Mke amkimbia mume anayependa kufanya mapenzi zaidi ya mara 10 Kila siku

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,315
33,111
Mwanamke mmoja nchini Malaysia ameamua kuomba talaka kumkimbia mume wake ambaye anapenda sana kufanya mapenzi akimlazimisha kufanya mapenzi zaidi ya mara 10 kila siku. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 18 ambaye aliolewa hivi karibuni ameamua kumkimbia mumewe na kudai talaka baada ya kuchoka kufanya mapenzi na mumewe zaidi ya mara 10 kila siku.

Mwanamke huyo anadai mumewe atakuwa anatumia uchawi au madawa katika kufanya mapenzi kwani si hali ya kawaida mwanaume kufanya mapenzi mara nyingi kiasi hicho bila kuchoka.

Mwanamke huyo amepeleka madai yake ya talaka kwenye mahakama ya sharia za kiislamu nchini humo.

"Mwanamke huyo alianza kushangazwa na mumewe kwenye usiku wa kwanza wa honeymoon yao wakati mumewe alipolazimisha na kufanya naye mapenzi mara 17" alisema mwenyekiti msaidizi wa taasisi ya wanasheria wa sheria za kidini, Musa Awang.

Mwanamke huyo alidai kuwa mumewe atakuwa na shetani aliyejificha katika mwili wake.

Akizungumzia kauli hiyo, kiongozi wa kidini Datuk Ebu Hasan alisema kuwa "Ni mwanaume anayeshirikiana na shetani kufanya mapenzi pekee ndiye anaweza kufanya mapenzi mara nyingi kiasi hiki".

Mahakama ya sharia bado haijatoa uamuzi wake katika kesi hiyo ya aina yake.

Chanzo: nifahamishe.com
 
Nasikia kuna ugonjwa flani mtu akiwa nao, ni ugonjwa wa akili sijui, yaani anaweza kufanya ngono muda wote! Wanawake wenye ugonjwa huo pia wapo, hata hapa Tz niliwahi kusoma kwenye magazeti habari kama hizo za watu kudai talaka kutokana na wenzao kuzidi ktk ile habri
 
Mkuu!, is there any standard limit of durations for a man getting satify in sexual intercourse?
Nijuavyo mimi,unapokuwa na mchuchu wako faragha baada ya `anguko` la kwanza.,heathically unaweza kusimama tena na kuendelea na safari yako ya kupanda mlima baada ya dakika 45`kwa mantiki hiyo ndani ya masaa ya 12 tu ya mchana au usiku unaweza kuendeleza safari yako ya kukata vilima mara `16` bila ya kuwa na eti shetani,That is a premitive non-sense! Nawakilisha
 
Mkuu!, is there any standard limit of durations for a man getting satify in sexual intercourse?
Nijuavyo mimi,unapokuwa na mchuchu wako faragha baada ya anguko la kwanza.,heathically unaweza kusimama tena na kuendelea na safari yako ya kupanda mlima baada ya dakika 45`kwa mantiki hiyo ndani ya masaa ya 12 tu ya mchana au usiku unaweza kuendeleza safari yako ya kukata vilima mara 16 bila ya kuwa na eti shetani,That is a premitive non-sense! Nawakilisha

Yaani umefaya kuwa katikamuda huo hakuna kazi nyingine ni hiyo tu? hata kulala/kula? na aliyesema muda wa kusimamisha mchuchu ni 'kila dakika 45' ni nani? manake uzoefu unaonyesha kila baada ya kuangusha profressively muda wa kuusimamisha unaongezeka pia. rudi shule kisha uje uwasilishe upya
 
nilipokuwa 20-25 nilikiwa napiga 5 kawaida sana, nilipooa nikiwa na 26 nilimkunja wife siku ya kwanza 7 na sijarudia tena. nikawa wa 2 au 3.

ninapoandika hapa nipo na mid 30, kwa wiki napiga viwili na kuna wiki inapita bila kusimamisha chombo.

on mejiandaa kiakili miaka 2 mbele chombo inapakiwa gereji.....

mniombee
 
tatizo nini???
 
Mwanamke mmoja nchini Malaysia ameamua kuomba talaka kumkimbia mume wake ambaye anapenda sana kufanya mapenzi akimlazimisha kufanya mapenzi zaidi ya mara 10 kila siku. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 18 ambaye aliolewa hivi karibuni ameamua kumkimbia mumewe na kudai talaka baada ya kuchoka kufanya mapenzi na mumewe zaidi ya mara 10 kila siku.

Mwanamke huyo anadai mumewe atakuwa anatumia uchawi au madawa katika kufanya mapenzi kwani si hali ya kawaida mwanaume kufanya mapenzi mara nyingi kiasi hicho bila kuchoka.

Mwanamke huyo amepeleka madai yake ya talaka kwenye mahakama ya sharia za kiislamu nchini humo.

"Mwanamke huyo alianza kushangazwa na mumewe kwenye usiku wa kwanza wa honeymoon yao wakati mumewe alipolazimisha na kufanya naye mapenzi mara 17" alisema mwenyekiti msaidizi wa taasisi ya wanasheria wa sheria za kidini, Musa Awang.

Mwanamke huyo alidai kuwa mumewe atakuwa na shetani aliyejificha katika mwili wake.

Akizungumzia kauli hiyo, kiongozi wa kidini Datuk Ebu Hasan alisema kuwa "Ni mwanaume anayeshirikiana na shetani kufanya mapenzi pekee ndiye anaweza kufanya mapenzi mara nyingi kiasi hiki".

Mahakama ya sharia bado haijatoa uamuzi wake katika kesi hiyo ya aina yake.

Chanzo: nifahamishe.com
Hiyo ni abnormal.

Atibiwe huyu mtu ni mgonjwa...
 
nilipokuwa 20-25 nilikiwa napiga 5 kawaida sana, nilipooa nikiwa na 26 nilimkunja wife siku ya kwanza 7 na sijarudia tena. nikawa wa 2 au 3.

ninapoandika hapa nipo na mid 30, kwa wiki napiga viwili na kuna wiki inapita bila kusimamisha chombo.

on mejiandaa kiakili miaka 2 mbele chombo inapakiwa gereji.....

mniombee
Upo na tatizo ww
 
Back
Top Bottom