Mkapa: Wapinzani ni wajinga na hawana adabu

Mwanzisha Thread mbona unakuwa na Upendeleo. Embu Tuambie Alitukana Kisa nini?
 
huyu mkapa anajiamini nini? Hajui kuwa itfika siku hii nchi itachukuliwa na hao 'wajinga?' na huo wakati ukifika akatafute handaki
 
Ujinga cyo tusi bali kukosa maarifa ya kitu fulani, na kukosa adabu cyo tusi pia bali ni kukosa busara ktk jambo fulani!
Mimi nawashangaa wanaJF Mnavyobadili mana halisi ya maneno yaliyotumika!

Mkapa **** sana, yaani katukana hadharani, ana akili kama za magamba wenzake, hajui kama anatumika kupuuzi, yaani kwa jinsi alivyokuwa mjinga na mpumbafu, anafikiri kuwa nchi hii inaenda kama alivyokuwa anatawala yeye anafikiri kuwa kila kitu kipo kama kilivyokuwa enzi zake..... safari hii kazi wanayo....!!!!!!!!!!
 
Mkapa **** sana, yaani katukana hadharani, ana akili kama za magamba wenzake, hajui kama anatumika kupuuzi, yaani kwa jinsi alivyokuwa mjinga na mpumbafu, anafikiri kuwa nchi hii inaenda kama alivyokuwa anatawala yeye anafikiri kuwa kila kitu kipo kama kilivyokuwa enzi zake..... safari hii kazi wanayo....!!!!!!!!!!

amewashika pabaya,si mlisema amekimbia
 
Siasa za sasa zimejaa jazba,mtu yeyote akijawa jazba aweza kutamka neno lolote na akaona ni sahihi.Swali ni kwamba,je ni kipi kinachowatia jazba? Hofu? kama ni hofu wanamuhofia nani na kwanini? Its time for the peoples(majority) choice to be respected,Tanzanians are no more the Same.Wakimaliza kutukanana watuambie sisi tukapige kura.
 
Mkapa ulikuwa rais wa nchi, rais wa watu wote, baba wa wote, hupaswi kusimama jukwaani na kubagua watu na kuwatusi achana na mambo ya chama uwe kama baba wa hekima, vyama waachie wastaafu ambao hawajafikia urais.
Si tumezoea waislamu kuitwa wajinga! Leo wapinzani, duh! Ila hii kauli yake ni too general, kwani hata Sharif Hamad?
 
"Wapinzani ni wajinga na hawana Adabu". Hii ni kauli ya Mkapa. Mzee gani huyu? Nitaiga nini kutoka kwake? Mzee mzima ametoka Dar kwenda Arumeru kutoa matusi? Je na mimi nikipewa jukwaa pembeni nikaanza kutoa hotuba kuwa Mkapa ni Mjinga na hana adabu, maneno hayo hayo aliyotumia jukwani tutafika? Inaelekea ametoa matusi kibao ila TBC wameona hayo ndo yanafaa kutuletea kwenye Taarifa ya habari ya saa mbili usiku. Kwa busara hii inayopaswa kutiliwa shaka na kila Mwenye akili, Mkapa ana sifa zote za kuwa "Mzee wa Dar es Salaam".
Kama kaongea hvyo basi atakua ni mtu aliyefirisika sera kichwani,hv yeye anajiona ni wakuwekwa kundi gani kwa kuuza viwanda kwa alivyoachiwa na Nyerere tena kwa bei chee na hao aliowauzia wengi wao wameng'oa machine za hvyo viwanda na kugeuza majengo kua godowns na machine kuzipelela nchi nyingine?alitegemea nchi itaendelea kwa uongo wake,wizi na kuuza nyumba za serikali?matokeo yake amewaacha wananchi wake kua wachuuzi wa bidhaha fake za nje!ana lipi la kujisifia huyu?au kujimirikisha mgodi wa kiwira?apimee kwa matendo yake maovu aliyoyafanya nchi hii na hao wapinzani ni nani mjinga?
 
hana tofauti na albashiri, kesi inamsubiri, hata mifupa yake tukimkosakosa akiwa hai tutaiadhibu. mnajisifia kutuibia. tambueni muda siyo rafiki yenu tena!!!!
 
we utakuwa mtu mwenye uelewa mdogo,neno lolote laweza kuwa tusi kutengemea na litakavyopokelewa na hadhira.Ukiambiwa ma.ta.ko yako ni tusi japo unayo na kazi yake inajulikana vema ni kukalia!
 
Sawa hatuna adabu na ndo maana aliamua kuturudishia Kiwila Coal Mine yetu!
 
Ujinga cyo tusi bali kukosa maarifa ya kitu fulani, na kukosa adabu cyo tusi pia bali ni kukosa busara ktk jambo fulani!
Mimi nawashangaa wanaJF Mnavyobadili mana halisi ya maneno yaliyotumika!

nawewe ni MJINGA NA AUNA ADABU UMEFANYA NINI SASA HAPA
 
Chinga kwake matusi kawaida. Mwaka 2000 alishawahi tukana kuwa wapinzania hawajaenda jando, mzee wa Kilalacha alikomaa nae ili athibitishe kama yeye kaenda .. LOL!, siasa za bongo sina hamu nazo
 
[h=3]CCM: Mkutano Wa Uzinduzi[/h]

Ndg.Benjamin Mkapa akihutubia umati uliohudhuria uzinduzi wa CCM wa kampeni.


Kutokana na tatizo la mtandao tumeweka picha moja wakati tukihangaika kusubiri nyingine zinakuja hivi punde
Katibu mkuu wa CCM Mukama
Original Komedy wametumbuiza
 
Che Nkapa na vituko hahahahahhahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa but watu wetu walivyo wa ajabu wataamini haya maneno na baada ya miezi sita ijayo utakuta wanalalamika kwa ahadi kutotimizwa, watanzania watu wa ajabu sana!
 
Back
Top Bottom