Mkapa ndio mgombea ubunge arumeru??

Top Thinker

Senior Member
Sep 8, 2011
183
125
NAANGALIA TAARIFA YA HABARI ITV HAPA.

NIMESHANGAZWA NA KAULI YA MZEE NKAPA KUANZA KUSEMA KUWA ATAHAKIKISHA ANASIMAMIA MASLAHI YA WANANCHI NA KUWASAIDIA KATIKA SUALA LA UMILIKI WA ARDHI. YAANI ITS LIKE JAMAA NDO ANAJIPIGIA KAMPENI NA SIO KUMNADI BWANA MDOGO SUMARI. Whats the secret behind?
 
Kupagawa@kuchanganyikiwa jazz band!
Lazima achanganyikiwe, uzinduzi wa CDM ulikuwa sio mchezo, nimeona star tv habari huko mwanza Zitto amekula vichwa vya ukweli, wakiona hivyo wanaongea lugha isiyoeleweka...


Watz wanazidi kuamka kila kukicha..
 
Mkapa miaka yake 10 alishindwa hata kupima ardhi na kuwagawia wananchi halafu leo hii zilipendwa ndo anakuja na porojo. Ataishia kunawa tu mwaka huu kwani it seems like Nassary is on the way to victory...
 
NAANGALIA TAARIFA YA HABARI ITV HAPA.

NIMESHANGAZWA NA KAULI YA MZEE NKAPA KUANZA KUSEMA KUWA ATAHAKIKISHA ANASIMAMIA MASLAHI YA WANANCHI NA KUWASAIDIA KATIKA SUALA LA UMILIKI WA ARDHI. YAANI ITS LIKE JAMAA NDO ANAJIPIGIA KAMPENI NA SIO KUMNADI BWANA MDOGO SUMARI. Whats the secret behind?
Una haki ya kutomwelewa Mkapa kwa sababu umezoea makamanda badala ya kunadi sera wao huwa wnatukana chama pinzani.Kwa mawazo yako unafikiri hizo ndo huwa sera , pole sana. Very less minded.
 
De facto wagombea wengi wa CCM hawashindi kwa nguvu ya hoja bali kwa nguvu ya chama thus Mkapa anajua anachokisema kwamba yeye ndiye atachagiza ushindi kwa niaba ya chama kwa maana kwamba hata kama gwanda lingesimamisha jiwe lingeshinda tu..................
 
Magwanda wanapoona maji yanawazidi kimo!

Ogeleeni, wacheni kupiga mayowe, mtazama.
. Wanavua magamba tunavaa magwanda. Ya CCM amekuwa mazito. Gwanda unaweza kulifua likatakata mbele ya wa tz, lakini gamba, gamba ukijaribu kulisafisha unalichubua na kulijaza mikwaruzo. ila mkapa kanifurahisha, alikuwa kama ka kijana ka miaka si zaidi ya 35. maana hata matusi kanatoa tu mbele ya wazee kama yeye.
 
Hicho kipindi alichokuwa marehemu Sumari hapakuwa na hiyo ardhi ndio CCM wanaona Leo? Thanxs 2 multparty.
 
Back
Top Bottom