Mavitu yamepanda bei sana from 2005 mpaka sasa, watanzania mnabaki kimya tu, mnang'ang'ania oo wapiganaji 11 sijui wakina nani, hao wapiganaji wanasema nini kuhusu inflation Tanzania.
Niambie nchi iliyowahi kumfunga rais wake wa zamani, wote wamejaribu kuwapeleka mahakamani na hamna hata aliewahi kutolewa hukum...in short though law inasema no one is above the law, hawa watu wapo na kinga kubwa...hata wakipelekwa kesi zao haziishi, au ataishia kuchukua assylum.
sio Tanzania tu nchi almost zote, yakimzidi anapata assylum.Read up a bit on Peru and Alberto Fujimori, just for starters.
We unafikiri kila nchi rais ni kiungumtu kama Tanzania?
Niambie nchi iliyowahi kumfunga rais wake wa zamani, wote wamejaribu kuwapeleka mahakamani na hamna hata aliewahi kutolewa hukum...in short though law inasema no one is above the law, hawa watu wapo na kinga kubwa...hata wakipelekwa kesi zao haziishi, au ataishia kuchukua assylum.
Sasa Tanzania tunaweza?
Ndio maana Mkapa kamwachia Mungu, nasi kutokana na imani zetu tunamwachia Mungu..Sasa Tanzania tunaweza?
Kwani dogo hilo?
mh! Shemeji? come home plz.
Kama isingekuwa tamaa (bila shaka kutokana na kuwa na washauri wabovu), huyu jamaa alifanya mambo mazuri mengi kwa maendeleo ya nchi. Mpaka sasa sielewi kwa nini alikubali kununuliwa na makaburu walioitwaa NBC yetu. Sijui ilikuwaje pia akapata kichaa cha kutumia vibaya madaraka yake na kununua Kiwira. Ukiondoa dosari hizo na kiburi chake cha Kimachinga, alifanya vizuri.
Duh basi inamaana kumbe mze mkapa hakufanya jambo lolite kwa wananchi wake!1. Kiwira
2. Kwa kutuacha na uwanja wa mpira na ujenzi wa daraja la kwenda huko Umachingani.