Mke,mke,mke

We sema unatafuta sugar mammy. Kwanini awe mweupe kwani kwenu wote ni weupe? Angalia utatwishwa mkorogo ugundue ushachelewa tena umesema uko Moshi! Haya kaka kazana maana Yethu huko watu wanatumia mindoo ya mikorogo. Ndoo za mbege zimegeuka za mikorogo.
 
We unataka wa kukulea maisha ya mjini yamekushinda wewe una miaka 30 halafu unataka 35-45 maana yake ni kwamba unataka mtu mwenye kazi yake na maisha yake kwa ujumla.Tafuta vyako maana vya bure navo ghalama yake ni kubwa sana
 
Mwenzangu alimeze tu hilo jibu
(mi wa vijana wa hivi wananichefua sana)
 
jamani nahitaji mke awemweupe mnene mrefu.asiwe na maziwa makubwa elimu yoyote awe na kipato chochote.awe na umri miaka 35-45 mimi nina miaka 30,mrefu wastani,mnene kidogo mimi ni mfanyabiashara ninaishi mkoani moshi.Aliyeteyari tuwasiliane (stevenmakoi@yahoo.com)

Kwa wanawake wa range hiyo maana yake wengi ni wake za watu au wajane na kama hajaolewa atakuwa na mali au fedha!!! Sema wazi unatafuta sugar mammy wa kukulea wewe maana wewe ni Mario!!1 Miaka 45 kwa 30 means ni kama mama yako aliyekuzaa akiwa na miaka 15!! Shame on you!!
 
jamani nahitaji mke awemweupe mnene mrefu.asiwe na maziwa makubwa elimu yoyote awe na kipato chochote.awe na umri miaka 35-45 mimi nina miaka 30,mrefu wastani,mnene kidogo mimi ni mfanyabiashara ninaishi mkoani moshi.Aliyeteyari tuwasiliane (stevenmakoi@yahoo.com)

heading imekaa kitapelitapeli looo
 
Kuna thread iko humu kuwa wanaume wanaotafuta wake huku they are only after sex, sijui utawambia nini waamini you are different!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom