Mke ka-'confess' jamaangu kachanganyikiwa...

Labda VoR ngoja nami niweke msisitizo hapo,
ninashangaa sana hata mie kwa kiasi fulani iweje cheating
ijustify kuwa mapenzi kwa mke/mume hakuna tena?hiyo sio kweli,
kama alivyosema hapo VoR, kama tungekuwa hatupendi wenza wetu basi,
tungefanya hiyo cheating mbele ya macho yao.............................
Cheating inaletelezwa na sababu nyingi tu na wala sio ku conclude kuwa,
ni ukosefu wa mapenzi............................tuzidi kutafakari hapo!!!!!!!

Bacha umeoa? Una rafiki wa kike wa kimapenzi? Kama unaye ushawahi kichitiwa? Au hujui kama amewahi kukuchiti au kama anakuchiti?
 
Bacha umeoa? Una rafiki wa kike wa kimapenzi? Kama unaye ushawahi kichitiwa? Au hujui kama amewahi kukuchiti au kama anakuchiti?

Hii issue jamani iskie kwa mwenzio, hapo utakomendiii weeee adi basi, omba tu isikupate! hasa kama ulikuwa serious na hiyo relationship
 
Back
Top Bottom