Mkapa utarudisha ardhi uliyoicheua kwa wameru?

msambaru

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
245
109
Mbwebwe za kumnadi sioi zimemfikisha pabaya wiliam, amesurrender shamba lake kwa wenyeji akijua atajacheza kale kamchezo kake kama mwekezaji baada ya ccm kushinda, je atataka alirudishiwe kwa lazima?
 
kaazi kwelikweli.lazima atekeleze ahadi zake za kumwona mkulu ili ardhi imilikiwe na wa meru.siasa bana
 
huyo ni mtoa ahadi hewa zisizo na mashiko kwani cku zote hakujua hayo wakati an mamlaka?
 
Back
Top Bottom