Mke (au Mume) ''Kivuli'' Yupo?

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,097
Kama hawa Mawaziri vivuli amabao hutoa alternative budgets, plans etc nk......je kuna wanandoa ''kivuli'' (somebody anayesubiri ndoa ya mtu iharibike nae aingie ndani kuchukua nafasi)
 
mwambie huyu hajui
kuna waume wasaidizi pia lol

wanalipa ada ya mtoto au kutoa hela ya saloon mwenye mke ukijifanya mbahili lol

Hahahaha hajui huyu lol
Aache kutunza mke aone wenzie watakavyomsaidia na ndoa iko pale pale wala haivunjiki lol!
 
Kuna dada mmoja namfahamu kabisa jamani! Walianza na jirani yao kama closest family friends! As time goes on wakajajulikana kuwa mume wa mmoja anatoka na mke wa mmoja. Bahati mbaya sana mke wa yula baba wa familia moja akafariki. So wakaba 2 na mama mmoja. Yaani huyu anasave hao wanaume wote wawili na wanaume wanajua. Asubuhi baba anampitia mke wa jirani yake anampeleka kazini. Mama ni mwalimu akitoka kazini anapiti kwa aliyefiwa na mkewe anapika na ksafisha nyumbani with all needed then anarudi kwa mume wa ndoa anaamkia hapo. Na hii imekuwa ni kawaida sasa. So sidhani kama ni kivuli tena huyu!
 
Hamna Vivuli but kuna MADEPUTE..... Hawasubiri ndoa ivunjike wao wanashika hatamu muda wowote wewe mwenye ndoa unapojitega pabaya
 
Back
Top Bottom