Elections 2010 Mkapa na Mwinyi kutoshiriki kampeni za JK

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,428
1,050
Wanajamvi, hivi ni kwanini Marais wastaafu Mzee Mkapa na Mzee Mwinyi hawashiriki katika kumpigia kampeni Kikwete???!!!!!, kama sikosei tangu kampeni zimeanza sijawahi kuwasikia katika kushiriki kampeni za JK. kuna nini??
 
Family affair, Salma, Rizwani, Miraji, Mtawa..........................................
 
JK ana timu yake ya ushindi, ikiongozwa na Makamba, salma, Riz1, Shimbo, Tendwa, na wengineo
 
Wameamua kuiachia familia manake urais umekuwa na suala la kifamilia.
Pili wameogopa aibu ambayo ingeweza kuwapata atakaposhindwa jamaa, na wameogopa kuzomewa kama huyu kiwete anavyozomewazomewa!
 
Wanajamvi, hivi ni kwanini Marais wastaafu Mzee Mkapa na Mzee Mwinyi hawashiriki katika kumpigia kampeni Kikwete???!!!!!, kama sikosei tangu kampeni zimeanza sijawahi kuwasikia katika kushiriki kampeni za JK. kuna nini??

Mkapa (hivi majuzi) alisema "Uchaguzi wa Mwaka huu utafanyika bila mawaa" na "hakuna atakayeibiwa kura"

Kigoda (Dr. Abdalla) alifika mbali zaidi na kuanza kumnadi Mkapa kwenye kampeni.

Mwaka huu CCM wanalo.
 
Wanajamvi, hivi ni kwanini Marais wastaafu Mzee Mkapa na Mzee Mwinyi hawashiriki katika kumpigia kampeni Kikwete???!!!!!, kama sikosei tangu kampeni zimeanza sijawahi kuwasikia katika kushiriki kampeni za JK. kuna nini??

Malecela alijaribu Iringa, then sijamsikia tena. Something is happening. Nikijaribu kufuwatilia jaguzi ndogo zilizopita kama za Busanda na Tarime, vigogo wote wa CCM walikuwa wanahamia huko. Lakini leo hatusikii cha Tingatinga, Msekwa wala Kingunge kwenye hizi kampeni badala yake ni Riz1, Salma na Kinana. Hata Makamba haongei tena..............!!!!!
 
suala la kampeni limekaa kifamilia zaidi,mkapa an familia yakena mwinyi ana familia yake sasa unataka waingilie mabo ya familia ya jk kwani yanawahusu nini?
 
Wapo kwenye kampeni za ndani kwa ndani. wanahudhuria mikutano hii ya kampeni ni Shimbo, Mwema, Tendwa, yule mkuu wa TISS na bosi wa NEC, mkuwa wa daily news, Salva, Tido, Makamba, Msekwa
 
Wao wanajua kuwa this is an impossible mission . Kikwete Dynasty. Ha ha ha.
 
Mbona Mtei, Makani et al hatuwasikii? tunaona mambo ya family affairs tu Dr Slaa, Josephine "mchumba" Mahimbo, Rose Kamili nk
 
Usiwaingize watu na heshma zao katika masuala ya familia ya mtu, hata hivyo mkapa ni mtu smart sidhani kama anaweza ana muda wa kufuatilia maswala ya ndani ya Jk na familia yake.
 
Hii ya kuwashirikisha wanafamilia kwenye campaign imemcost sana Jamaa. Hata mitaani wanasema jamaa atamtumaje mke wake kwetu? Hii inaonyesha Dharau!!!
 
Yaani kuna chama ndani ya chama kinaitwa CCM-Familia ndio kinachoongoza.
 
Kwa taarifa tu JK ni "mgombe binafsi" ila anatumia tu jina la CCM. Kwa kuwa uraisi hauna ubia na mtu na mwaka huu 2010 JK yupo "kifamilia" zaidi.
 
Back
Top Bottom