Mke mwema hutoka kwa BWANA?

..hao wengine sio mungu huyo huyo amewaumba???
...mke mwema na sie mwema wote wanatoka kwa BWANA...lol

kiukweli mnasahau hio check-list inatwakiwa iwe na vitu vyote...wema included!..mapozi,sura nzuri na wema pia...lol

Roselyne, wanawake wote wametoka kwa Mungu. Ila yule anayefaa kuitwa mke mwema ni yule tu aliyekabidhi njia zake kwa Bwana!!!
Huyo ndiye watu wa nyumbani kwake wanamwita heri...

Wema=noble character inacontain within it mapozi, usafi, etc.
**Vitu kama sura na maumbile ni subject to the beholder's eyes!
 
Mwanaume wa kuitwa heri nyumbani kwake ni huyu...

Proverbs 20:6-7 (New International Version)

6 Many a man claims to have unfailing love,
but a faithful man who can find?
7 The righteous man leads a blameless life;
blessed are his children after him.
 
mkuu mada yako ni muhimu sana mm bado natafuta mke mwema na ninahamini mwema anasifa zote mpaka ambazo ujaandika hapo mkuu kulingana na mithali 31 ukimpata huyo loh utafuraia maisha kwa kiwango cha juu
 
Hongera mkuu...endelea kutafuta!
ila meanwhile, make sure nawe ni mume mwema...
 
mmh.. kwa hiyo mke mwenye sura ya utata hawezi kuwa mwema?

Hakuna sura ya utata bali ni picha tunazojaribu kutengeneza. Na hakika macho hayawezi kuona kwa ufasaha. Je, ni nani awezaye kuiona sura nzuri ya mme ama mke akashiba hata kama hakuna chakula? Je, chakula cha gizani kina macho?
 
Mke mwema kwa kizazi cha sasa ni subjective (yaani inategemea huyo anayesema mke wangu nimwema anaangalia kutoka upande gani). Mke mwema kwa Mtu x sio lazima awe mwema kwa mtu y au kundi la watu. Mke mwema kwa vigezo vya Mungu ni Universal. Cha msingi kabla ya kuoa chagua mtu (mke) ambaye ana hofu na Mungu (a God fearing person). Ambaye kabla ya kutenda jambo anajiuliza hili mbele Mungu na wanadamu likoje (lina impact gani). Kabla ya kusema jambo anajiuliza effects zake. Ili umpate mtu (mke) wa aina hiyo lazima na wewe upitie vigezo hivyo hapo juu kwa sababu jambo unalopenda utendewe ni vizuri zaidi ukilitenda pia kwa wengine. Jifunze kuwa a responsible husband and a responsible father, hapo utapata a responsible wife and mother. Ni matumaini yangu kuwa utampata mke mwema naye atapata mme mwema

Heshima mbele wakuu.
 
Very well said mkuu..THANKS once more!
 
Kwa kweli hapa patamu.na mume mwema je?
Nikiwaza kwa sauti juu ya jibu la swali lako hapo juu, nafurahi manake na wewe jibu unalifahamu. Jibu lipo katika user name yako, hii ni kama unaamini juu ya Gender Issues. Wote tunahitaji kuwa wema kwa wenzetu.

Hata hivyo hii haijanizuia kutafakari zaidi juu ya why mke mwema na sio mume mwema au wenza wema? Tangu mwanzo wakati wa uumbaji mwanamke alipewa jukumu la kuwa msaidizi wa mwanaume, naamini hii ndo sababu kubwa ya msaidizi huyu kutakiwa kuwa na tunu hiyo ya wema ili atoe usaidizi wa uhakika. Ndo maana wansema "behind a successful man there is a woman behind" hata hivyo huyo mwanamke lazima na yeye apewe sifa ya kuwa "successful" hata zaidi ya mwanaume, ili huyo mwanaume awe successful, manake huwezi toa kitu usichokuwa nacho.Hata wewe nikikuuliza je ungependa kuwa na msaidizi ambaye si mwema, mwaminifu, n.k?

Lakini nyakati hizi za "Gender issues" mwanaume anapaswa kuwa tayari kupokea msaada (sio material things, ni mawazo, ushauri, maelekezo, n.k) kutoka kwa msaidizi wake huyo ambaye ni mwanamke, hiyo tunu ya kupokea msaada huo kutoka kwa mwanamke ambaye ni msaidizi wake lazima iambatane na wema, utu, utii, unyenyekevu, masikilizano, n.k bila hayo huwezi kupokea msaada huo hata kama ni wa muhimu kiasi gani. Hii itapelekea kwenye udikteta wa kimawazo katika familia, na hakutakuwepo na mke wala mme mwema. Naamini mwanaume aliye tayari kupokea msaada kutoka kwa msaidizi wake (mwanamke ) lazima atakuwa mme mwema.

Nitarudi kuendelea.
 
Well.. I'm still searching!!! Wakati mwingine nafikiria nimempata and I get all elated and euphoric to find out.. she has everything else but 'THAT' ..
MM...yaani nilidhani wewe ni mkongojo unatembelea..kumbe..
au, unaye ila si mwema sasa unatafuta bado..!???
wich is wich!??
 
MM...yaani nilidhani wewe ni mkongojo unatembelea..kumbe..
au, unaye ila si mwema sasa unatafuta bado..!???
wich is wich!??

jamani wengine ndiyo tuko kama kina George Clooney.. mvi zinaingia bado tunatafuta kila tunapofikiria tumepata tunakuta si "wema"..
 
Huyo mke mwema mpaka atoke kwa bwana yahitaji mchakato.
Je wewe mwenyewe u mwema kiasi gani?
Ukiwa mbaya ujue kuna uwezekano mkubwa kupata mke asiye mwema maana birds of the same feathers flock together.
Ikiwa wewe mwenyewe kutwa kuchwa unashinda grocery ukilewa, unatembelea mitaa iliyo tata, huendi kwenye ibada, unategemea mke mwema ukutane naye wapi ndugu yangu?
 
jamani wengine ndiyo tuko kama kina George Clooney.. mvi zinaingia bado tunatafuta kila tunapofikiria tumepata tunakuta si "wema"..
haha..love the excuse!
sasa umri huo si niafadhali uache kabisa!??
unatafuta mwema wa nn tena??!
 
jamani wengine ndiyo tuko kama kina George Clooney.. mvi zinaingia bado tunatafuta kila tunapofikiria tumepata tunakuta si "wema"..

Kila mke mwema ni wa mume mwema. Kama hujapata mume mwema basi ujue wewe sio mume mwema. You have to do something needful ili kupata mke mwema.

The more you look for mke mwema, the more unlikely you are mume mwema.
 
"mke mwema,ni nani awezaye kumwona?maana kima chake chapita kima cha marijani...afanana merikebu za biashara.Huleta chakula chake kutoka mbali...Huamka kabla haujaisha usiku,huwapa watu wa nyumbani mwake chakula...Mumewe na humsifu na kumuita heri...Binti za watu wamefanya mema,lakini wewe umewapita wote" MITHALI SURA YA 31
Kutokana na manukuu hayo,utaona kuwa biblia inamwangalia mke mwema kutoka na tabia,matendo,kumcha BWANA.Biblia haisemi mke MREMBO,MZURI,UMBO NAMBA 8,nk.Aidha,ni kwa sababu sifa hizo ni ni subjective kutokana na mtizamaji.Mke anaweza kuwa mrembo kwa mwanaume mmoja lakini kwa mwanamume mwingine asiwe mrembo.Lakini sifa za mke mwema,kama zinavyoainishwa kinagaubaga katika kitabu cha mithali,sifa hizi ni UNIVERSAL,Kama vile kuchangia pato la familia,nk.Ndo maana ,mstari wa mwisho wa MITHALI 31,unasema mume humsifu kwa kusema :"Binti za watu WAMEFANYA mema,lakini wewe umewapita wote".Gundua nimeweka mkazo kwenye maneno WAMEFANYA kwa lugha nyingine angesema WAMETENDA.Hii ni ithibati kuwa WEMA wa mke kwa minajili ya vitabu vitakatifu hutokana na KILE ANACHOFANYA ,naam,MATENDO.
 
Kila mke mwema ni wa mume mwema. Kama hujapata mume mwema basi ujue wewe sio mume mwema. You have to do something needful ili kupata mke mwema.

The more you look for mke mwema, the more unlikely you are mume mwema.

you know what.. you are probably very right.. on the other hand.. Biblia haisemi juu ya mume mwema anatoka wapi! It looks like you will recognize him when you meet him..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom