Mke kazira kutumia gari: Ushauri please

Rejao, hoja yangu si idadi ya magari. Gari si fahari kama zamani ni kitendea kazi tu. Hoja ni hiyo tabia ya kuzira anapokosolewa. Umekuwa too subjective. Nashukuru nimekuelewa.
Lakini lazima kutakuwa na sababu nyingine..gari tu haliwezi kuwa ndio main reason. Jaribu kufanya uchunguzi zaidi.
 
Back
Top Bottom