa uwanja wa fisi hapa lol
 
ha ha haaa yaani nimecheka, ati uwe kideo, dah! nimependa sana mchango huu.
they say penye nia pana njia kwaiyo wenye nia na wanaoona wanayaweza njia mojawapo ni hizo...:lol:

kwani mke si kideo cha mume and vice versa ?
 
Umenifanya nicheke kwa nguvu.

Si wa uwanja wa fisi. Lara1 ni new generation...siwezi kushangaa akifanya yote ingawa nimefurahi ana morals (si mtu wa tigo wala kutembea na waume za watu). Na amefanya nizidi kumpenda bure.

Unajua The Boss haya mambo yana u komedi fulani ndani...nina dada yangu kanizidi miaka 7 lakini ni comedian kweli kweli...na anamfanyia mumewe vitu ambavyo mi siwezi fanya in public...Yani mlio karibu ndio mnatafuta uchochoro kwa kuona aibu kwa niaba.

Ndio maana nikasema inategemea, kwa sisi ambao hata kucheza show mbele za watu hatujawahi myakuwa mnatuonea.

Naelewa your point of view
sasa hapa ninachouliza ni ile hali ya wanaume kufikiri kuwa
'nikimwambia wife anipe lap dance nitamvunjia heshima'kumbe na wife labda
anasema 'mume wangu akiniambia nimfanyie lap dance sina tatizo'
umecheki?
 
Muanzisha huu uzi unavituko wewe....
Hivi kweli mume ampendae mkewe kwa dhati ata suggest mfanye threesome kweli? mana mi najiuliza nikiambiwa tufanye hicho kitu nitadua aje? nahisi nitazimia gafla.
Mi mume wangu nampenda kufa lakini akileta tu hizo sijui za threesome sijui tigo ndio itakuwa chachu ya kushusha kiwango cha mapenzi yangu kwake. Hayo mengine mbona tutafundishana wote tu, mana akisema nifanyie sijui lap dance nitamwambia sawa baba ila nionyeshe kwanza kwa vitendo...lol
 
lara 1 hapo kwenye RED umenifanya nicheke mpaka nitoe machozi, lol! watu wana maneno? hizo ngozi uziwekee na sponji, kuna bra zina sponji mbona! wala usikonde. kuyu hubby itabidi azizoee tu

Hahahaaaa! We nicheke tuuu! Hata mimi nikiwazaga nachekaga kwa masikitiko, sponch itasaidia ndani ya nguo, ila kimbembe 6 by 6, kifuani NGOZI TUPU, anajilazimisha kunyonya ngozi!!! LOL! Usije kujikojolea kwa kucheka!!!!
 
yaani hii post ningeisoma dakika 2 zilizopita ningejikojolea, lol!
waume huwa waelewa bwana, wala hatakunyanyapaa, hiyo ngozi atainyonya hivyo hivyo huku anapiga kelele
 
Muanzisha huu uzi unavituko wewe....
Hivi kweli mume ampendae mumewe kwa dhati ata suggest mfanye threesome kweli? mana mi najiuliza nikiambiwa tufanye hicho kitu nitadua aje? nahisi nitazimia gafla.
Mi mume wangu nampenda kufa lakini akileta tu hizo sijui za threesome sijui tigo ndio itakuwa chachu ya kushusha kiwango cha mapenzi yangu kwake. Hayo mengine mbona tutafundishana wote tu, mana akisema nifanyie sijui lap dance nitamwambia sawa baba ila nionyeshe kwanza kwa vitendo...lol

Ndo maana hii thread iko kama swali
nauliza watu
najua threesome kwa wabongo wengi ni taboos
but believe me
wapo watu na wengine wabongo wameanza fanya haya mambo
 
Naelewa your point of view
sasa hapa ninachouliza ni ile hali ya wanaume kufikiri kuwa
'nikimwambia wife anipe lap dance nitamvunjia heshima'kumbe na wife labda
anasema 'mume wangu akiniambia nimfanyie lap dance sina tatizo'
umecheki?
hapa sasa linakuja lile swala letu muhimu la urafiki ndani ya ndoa. mpo free kiasi gani katika maongezi yenu? maana hapa panaanzia kwenye maongezi yenu ya kila siku. kama kila siku stori zenu za watoto wameshindaje? kesho nitampeleka kachiki kununua viatu, Ijumaa kadoda ana sindano ya chanjo...........
yaani hakuna stori zinazowahusu nyie stori zenu ni za kuhusu watoto na ndugu tu unafikiri mume ataanzia wapi kukuambia?
 
Watu mnaogopa uzee. Lol.

Utakuja tu hata mfanyeje.

Ndio maana ni vyema kujipenda si kungojea kupendwa...mtajikuta depressed mkiona makunyanzi kisa...jamaa ataniona nimechakaa.

Mi suala la kuzeeka wala halinisumbuhi...kinachonisumbua akili ni ntakuwa mzee wa aina gani...nataka niwe mama/bibi mwenye heshima na si kusifiwa uzuri tu. I want my sons to be proud of my achievements as a person sidhani kama kwao ita matter kama mama ana maziwa artificial yalosimama.

Mimi kuna wamama nawatamani kweli na wameshastahafu na mvi zao kichwani...kwangu nawaona wako sexy si kwa mvuto kwa sababu kuna walichotuachia sisi tulo nyuma yao.

Back
Top Bottom