Mkasa!

kazi ipo, kumbe ndio inachowapa kichwa cha kufanya maovu huko nje? hapo ujue tayari familia imeingia dosari kubwa, mama nae akiwa na roho ndogo ataishilia kutafuta wa kumpooza machungu, tit 4 tat...mijanaume inapenda matatizo kweli...mxsii
Aisee!!!!!!
 
nature imewafanya wanaume wawe watu rahisi kulikoroga na nature hiyo hiyo ikabalance kwa kumfanya mwanamke awe rahisi kusamehe. hii ni katiba ya Mungu na nazani katiba ya Mungu haina marekebisho. ingawa lijamaa naliona careless kwa kutembea na ma mikojo kwenye mifuko ya suti, mwanaume utabebaje ujauzito kwenye mifuko ya suruali bana? ujauzito unakaa tumboni sio surualini.

nimesahau kukusalimia, haujambo nyamayao?
 
yaani unanipaga raha wewe bac tu hujuagi....hiyo katiba ya Myngu bac imetutenga kweli wanawake....cjambo kabisa kabisa mpenzi....
 
yaani unanipaga raha wewe bac tu hujuagi....hiyo katiba ya Myngu bac imetutenga kweli wanawake....cjambo kabisa kabisa mpenzi....
haijakutengeni bana, nyinyi tu mnakuwa wabishi, si mnapewa mifano hata kupitia majogoo na mitetea lakini mumeweka tinted na beijing yenu. hivi hebu fikiria nyamayao, wewe unaweza ukaona janaume liko uchi na hata usishtuke na badili yake ukakimbia, lakini sisi tukiona hata mbuzi anajisaidia tu jiografia ya suruali yote inabadilika. mie naona mmependelewa nyinyi bana
 
Kyabu haoni tatizo hapo ... The Creator alituagiza "..zaeni mkaongezeke.." Wanawake wa "kisasa" wanataka kuzaa watoto kwa "mahesabu" na hayo ndiyo matokeo yake. Hana haja ya kuomba msamaha bali ni kumwambia mkewe kuwa tunatarajia kupata mtoto mwingine muda mfupi ujao ... Mwanamke lazima aheshimu maamuzi ya Mwanamume!

Ni kweli Kyabu,mwanamke lazima aheshimu maamuzi ya mwanaume :juggle:
 
Lizzy,
Ninavyojua jamaa kusema ukweli au kukubali kosa ni ngumu, maana mkewe ni full kimeo...Ni mkorofi mbaya kabisa, na anaweza kusababisha tukio la mwaka akigundua jamaa ana mahusiano ya nje kikweli!
Ni njiapanda ya mwaka hii!

hii ndio safi sana,na uyu mama ndo type safi kbs kwa wanaume vimeo wa namna hii!!
 
Duh hata kumshauri nashindwa kama vile namwona kasimama mbele ya mkewe midomo inamcheza cheza hana la kusema.Labda akimbilie kwa wazee au msimamizi wa ndoa yake awaeleze ukweli bila kuficha neno hata moja kazi ya kuongea na mke ibaki kwa msimamizi wa ndoa au wazee wenye busara majibu lolote likitokea akubali kubeba lawama.

Halafu tabia za wanawake wakishaingia ndani ya nyumba walivyo na viburi sijui itakuwaje, natamani ningekuwa namfahamu tungekaa pamoja tutandike bia za kutosha walau apunguze mawazo kwa siku ya leo.
 
hivi watu weshaona ARVs na OIs ni peremende si ndio?
yani watoto wataendelea kuteseka kwa tabia izi za kuzimuni

ovyo kabisa
 
Mhhh! Hii kali! hata mtoa ushauri unaweza kupata kigugumizi kwa kutojua uanzie wapi!

Kaka umebadili Avatar!!!!

Nice Choice BTW

Huyo jamaa bora aseme hiko kipimo alikiokota ndani/nje ya nyumba anataka kujua ni cha nani!!

Ila naona its too late kutoa ushauri cz by this time kama ni moto ushaunguza nyumba mpaka umezima wenyewe
 
Sasa best labda ueleze, hapa atakana kwa msingi upi, maana amekutwa live na kipimo mfukoni, na yeye si daktari wala mfamasia...je akane kwamba suruwali si yake, au kuwa hafahamu kipimo kilifikaje mfukoni?
Kwakweli hakuna marefu yasiyo na ncha.

...amwambie mkewe; ...'ameokota' aje kumuuliza ni kipimo cha nini! :A S embarassed:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom