Mkasa!

Alivyotungisha mimba nje alikua anategemea nini?Wakati anatoka nje ya ndoa aliomba ushauri?Nashindwa kuelewa watu wengine wanaoa ili iweje?Kama hawajatosheka na mambo ya dunia si wahangaike mpaka watakapoona imetosha?Nwyz nakasirishwa sana na watu wanaingia kwenye ndoa wakijua fika utulivu hawana!Aseme ukweli tu maana kama mtoto atazaliwa hawezi kumficha milele.Alafu kwanzia sasa hivi muwe mnaomba ushauri kabla ya kucheat sio mpaka kigeuke ndo muanze kutoa machozi ya mamba!
Duh Lizzy umekasirika mama, punguza hasira, inaonekana huyu jamaa angekuwa karibu yako ungemchapa kibao:smash: hapo sasa cpati picha kama ungekuwa ww ndo yamekukuta. Hahahahahaha
 
Wakuu, nimepata message toka kwa jamaa yangu tunayeheshimiana sana akieleza mkasa uliompata jioni ya leo...
.

Wonders will never end kwa kweli!
Jamani, nashindwa nianzie wapi kumshauri huyu broda cha kufanya!...ha ha haaa!
Hebu jameni pimeni situation hii, na kutoa ushauri kwa huyu raia!
Aseme mimba yake,na ndo akome kutokatoka nje............lakini mbona unacheka na jamaa ana tatizo kubwa??:smash:
 
Aseme mimba yake,na ndo akome kutokatoka nje............lakini mbona unacheka na jamaa ana tatizo kubwa??:smash:
Jomba, najua magnitude ya shida ya huyu mtu.... kucheka huko ni kwa machoni tu, kimoyo namwombea dunia ipasuke azame huko!
 
ushauri:

mwambie huyo jamaa yako atulie kwanza yaani asiseme chochote mbele ya mkewe kwa sasa.....akiona upepo umebadilina na unavuma kwa 1.12km/hr basi aanze kwa kumwambia hivi....''leo usiku nina mazungumzo na wewe baada ya chakula cha jioni'' halafu aende job...ikifika jioni akirudi, asiwambie lolote mkewe ila alale na kumwambia kulingana na mda na hasa ukizingatia kwa sasa ni usiku naomba tuongee wkend maan takuwepo home.....anatakiwa haya ayaseme kwa lugha ya upole sana....mke lazima atakuja juu kwa mda then atanyamaza...ikifika wkend baada ya chai amwite kwewe chumbani na wajifungie huk ili watoto ( kama wapo wasisikie) then aanze kwa kumwambia ukweli wote........

lakini kama tayari amesharopoka manen ya ajbu kule home basi amejiharibia maana mke tayari ana picha tofauti kichwani....lakini kama tang mke akione hichi kidude na kiko positive ndan ya suruali then akakoroma kw mda na kutaka apewe maelezo na jamaa hajayatoa maelezo hapo sasa inabdi acheze na psychology ya mke wake.....basi akae nae na amwambi yote....mke lazima ataelewa maana kwa hakika huyo jamaa yak hana ujanja isipokuwa kama anamtaka huyo mwanamke abaki basi inabidi afanye mchezo wa kijasusi kama
steganography na cytograph( anaweza kunipm nikamweleza zaidi juu ya hii kitu maana tunasema ''not everything you see is as it is) hii itasaidia kuondoa hofu kwa mama na atabki hana hatia huyo jamaa yako...otherwise kama tayari amesharopoka kitu huko home basi amejimaliza na hapo asubiri hekima ya mwanamke basi......by the way huyo jamaa yako wa ajabu sana sasa alipopima na kuona hiy kitu kwa nini asikatupe kale kadude? kwa nini akakaweka mfukoni? wa jabu kweli na nimemshangaa sana....
 
huyu bwana namwita falaaaaaa tena sana.unajua kabisa umeoa afu unapiga nje tena kavu huu ni ujinga na pia hamtakii mema mkewe.kinga zipo kwann asitumie??? ficha cndm hata kwenye kigari chako kama uvumilivu zero.Cha kufanaya akubali makosa kabisa na aombe radhi kwa mkewe kama mimba basi na iwe mimba alee mtoto na kama mkewe hana ampokee...Shetani mjanja sana akaudanganya uzini alafu anakuabisha hapo hapo.....
 
Kama jamaa anafanya kazi hospitali inakuwa simlpe, lakini kama sio hivyo imekula kwake! :lol::lol::lol:
 
ushauri:

mwambie huyo jamaa yako atulie kwanza yaani asiseme chochote mbele ya mkewe kwa sasa.....akiona upepo umebadilina na unavuma kwa 1.12km/hr basi aanze kwa kumwambia hivi....''leo usiku nina mazungumzo na wewe baada ya chakula cha jioni'' halafu aende job...ikifika jioni akirudi, asiwambie lolote mkewe ila alale na kumwambia kulingana na mda na hasa ukizingatia kwa sasa ni usiku naomba tuongee wkend maan takuwepo home.....anatakiwa haya ayaseme kwa lugha ya upole sana....mke lazima atakuja juu kwa mda then atanyamaza...ikifika wkend baada ya chai amwite kwewe chumbani na wajifungie huk ili watoto ( kama wapo wasisikie) then aanze kwa kumwambia ukweli wote........

lakini kama tayari amesharopoka manen ya ajbu kule home basi amejiharibia maana mke tayari ana picha tofauti kichwani....lakini kama tang mke akione hichi kidude na kiko positive ndan ya suruali then akakoroma kw mda na kutaka apewe maelezo na jamaa hajayatoa maelezo hapo sasa inabdi acheze na psychology ya mke wake.....basi akae nae na amwambi yote....mke lazima ataelewa maana kwa hakika huyo jamaa yak hana ujanja isipokuwa kama anamtaka huyo mwanamke abaki basi inabidi afanye mchezo wa kijasusi kama
steganography na cytograph( anaweza kunipm nikamweleza zaidi juu ya hii kitu maana tunasema ''not everything you see is as it is) hii itasaidia kuondoa hofu kwa mama na atabki hana hatia huyo jamaa yako...otherwise kama tayari amesharopoka kitu huko home basi amejimaliza na hapo asubiri hekima ya mwanamke basi......by the way huyo jamaa yako wa ajabu sana sasa alipopima na kuona hiy kitu kwa nini asikatupe kale kadude? kwa nini akakaweka mfukoni? wa jabu kweli na nimemshangaa sana....[/COLOR]

:lol: sasa si alikuwa anaonyesha MAPENZI kwa kimada jamani eee..baby i love u so much nitakichukua hiki kidude nikae nacho..mara.za mwizi arobaini...safi sana...akomee..na aseme ukweli tu..na ningekuwa mie mkewe looh sijui useme nini nikuelewe hata kama wewe daktari,nesi sijui lab technician ungeona rangi zote mxiiiiiiiiiiiiii..usiotumia condom na zimejaa tele ndo nini...
 
NDOA za sasa hivi kila mtu anakilio chake,,,,,,Suluhu ya hilo tatizo ni kumwambia mkewe ukweli hata kama ataumia lakin itakuwa bora...pia huyo mwanaume akiri kosa na atulie na mkewe. Kama bado una hamu na mambo ya ulimwengu knn unaoa na kuolewa????? inakera sana....Oa au olewa ukiona sasa unahitaji utulivu....inaumiza sana kusalitiwa ndoani.
 
Wakuu, nimepata message toka kwa jamaa yangu tunayeheshimiana sana akieleza mkasa uliompata jioni ya leo...
.

Wonders will never end kwa kweli!
Jamani, nashindwa nianzie wapi kumshauri huyu broda cha kufanya!...ha ha haaa!
Hebu jameni pimeni situation hii, na kutoa ushauri kwa huyu raia!

Hivi jamaa ni daktari au ??
 
Duh Lizzy umekasirika mama, punguza hasira, inaonekana huyu jamaa angekuwa karibu yako ungemchapa kibao:smash: hapo sasa cpati picha kama ungekuwa ww ndo yamekukuta. Hahahahahaha

Ningemchapa kama mzazi wake vile......Wanaboa sana watu wa aina hii.Kustarehe kastarehe mwenyewe leo kimeiva ndo anashirikisha wengine kwenye kilio cha kinafiki.
 
Soma bana....alishajibu kwamba sio.

Sometimes kuwadanganya wanawake inakuwa ngumu.
Hata hivyo nahisi atakuwa ameshachelewa kumpa jibu, maana mpaka sasa kama hajampa jibu itaonekana amefikiria ajibu nini, hivyo ni wazi jibu lolote linalochelewa kutolewa ni uongo.
Akubali tu kwamba amekosea na aombe radhi maisha yasonge mbele
Kukubali kukosea si dhambi, dhambi ni kukana kosa
 
Alivyotungisha mimba nje alikua anategemea nini?Wakati anatoka nje ya ndoa aliomba ushauri?Nashindwa kuelewa watu wengine wanaoa ili iweje?Kama hawajatosheka na mambo ya dunia si wahangaike mpaka watakapoona imetosha?Nwyz nakasirishwa sana na watu wanaingia kwenye ndoa wakijua fika utulivu hawana!Aseme ukweli tu maana kama mtoto atazaliwa hawezi kumficha milele.Alafu kwanzia sasa hivi muwe mnaomba ushauri kabla ya kucheat sio mpaka kigeuke ndo muanze kutoa machozi ya mamba!
bora wewe useme , me nawazaga hata nakosaga majibu, km hawajamaliza mambo yao kwann walioa na wanaendelea kututongoza,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom