Mke atambulishwa housegirl mke mwenzie.

DEVINE

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
536
86
Mama wa watoto 3 mitaa ya kimara Dar-es-salaam akosa la kufanya jana jioni,baada ya kupewa taarifa na mumewe yakuwa anatarajia kuoa mke wa pili.Jambo la mke wa pili halikumshitua sana mama huyo ila mke huyo wa pili ndiye aliye mshitua kwani alikuwa beki tatu wake.Kwa maelezo ya mumewe alitokea kumpenda bekitatu huyo kutokana na huduma anazompatia ambozo aliamrishwa na mkewe. Mke mkubwa alijikuta amepandisha hasira na kutaka kumchoma kisu bekitatu huyo baada ya kusikia tiyari mumewe kashatembea naye na huku nyuma mama yule anaijua hali ya bekitatu wake yakua ameathirika na VVU..Balaa ilioje mumewe hakuamini lkn alijikuta akisema tuongozane Loliondo.
 
Back
Top Bottom