Mkapa na Lowassa Wakamatwa

Status
Not open for further replies.

Geeque

JF-Expert Member
Aug 17, 2007
936
316
Aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Benjamin William Mkapa na Waziri Mkuu mstaafu katika serikali ya awamu ya nne Mh. Edward Ngoyayi Lowassa wamekamatwa na kufikishwa katika mahakama ya kisutu leo hii asubuhi wakihusishwa na makosa ya kutumia madaraka yao vibaya na ulaji wa rushwa. Kukamatwa kwa viongozi hao waastafu kumewashtua wananchi wengi ambao hawakutegemea viongozi hao wangeweza kufikishwa mahakamani. Hadi tunaingia mitamboni kesi yao ilikuwa bado inasikilizwa, habari zaidi na picha zitaletwa hivi punde.
 
why you would like to waste your time writing this shit! you have to value your time! you're a really fool!
 
Najaribu kuweka picha za tukio wakati watuhumiwa wakifikishwa mahakamani.
 
this fools day thing is a bit annoying actually.... I wish it wouldnt manifest itself mpaka humu.. utterly pointless.not even funny because any one with a brain knows of it and remembers it.
 
Aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Benjamin William Mkapa na Waziri Mkuu mstaafu katika serikali ya awamu ya nne Mh. Edward Ngoyayi Lowassa wamekamatwa na kufikishwa katika mahakama ya kisutu leo hii asubuhi wakihusishwa na makosa ya kutumia madaraka yao vibaya na ulaji wa rushwa. Kukamatwa kwa viongozi hao waastafu kumewashtua wananchi wengi ambao hawakutegemea viongozi hao wangeweza kufikishwa mahakamani. Hadi tunaingia mitamboni kesi yao ilikuwa bado inasikilizwa, habari zaidi na picha zitaletwa hivi punde.

Fooling the fools in April Fools day.
 
Mi nadhani kesho uwaombe radhi.
 
Du lakini natamani kuiona hiyo siku ambayo Jamhuri ya Muungano wa Danganyika itathubutu kuwapeleka Mh. Mkapa na Lowasa kwa pilato. Kiza kitatanda nchi nzima kama ile ishara ya Yesu kufa msalabani!!!! au itakuwa kama vile kupatwa kwa jua!! Wanasayansi wanaiita Sun Eclipse!!!!
 
this fools day thing is a bit annoying actually.... I wish it wouldnt manifest itself mpaka humu.. utterly pointless.not even funny because any one with a brain knows of it and remembers it.

Kinyambiss jua kuwa sisi member wa Jamii forum and visitors we need also ku socialize na dunia!!! We are not an Ireland, sisi siyo kisiwa cha Mafia!!!! Are we that exceptional!!! ??? Sisi ni part ya dunia na jamii kwa ujumla, so matukio na siku kama hizi hazitutengi!!!! It refreshes our mind!!!! Mi naipenda! Cha msingi inakupa changamoto ya kukumbuka ala kumbe leo ni fools day??? Usije ukakuta unasikia tanganzo lako la kifo ndani ya redio leo hii wakati wewe ni mzima!!!! That is why it is called fools day, but creative Day kwa wale ambao wanafikiri hata strory za kusisimua ambazo ni za uongo. Na kwa wengi huwa wanaziamini kabisa, ni mpaka washtuliwe kuwa, e bwana we hiyo ni ya wajinga.

Inashauriwa ukiwa na issie strong ya kweli inayohusu media si vema kuitaka iwe aired on this special "Fools Day, but Creative Day".
 
this fools day thing is a bit annoying actually.... I wish it wouldnt manifest itself mpaka humu.. utterly pointless.not even funny because any one with a brain knows of it and remembers it.

Take it easy,loosen up a bit,you will not get out of this life alive so try to enjoy it while you can.
 
Geeque!Mbona wenzako wapo mnazimmoja wanasheherekea hiyo sikukuu yenu?wewe uko wapi nikutumie usafiri ili uwahi hata kushikana mikono na wenzako.nenda mkapange mikakati yenu ya mwaka huu mpaka mwakani april Mosi tena.
 
hii,hii!

Hii ni sikukuu ya Mabwege wote Duniani.
Sioni sababu ya kupiga kelele juu ya hoja hii.
Kama habari hii ime kushitua hivyo ndivyo ilivyokusudiwa.
Zaidi anzisheni hoja ya kupinga kusherehekea siku hii duniani.

Hii hii!
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom