Morani75, Thanks
Haya mambo tunayazungumzia sana humu. Tuliyazungumzia kwenye topic ya IPTL...
Mengi tunasema ila SIRIKALI HAISIKII kaka!
mambo yote J4
Toka lini mhindi akawa muwekezaji.Kwanza ni wanyonyaji,wakandamizaji,wana zarau.
Ebu imagine badala ya kufufua engine zilizopo wanaenda chukua za kwao.Yale yale ya URAFIKI ata pamba wakati mwingine wanaagiza toka kwao ati yetu haina ubora.Kumbe to them wanagain forex na mwisho wa mwaka wanaonyesha wamepata loss thus gvt haiambulii gawio lolote.10% izi zitzimaliza nchi jamani
Kasheshe is right!!!
Government inaangalia umuhimu wa huu mradi ndio maana wanaweza kufanya re-allocation..
Hapa hamna kitu, sababu mkopo wa 3.6 B sio fedha za kutisha compared na tatizo na umuhimu wa mradi..Ila hapa kuna maneno ohh, matapeli au tunaibiwa!! oh, kwa nini...Solution = 0..Watanzania tumekuwa weepesi wa kuongea na kulaumu..Mlitaka wake tu.
Alafu zamani kumuita mtu neno chafu ulikuwa unafikiria kwanza, sasa hv kila kitu usanii...hoja endelevu ????
Kuhusu hui mkkataba, wafanyakazi wa TRL wamewataja viongozi ambao wameiingiza mkenge serikali.
hao ni:
Waziri wa Miundombuni, Andrew Chenge,
Abdallah Kigoda,
Profesa Mark Mwandosya,
Linford Mboma na
Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa
Nimesoma gazeti la Majira jana kuwa Pinda ni waziri masikini, lakini waandishi wetu wanashindwa kujua kuwa ndio kwanza anaingia hata Mkapa aliingia akiwa masikini.
tathimini si mwanzo wa mchezo inatakiwa mwisho wa mchezo.
Asante sana mkuuShukrani mkuu Tuandamane,
Nimeondoa details za Author na kuli-zip file liweze kuwa dogo na downloadable kirahisi.
Invisible
Heshima mbele wana JF,
Kwanza kabisa napenda kuchukua nafasi hii kuomba msamaha kwa kile nilicho ahidi kukifanya na kutokukifanya kama nilivoahidi, kuna kupindi fulani kama miezi miwili iliopita niliahidi kuleta hii mali na nikataja na siku lakini nikuweza kufanya hivyo kwa ajili hiyo basi ninaomba kuwaomba radhi rasmi leo wana JF.
Pia napenda kuwalikisha hii mali hapo chini, natumaini sijaichelewesha,
Nawatakieni heri na siku njema.