Mkapa: Wapinzani ni wajinga na hawana adabu

Kishawamaliza CHADEMA nyie mnatapatapa sasa humu JF. Jiandaeni tu kukataa matokeo si ndo zenu safari hii sijui viongozi wenu watajifisha wapi.
jibu hoja,miaka yote chama kimetawala na hawakuona kama kuna tatizo kwenye maswala ya ardhi, leo wameambiwa na nani kuwa wameru wana matatizo ya ardhi
 
Benjami Mkapa is fighting for his LIFE. He knows for sure that once CDM will take the helm of this country he will be brought to justice. Therefore by hooks and crocks he has to defend a status quo until his last drop of blood. I can't blame Mkapa, He is a walking dead man!
 
"Wapinzani ni wajinga na hawana Adabu". Hii ni kauli ya Mkapa. Mzee gani huyu? Nitaiga nini kutoka kwake? Mzee mzima ametoka Dar kwenda Arumeru kutoa matusi?

Je, na mimi nikipewa jukwaa pembeni nikaanza kutoa hotuba kuwa Mkapa ni Mjinga na hana adabu, maneno hayo hayo aliyotumia jukwani tutafika? Inaelekea ametoa matusi kibao ila TBC wameona hayo ndo yanafaa kutuletea kwenye Taarifa ya habari ya saa mbili usiku.

Kwa busara hii inayopaswa kutiliwa shaka na kila Mwenye akili, Mkapa ana sifa zote za kuwa "Mzee wa Dar es Salaam".

Anasema hivyo kwa sababu tu wanajua tume ya Uchaguzi ni kitengo cha CCM. Hata jina NEC linatokana na Halmashauri kuu ya CCM
 
Last edited by a moderator:
CCM is full of fake People,Mwigulu anafaa kuimba taarabu,anamameno ya shombo Mzee Yussuph hampati...
Nimeshuhudia jana swaga zake...si mwanasiasa Mwigulu ni mwana mipasho...
Unahangaika na huyo mwigulu hajui siasa zaidi ya kubwatuka tu na propaganda za kitoto.
 
mmh kwa kampeni za staili hii majukwaa kugeuzwa uwanja wa mipasho, kazi ipo........Tz
 
mkapa si ana taaluma ya uhandishi habari. Anakosa choise ya maneno au mee ya siasa siaha za taauma na fani yako unaweka pembeni.

BTN

Mkapa rais mstaafu analipwa na aahudumuiwa na Pesa za walipakodi.Ajitfatishe na Kina Nape. Kukebehi kebehi makundi ya jamii kunaweza kumtia matatizoni.
 
mkapa kajidhalilisha sana na kujivua nguo,kama nakumbuka aliingizwa kwenye hy familia ya mwalimu km mwanafamilia,leo ameanza kukana ukoo huo huo hv kweli ni hanazo kusema mh vincent ni mtt wa hayati julius kambarage?hk akijua ukweli kuwa ni mtt wa marehemu mzee kiboko na mbaya zaidi hata mazishi ya huyo mzee alikuwepo!kweli siasa mchezo mchafu!

Anajua Fika kuwa Vincet last born wa mzee Kiboko,alikuwa kapanic tu na kuanza kutokwa povu bure.
 
Dharau hzi zmekuwepo na kujidhirisha jana katika uzinduzi wa kampeni zao za kusomba watu kama magunia ya mahindi kutoka Arusha.Huu ni udhalilishaji wa haki za binadamu.
 
Mkapa analeta sarakasi za kijinga sana, yeye ana hofu kubwa kuwa CCM ikitoka madarakani lazima akanyee debe kwa ufisadi aliofanya akiwa Ikulu kisha kukingiwa kifua na Kikwete. Lingine ni suala la uraia wake tutalianzisha upya. Benjamin William Mkapa ni M'meto toka Msumbiji, aliingia Tanganyika akiwa na umri wa miaka 5, na hakuna mahali popote aliwahi kuukana uraia wa Mocambique. Taarifa hizi ni kwa mujibu wa kaka yake anayeitwa Mwinyi Nkanona ambaye alitoa habari wakati mkapa anachaguliwa kuwa rais, kwa ufinyu wake wa ufahamu hakuelewa kuwa taarifa hii ilikuwa inamharibia mdogo wake, kwa vile ushahidi wa hili upo ni muda tu ndiyo utaamua.
 
Dharau hzi zmekuwepo na kujidhirisha jana katika uzinduzi wa kampeni zao za kusomba watu kama magunia ya mahindi kutoka Arusha.Huu ni udhalilishaji wa haki za binadamu.

Ayanenayo mtu ndiyo yaliyomjaza moyo wake. Tukifananisha kampeni hizi na mchezo wa soka basi tutasema matusi ni sawa na chenga, magoli ni siku ya uchaguzi. CDM ikishinda, CCM watasema wameshinda lakini tumewatukana. Na hivyo ndivyo itakavyotokea.
 
Mkapa umesahau ile ardhi uliyeinyakuwa kule mkuzy lushoto tanga. Karibia heka mia moja..je yule mzee mwenye ile ardhi yupo?kama hayupo kaenda wapi?haya maswali utayajib siku ya mwisho
 
Yule mzee ana bahati sana kuendelea kuwa uraiani kwa ufisadi aliofanya. Ndio maana anasimamia uovu aliouanzisha katika CCM. Ila akae akijua kuwa wana wa Meru wana other ideas kwa sasa, wanataka Nassary mjengoni na sio mvuta bange Siyoi

Kinachonifanya niamini maneno yako ni uwezo wake mdogo wa kujieleza na kuongea vitu vingine kabisa sijui anapoteza kumbukumbu mara aseme Arumeru ni Mkoa kali zaidi akawaomba wampe ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama wakati ridhaa hiyo walishampa. Enyi wameru yatafakarini hayo!!!!
 
zidisheni maombi wadau, Mungu anafanya haya kwa makusudi, anawavua nguo mchana kweupe ili muone jinsi gani nyeti zao zilivyo raruka, wewe huoni ajabu mtu kaitwa kupigia Sioi kampeni badala yake anajitetea yeye na juu ya mavi yaliyotapakaa mwili mzima, naamini hata CCM wanajisikia vibaya sana. Ila wabongo na ninyi mnamchosha sana Mungu, sasa mnataka awape nini zaidi ya pumba za kina Mwigulu na Upigania haki wa CHADEMA ili iwe rahisi kuchukua hatua, mnataka mpaka ashuke
 
Kinachonifanya niamini maneno yako ni uwezo wake mdogo wa kujieleza na kuongea vitu vingine kabisa sijui anapoteza kumbukumbu mara aseme Arumeru ni Mkoa kali zaidi akawaomba wampe ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama wakati ridhaa hiyo walishampa. Enyi wameru yatafakarini hayo!!!!
kaka it is hard to think and doing at the same time, hebu fikiria Sioi anapozungumza jukwaani huku taswira ya Nassari ikiwa karibu kabisa utosini, akiwaza na anavyowapokonya haki waTZ ilhali ye ni Mkenya, lazima tu atachemka
 
Wapuuzeni waliosema nimekataa kuzindua kampeni
Rais Mstaafu Benjamin Mkapa amewaambia wananchi wa Arumeru kuwapuuza wale walioeneza uvumi kuwa alikataa kuzingua Kampeni za CCM.
 
Hivi hili zee cjui vipi!!amepiga safari lager kadhaa b4 hajapanda jukwaani maana aliporomosha matusi kama dakika kumi nzima!!!
 
Mkapa analeta sarakasi za kijinga sana, yeye ana hofu kubwa kuwa CCM ikitoka madarakani lazima akanyee debe kwa ufisadi aliofanya akiwa Ikulu kisha kukingiwa kifua na Kikwete. Lingine ni suala la uraia wake tutalianzisha upya. Benjamin William Mkapa ni M'meto toka Msumbiji, aliingia Tanganyika akiwa na umri wa miaka 5, na hakuna mahali popote aliwahi kuukana uraia wa Mocambique. Taarifa hizi ni kwa mujibu wa kaka yake anayeitwa Mwinyi Nkanona ambaye alitoa habari wakati mkapa anachaguliwa kuwa rais, kwa ufinyu wake wa ufahamu hakuelewa kuwa taarifa hii ilikuwa inamharibia mdogo wake, kwa vile ushahidi wa hili upo ni muda tu ndiyo utaamua.

Hivi kumbe aliwanyanyasa akina Ulimwengu wakati na yeye sio Native?
 
Back
Top Bottom