Philipo Kidwanga
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 2,042
- 599
kama ni hivyo basi vumilia fimbo maana inaonekana unaishi ili ule.yeye ndiye analipa matumizi ya nyumbani, nifanye nini sasa?
kama ni hivyo basi vumilia fimbo maana inaonekana unaishi ili ule.yeye ndiye analipa matumizi ya nyumbani, nifanye nini sasa?
Yeye ndiye analipa matumizi ya nyumbani, nifanye nini sasa?
utajuaje ana undugu na semenya.kumbe na wakina elizabeth na nyinyi mnayo ile fimbo yetu!!
Yeye ndiye analipa matumizi ya nyumbani, nifanye nini sasa?
Hehehee huyo mkeo au mama ako??mambo mengine mnajitakia wenyewe sasa kama huyo mwanaume kwenye pic mwili wake mdogo then anaoa pande la mwanamke anategemea nini?lol! Sometimes muwe mnaangalia miili ya kuoa jamani..
Yeye ndiye analipa matumizi ya nyumbani, nifanye nini sasa?
kuna ubaya gani kuchapwa na mkeo? mbona raha tu?