Mkapa na Kikwete: Ole wenu..Tuepushieni balaa

Sasa imefika wakati Taifa linatekwa nyara kwa mambo ya Ushirikina na kupeana sumu ili kuficha madhambi, when will these two heads come out of molehill and clear the mess they created?
We are fade up we need our Country back.Sauti ya umma ni Sauti ya Mungu,tuamke watanzania.
 
picha ya youtube na maelezo yake hapo wakioana mbona mishipa ita washituka!

Ila kweli nchi yetu inahitaji mabadiliko ya haraka,sasa ni juu yetu !
Mungu katuletea Jiwe
 
I have seriuose pbroblem with My President.

Moyoni na kwenye fikra zake ANA AMINI NINI?

Anaamini na kusimamia nini?

Ameshikilia nini?

Na hatimaye ANATEGEMEA NINI?

AU?

Anategemea kupata majibu ya maswali yangu kwa safari mbalimbali?

Anaamini kwenye kukaa kimya na kimya kiendeshe Taifa...

Anaamini na kutegemea ..wapige kelele finaly watanyamaza...

sijui ameona kilichomponza Rafiki yake..BENJAMINI Mkapa?

Ameona kosa na shimo alilitumbukia..Ben?...Au yuko mbioni..kufuata nyayo?

Au:

Anategemea Kipindi kijacho kukabili mambo kwa kina na mapana?
Kwema mkuu
 
Kuna mengi yamesemwa/andikwa kuhusu Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mh. Benjamin William Mkapa: "Oh, mkapa ni fisadi," "Mkapa alitumia madaraka ya Urais vibaya," "Mkapa ajitete mbele ya umma," "Blah... blah... blah..."

Lakini ukweli ni kwamba: ni Mzee Ben, na sio Mzee ruksa, wala this Kikwete guy, ambaye ameifanyia nchi hii mema na mazuri. Ikumbukwe kuwa baada ya uchaguzi mkuu wa 1995, Mkapa alipokea nchi iliyokuwa katika hali mbaya kupindukia.

Rushwa ilikuwa imekithiri. Pato la taifa lilikuwa chini. Ukwepaji kodi ulikuwa katika kiwango cha kuogofya. Na miundo mbinu ilikuwa imechoka kupindukia.

Ni chini ya utawala wa mzee Ben ndipo watanzania kwa mara ya kwanza tulipoanza kuona sera ya taifa kuhusu uchumi ikipewa kipaumbele. Miundo mbinu ikiboreshwa. Pato la taifa likikua. Na kamba dhidi ya vita ya rushwa ikikazwa.

Lakini pia katika viongozi tuliowahi kuwapata, ukimuacha Mwalimu, ni Mkapa peke yake aliyekuwa na ubavu wa kupinga kuendeshwa na nchi za Magharibi. Mwinyi alikuwa anajikojolea wahisani wakikohoa, Kikwete (sote tumeshuhudia) anacheza samba kila mara nchi za magharibi zikimuamuru afanye hivyo.

Yes, kuna mabaya amabayo Mkapa ameyafanya ktk kipindi cha miaka 10 akiwa ikulu: (1) mikataba mibaya hususani madini (ambayo hata hivyo ni mwanasheria mkuu ndiye anapaswa kulaumiwa);(2) kumuachia mke wake adictate badhi ya shughuli za kiserikali ( one of his weakness). (3) kujihusisha na bishara akiwa ikulu (which is a minor thing)...

Cha msingi hapa ni kujua kuwa Mkapa sio Malaika bali mwandamu. na kama mwadamu, naye pia anahadawa na tamaa ya kuwa na maisha yaliyotulia. You know, financial security and all those things, kwa ki-inglish.

Hitimisho: Hapa suala ni kwamba, Kikwete and his inner circle wameshaona kuwa wamechemsha big time, hivyo wanachokifanya ni kumchafulia mzee Ben jina ili watu wasipate fursa ya ku-compare utawala wake (mtalii Kikwete) na ule wa mzee Ben (mtu safi).
Upo?
 
Back
Top Bottom