Mke: Natafuta mchumba/mke yaani ninahamu kweli ya kumiliki

Mwanamke mwenye sifa hizo kaka hayupo mungu hatoe vyote unapaswa umuombe akupe mke mwema.

Mama Big siamini na siwezi kuamini uumbaji ni wa Mungu! Mungu anavyo vya aina yote!
 
Katika neno la Mungu linasema: Inuka uende ule na uishi pamoja na mke umpendaye maana hakuna kitu kingine kimapchofuraha mwanadamu katika dunia hii! Njoni tusemezane nielezeni haja zenu mpate kupewa haki yenu! CPU nikioa mwanamke ambaye hajafikia kiwango cha moyo unavyotaka itaenda? Elewa pia hata kwa Mungu warembo wapo na wanachati na Mungu haswaaaa na kinaeleweka!
Then hata mke mrembo naye anaweza kutoka kwa Bwana si wote waliowarembo wao ni wa shetani au hawatoki kwa Bwana!

Masuala ya kufahamiana yapo tu kwani sipeleki mahari moja ka moja kuna process nyingi so kitaeleweka tu hapo katikakti! Kingine pia bwana CPU Mke aliye wako na haswa mwenye sifa nilizozipa kipaumbele lazima tu ataniona katika ulimwengu wa Roho kwani ADAMU ALIPEWA MUDA GANI WA KUFAHAMIANA NA HAWA? huoni kuwa just alijikuta akisema huyu ni ubavu wangu...... cha Mungu is directly not need more akili ya Mwanadamu!
Wabeja!

Wale wanao ongozwa na Roho wa Mungu hao ndio wana wa Mungu!!
Swali la kizushi!! Je ni Roho wa Mungu amekuongoza ulete tangazo hapa???
 
NAONA UMEDHAMIRIA KWELIKWELI! ILA WADADA WA jf KUWENI MAKINI NA MTU HUYU! WENGI WAMETUMIA KIVULI CHA MUNGU ILI KUFANIKISHA UDHALIMU WAO!

Hata aliyeua mtu guest kwa mtindo ambao ni wa kimapenzi KUNA MALIPO YAKE MUNGU AMEYAANDAA! Trust God he will lead you!
 
Wale wanao ongozwa na Roho wa Mungu hao ndio wana wa Mungu!!
Swali la kizushi!! Je ni Roho wa Mungu amekuongoza ulete tangazo hapa???
Samahani sitaweza kujibu swali lolote la kizushi kwani Mungu hapendi uzushi!
 
Samahani sitaweza kujibu swali lolote la kizushi kwani Mungu hapendi uzushi!

Ok!! Nisamehe kwa hiyo lugha niliyotumia hapo!! Ila naomba kukuuliza tena, Wale wanaongozwa na Roho wa Mungu hao ndio wana wa Mungu!! Je Roho wa Mungu amekuongoza uweke tangazo hapa?
 
Katika neno la Mungu linasema: Inuka uende ule na uishi pamoja na mke umpendaye maana hakuna kitu kingine kimapchofuraha mwanadamu katika dunia hii! Njoni tusemezane nielezeni haja zenu mpate kupewa haki yenu! CPU nikioa mwanamke ambaye hajafikia kiwango cha moyo unavyotaka itaenda? Elewa pia hata kwa Mungu warembo wapo na wanachati na Mungu haswaaaa na kinaeleweka!
Then hata mke mrembo naye anaweza kutoka kwa Bwana si wote waliowarembo wao ni wa shetani au hawatoki kwa Bwana!

Masuala ya kufahamiana yapo tu kwani sipeleki mahari moja ka moja kuna process nyingi so kitaeleweka tu hapo katikakti! Kingine pia bwana CPU Mke aliye wako na haswa mwenye sifa nilizozipa kipaumbele lazima tu ataniona katika ulimwengu wa Roho kwani ADAMU ALIPEWA MUDA GANI WA KUFAHAMIANA NA HAWA? huoni kuwa just alijikuta akisema huyu ni ubavu wangu...... cha Mungu is directly not need more akili ya Mwanadamu!
Wabeja!

Ndugu, unataka MKE MWEMA au unataka MKE WA KUSUUZA MOYO WAKO???
Mke mwema aliyetoka kwa Bwana ana Urembo wa Roho Mtakatifu na Neno la Bwana na sio Urembo huu wa kidunia. Au sema wazi unataka awe mrembo wa mapodozi.
Kipindi cha Adamu na Hawa kulikuwa na wanadamu wangapi??? Je ni sahihi kufananisha na kipindi hiki cha wanadamu wengi??
 
katika neno la mungu linasema: Inuka uende ule na uishi pamoja na mke umpendaye maana hakuna kitu kingine kimapchofuraha mwanadamu katika dunia hii! Njoni tusemezane nielezeni haja zenu mpate kupewa haki yenu! Cpu nikioa mwanamke ambaye hajafikia kiwango cha moyo unavyotaka itaenda? Elewa pia hata kwa mungu warembo wapo na wanachati na mungu haswaaaa na kinaeleweka!
Then hata mke mrembo naye anaweza kutoka kwa bwana si wote waliowarembo wao ni wa shetani au hawatoki kwa bwana!

Masuala ya kufahamiana yapo tu kwani sipeleki mahari moja ka moja kuna process nyingi so kitaeleweka tu hapo katikakti! Kingine pia bwana cpu mke aliye wako na haswa mwenye sifa nilizozipa kipaumbele lazima tu ataniona katika ulimwengu wa roho kwani adamu alipewa muda gani wa kufahamiana na hawa? Huoni kuwa just alijikuta akisema huyu ni ubavu wangu...... Cha mungu is directly not need more akili ya mwanadamu!
Wabeja!

mkuu unatuchanganyia habari hapa: Angalia red colour: Sasa watafuta nini hapa ulimwengu wa jf? kwanini msisubiriane huko ulimwengu wa rohoo??
 
Ok!! Nisamehe kwa hiyo lugha niliyotumia hapo!! Ila naomba kukuuliza tena, Wale wanaongozwa na Roho wa Mungu hao ndio wana wa Mungu!! Je Roho wa Mungu amekuongoza uweke tangazo hapa?
Mtaongozwa na Amani the same to what you asked! Yes full of peace
 
Ndugu, unataka MKE MWEMA au unataka MKE WA KUSUUZA MOYO WAKO???
Mke mwema aliyetoka kwa Bwana ana Urembo wa Roho Mtakatifu na Neno la Bwana na sio Urembo huu wa kidunia. Au sema wazi unataka awe mrembo wa mapodozi.
Kipindi cha Adamu na Hawa kulikuwa na wanadamu wangapi??? Je ni sahihi kufananisha na kipindi hiki cha wanadamu wengi??
Wewe wasema!
 
Mtaongozwa na Amani the same to what you asked! Yes full of peace

Sio kila amani inatoka kwa Mungu, amani ingine inatokana na nafsi zetu wenyewe na ingine inatoka kwa yule mwovu. Sasa wewe uajua je kama amani uliyo nayo ni ya Mungu??
 
You are welcome!

Hizo sifa ulizoweka ni za wanawake wanaouza miili yao, i.e. mwanamke wa kuolewa hawezi kuwa na robo ya hizo sifa!!!
Watu mnashangaza kweli!Sifa gani hizo zisizopatikana kwa wanawake wasiojiuza?Uzuri wa sura?Umri 21-24?Elimu ya kuanzia form4?Kama hupendi thread ya mtu ni bora kuipotezea kuliko kuandika uzushi!Kuna wazuri wangapi wametulia na waume zao..na wengine wapo wanasubiria kuwapata!!
 
Mara sijui mrembo ni wakusuuzia moyo!Mwenyewe ameshasema anataka atakaeuridhisha moyo wake!Sasa mnataka abebane na mtu asiye mridhisha kisa?Wengine mnauliza kwanini aweke tangazo JF wakati anataka mke mwema!Kwani hao wake wema wanashushwa kutoka mawinguni au wanakutanishwa tu popote?Mnajuaje kama hayupo hapa?Nyie wadada wote mnaokandia hamwezi kua mke mwema kwa mtu?MTAFUTAJI USIKATISHWE MOYO KISA UMEWEKA VIGEZO AMBAVYO HAVIJAWAFURAHISHA!KAMA YUKO HAPA UTAMPATA TU!KILA LA HERI..USISAHAU MAOMBI!
 
JF ingekuwa na watu wenye mitazamo mizuri na yenye maana na heshima kama ya Lizy tungekuwa mbali sana! Asante dada yangu! Wabarikiwe watoao majibu yasiyo na maana huku wengine hata hawajavuka mto!
 
You are welcome!

Hizo sifa ulizoweka ni za wanawake wanaouza miili yao, i.e. mwanamke wa kuolewa hawezi kuwa na robo ya hizo sifa!!!

Saiamini kile unachosema! Unapoona mlango hakuna au ni mdogo ndipo Mungu alipoweka njia safi ya kupitia ndiyo maana bahari ikapasuka! God blesses
 
Sio kila amani inatoka kwa Mungu, amani ingine inatokana na nafsi zetu wenyewe na ingine inatoka kwa yule mwovu. Sasa wewe uajua je kama amani uliyo nayo ni ya Mungu??
Hakuna Amani kwa shetani dada yangu! shetani angekuwa na amani basi Libya pasingekuwa na vifo vya namana hiyo! uSIDANGANYWE NA MTU kama unaijua amani HAKUNA AMANI YA SHETANI! Tofautisha sana Amani, Imani, Furaha, Tamaa, Hamu nk
 
Jamani wanaJF,
a) Wanaopenda kukandia karibuni
b) wenye nia njema karibuni saaaana!

Lengo
Natafuta mchumba aliyekamili na tayari kwa ajili ya ndoa Sifa:
i. Mlokole wa kweli
ii. Kati ya 21 hadi 24
iii. Akiwa mweupe ni extra sifa
iv. Awe na shule kuanzia FM4 na kuendelea
v. Awe na kazi/uchumi asiwe golikipa.
vi. Siyo siri napenda awe mrembo tena haswaaaaaaa!
vii. Awe tayari kufahamiana namimi kwa kina NGONO KABLA YA NDOA HAIPO!

Sifa za Zinazopewa kipaumbele.
i. Ulokole wa kweli
ii. Maono ya kumtumikia Mungu
iii. Idea ya kuwa Mama Mchungaji

Nb: Napatikana central Tanganyika! Nami pia najishughulisha na uchumi. Sifa zingine zote nitakupa baada ya kuwasiliana at the first time! Niandikie email: dmadulu@yahoo.com SHETANI HANA NAFASI HATA KAMA NI KWA LIPI, MUNGU MAPENZI YAKO NA YATIMIZWE!

mkuu hongera kwa idea yako nzuri na maono yako.
ktk kutafuta kwako aliyekamilika fahamu akuna aliyemkamilifu ata mmoja namaanisha na ww. unaitaji asiyekamilika ili akamilishe yale mapungufu yako.
kuhusu mlokole wa kweli cjui unakipimo gani kwani kila mlokole ni mlokole wa kweli na usisahau wokovu ni siri ya mtu na mungu ata shetani anauwezo wakuwa mlokole safi.
unahitaji mungu kwani mungu tangu ampe adamu mke na mke alipokosea adamu akamwambia mungu ni huyu mke ulonipa, mungu akasema mtu na atafute mke ndio mana bibilia inasema apatae mke apata kitu chema na kibali mbele za mungu so kunakutafuta na hili lakutokujuana ucpokuwa makini utabeba kimeo mfano kama ulompenda anajinsia mbili na ww ukutaka kuchunguza tangu mwanzoni utafanyaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom