Mkapa: tume tangazeni matokeo CCM imeshinda muuwaache waende mahakamani

amkapa akae atulie ..watz wa sasa c wale wa enzi zake. ona alivyoenda kuaibishwa AR meru
 
BUsara za wazee wetu zimeenda na upepo unaovuma...wamekuwa wagoloko kuliko hata watindiga
 
Mkapa ni kapa kweli amani ya nchi na utulivu kwake ni msamiati,tatizo hajafikishwa the Hague kujibu mashitaka ya mauaji ya halaiki ya watu huko Pemba na sehemu zingine nchini mwetu.Kwa kuwa anadhani Watanzania ni watu wa kubeep aendelee kubeep ndipo ataona jeuri na nguvu ya umma,na kwa kuwa mchuma janga hulia na wakwao nafikiri wakati sasa umefika wa kulia na kusaga meno.Zamani tulidhani kipara ni ishara za ukomavu na uelewa wa mambo kumbe kweli ule usemi wa akili ni nywele sasa unajidhihirisha wazi

na mvi tulidhani ni busara mchina akatuletea rangi nyeupe akina el wakapaka na sasa mvi si busara wala chochote
 
Kubwa iloko sasa ni ile sheria ya kunyongwa isifutwe kwanza mpaka upinzani wachukue wajekuitimiza kwa hawa wezi walotuibia ndo baada ya hapo iondolewe sijui ataanza nani kukitumikia kifo?
 
Jana Dr. Slaa amedai kuwa ktk vikao vya siri vya ccm anekaririwa rais mstaafu BWM akiishinikiza tune ya uchaguzi kuitangaza ccm imeshinda uchaguzi wa Arumeru hata kama wameshindwa kwa sababu wataenda mahakamani na kesi itafia huko.

Napata picha kuwa ccm ni wezi, wanyang'anyi na wauwaji mbinu kama hii ndio iliyompa ubunge Makala baada ya mkapa kumtishia maisha mbunge wa cdm aliyekuwa ameshinda Mvomero baada ya kushindwa kumhonga

Tusikubali ushenzi huu cz wanajua fika tume na mahakama ni wateule wa mwenyekiti wao

Hii ni hatari kama kionozi kama huyo anasema hivyo bila kujali athari zitazo wapata wananchi. Mbona wasiseme hadharani wanajificha? Huyu babu ni bora engeenda kulea wajukuu. Aibu yake. Hapa Chuga si Igunga.
 
nami nakubali kuwa anapelekeshwa kwa madhambi aliyofanya akiwa ikulu. sasa huyo SIOI ujue hakubaliki arumeru yaani hata kwenye kata yake ameanguka tumsaidiaje mkapa anajishushia heshima kwa kasi sana:playball:
 
Back
Top Bottom