Mke aja juu kubadilishwa jina na mumewe...

Si umeona eeeh? This is so out of the ordinary! Especially for the Snail to track me down all the way over here....things that make you go hmmmmm.....

Yaani inashangaza. Mpaka metaka kuwatupia moja ya Mashauzi kuwaambia wasitughasi :]

Nakuunga mkono. Wako wanaoona kama sifa fulani kubadili jina. My name is my identity; hilo jina la ukubwani wala silitaki.
Mwanamke hana thamani hata ya kutumia jina lake kwa wale wanaowabadilisha majina, halafu wanawake wengine wanaona sifa kubadilishwa jina. Hawajui kama ni dharau kwake na kwa asili yake.

Naunga mkono hoja.
Kwa kuwa hao ulowataja ndo wanawake bora duniani au?

Kuna kubadili kwa kuridhia, kupenda na kutaka sio mwanamme anajifanyia tu Kama vile wewe mwanamke huna kauli.

Na hiyo sheria inayompa mwanamme kufanya hivyo bila ya consent ya mwanamke ni ya kidhalilishaji

ili huo mgomo uishe namshauri Mr Pesambili.. napendekeza bora angeitwa Mrs Rose Nakomba Pesambili..

Way to go woman......akubadilishe jina kakuzaa au kakununua? :]

<br /
Hakuna sababu ya mke kubadili jina tena mume ameamua tu kumbadilisha bila makubaliano! Kama ni kitu kizuri hivyo basi wakae watafute jina watakalolipenda wote then mume abadili na mke abadili. I'll never change my surname and that have nothing to do with myLove to my husband.

Mwanamke hana thamani hata ya kutumia jina lake kwa wale wanaowabadilisha majina, halafu wanawake wengine wanaona sifa kubadilishwa jina. Hawajui kama ni dharau kwake na kwa asili yake.

Ni dhana ya mwili mmoja!!

Na ndio maana vyeti vingiine kuna sehemu ya kujaza mother's maiden name n.k

hii kitu ya kubadilishana majina hata uko ulaya pia inaleta maneno maneno, kuna ambao wanaipinga na kuna wenye kuiunga mkono. Ila linabaki kuwa suhala la kujadiliana tu.

Ndio maana wanawake wengine hawataki kubadili, manake vyeti vyake vyote vina jina la baba au ukoo, ghafla analazimika kubadili kuwa jina la jipya. Na akipata usumbufu ni yeye mwanamke anaepata, ya nini?
Mie pia maisha yangu niliyoishi ya ndoa natumia jin langu na la wazazi na hata vyuo nimesoma baada ya kuolewa ila sikubadilisha, ila kuna wakati unapata usumbufu sanasana hasa kama ni mtu wa kusafirisafiri, ila kuna mtu kanishauri niende kwa lawyer anaweza nipa ushauri mzuri

katika kitu nachukia duniani ni sir name yangu i wish atokee wa kuibadilisha

hahaha bebii umenifurahisha.. Maisha haya waweza mpata mtu surname yake ikawa worse than urs!

we mume si ukate viunio kwa wingi utapata watoto haraka haraka na utaaply ilo ulitakalo. (uislam) hauruhusu hilo kufanyika e ukimuoa mtoto wa mtu basi dini inakuambia huyo jina lake libaki vile vile, si kama hivyo alivyotenda jamaa, ndo nini? kwamba unampenda saana ama ndo umemnunua.?

Mrs bebii kufakunoga au mrs bebii sabuni mwaitumbili..hayo majina yamekukaaa mtoto wa kike loooh!
katika kitu nachukia duniani ni sir name yangu i wish atokee wa kuibadilisha

Nimerudi Gaijin..mwili mmoja mwisho wake ni kifo..dhambi ililetwa na mtu duniani..kadhalika na dhambi yaweza letwa na mmoja na ikatafuna familia yote..
Hivi hiyo dhana ya mwili mmoja mwisho wake ni wapi?

Dhambi akifanya mmoja mnagawana nyote pia?

Mwanamke hana thamani hata ya kutumia jina lake kwa wale wanaowabadilisha majina, halafu wanawake wengine wanaona sifa kubadilishwa jina. Hawajui kama ni dharau kwake na kwa asili yake.

Eeeeeeeeeeeeh hivi kumbe!!!!!!!!duh duh

Lakini je mwanamke atakubali mumewe achukue jina lake? kwa mfano Rebeka Mboni halafu mume aje kuwa Mr. Peter Mboni? Kama mwanamme analipenda jina hilo?

Hii stori imenikumbusha mdogo wangu humuliza mama yetu kwani wewe umemzaa baba, maana husikia akiitwa mama..... hizi tamaduni za kizungu zinatumaliza, nampongeza huyo mama. Ukiachika inakuwa shughuli ya kutoa hiyo mijina.

Ana haki kabisa ya kukataa...
Huyo mwanaume nae anaonekana mbabe kweli kubadilisha jina la mwenzake bila kumshirikisha!!

Kuhusu mume kuchukua la mke ..,well wakikubaliana wote I guess it‘s owkey! Binafsi hata sijui ikitokea kwangu kama ntakubali ama ntakataa!

uko sawa shosti.

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom