Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,444
Tatizo hili lilianza tangu mke wangu alipopata mimba, na tatizo hili limedumu hadi sasa hivi, ambapo alishajifungua na mtoto ana miezi sita. Yaani hata wakati wa kulala mke wangu ananipa mgongo, ye yuko bize na mtoto wake tu. Hali hii inaweza kuwa imesababishwa na nini, na nifanye nini ili nirekebishe hali hii? Nisaidieni, kwani naona hii ndoa inanishinda.
Wewe baba unataka umbemende mtoto miezi 6 tu unataka mzigo subiri ifike hatua ya kuzibua masikio na kukazia meno yakue fresh.