mke mwema(kwa wanaume tu)

Mke mwema anatoka kwa bwana. Kwahiyo ukitaka mke mwema ni vema ukasubiri/kutafuta aliyetoka kwa bwana, yaani aliyeachika. Hapo ni full maexperince, na hakuna kweeeeere!
 
Hiyo si dawa ya kumfanya mwanaume hasitoke nje ya ndoa, kutoka nje ya ndoa ni huruka ya mtu mwenyewe, hata kama mke anakutimizia kila kitu mume anayetakiwa kutimiziwa na mke, lakini kama huna huruka ya kucheza game za nje bado utaendelea kuzicheza tuuuuuu.
 
mi kweli kwamba mwanaume anapopata mke responsible,anayejua majukumu yake na kuyafanya,kumpenda mume wake na watoto wake, na nduguze ni dawa kumfanya mume awe mume mwema na ikiwezekana kutokutembea nje?

Jibu ni ndiyo na hapana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom