Mkataba wa China-Sonangol (CSIL): Majibu aliyopewa Mhe. Zitto.

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931

Wakati wa kuchangia hoja kwenye mjadala juu ya ripoti za Kamati za Hesabu za Serikali leo tarehe 19.04.2012, kama ilivyo jina lake, Mhe. Nundu, Waziri wa Uchukuzi alionesha nundu na kujikanganya alipoibuka na hoja ya ufisadi wa matumizi mabaya ya fedha za umma kukarabati kichumba kidogo sana cha watu mashuhuri (VIP) pale JNIA...
zitto-april-191.jpg
 
To be honest na bila kumung'unya maneno CCM MUST GO! Na kuna watu wa kufungwa hapa kibao tu kwa ubadhirifu wa mali za umma na sioni atakaye salimika! JK timua hawa watu wanaifilisi nchi. Lile jengo ningepewa mimi bilion 1 ningejenga zuri na imara zaidi kuliko hilo lililopo sasa na chenji ingebaki!
 
Back
Top Bottom