Mkapa: Lowassa was right!

Haya mwaka huu ni CCM na madudu yake .Wacha tuangalie . JK alisema tumwache apumzike je yeye anataka kupumzika mwenyewe ?
 
Kamanda FS;
Hoja inazungumzika vizuri sana tatizo ni timing.Kuna taarifa wazi humu kuwa mhadhara huu si juzi baada ya msiba wa Salome Mbatia.

Hata hivyo tujifunze kulia tukiwa msibani na kufurahi tunapokuwa shereheni.
 
Jamani huyu mzee alikuwepo tu hapa jijini na huko Makumira kaenda lini jamani,Moderator ,kwa uungwana acha kuwachanganya watu kwa kuwapa zilipendwa.
 
Jamani
Hii post ni ya zamani sana kabla hajasema kuwa amestaafu siasa. Watu mnaandika kana kwamba amesema hayo mambo baada ya kusema amestaafu siasa. Ni mjadara mzuri ukiondoa hiyo kasoro ndogo.

Noma! Mkuu kweli kabisa binafsi nakiri nimechemsha nafuta kauli yangu...
 
Lakini, Ben anaposema EL hakukosea kuhs City Water, maneno hayo yanabidi kufanyiwa kazi kubwa sana. KWanza kuangalia uhusiano wa Mkapa na City Water, EL na City Water.

Kama sikosei, Superdol walikua na hisa ktk City Water na Mkapa na Superdol(Mtibwa/Kagera Sugar) unafahamika ila kwa ufupi ni kwamba Mkapa ana shamba na nyumba Mtibwa linalohudumiwa na Superdol na yeye kupelekewa fedha tu.... Mkapa ndiye aliyewapa Kagera Sugar dhamana ya BoT ya USD 65m... Ndiye aliyeshinikiza Superdol kufutiwa deni la mamilioni NBC kwa serikali kulipa deni hilo na kuilazimisha NBC kufuta kesi mahakamani (kumbukumbu zipo)...... Kwa hiyo hili suala hapa MKAPA ANAJARIBU KUJIWAHI MAANA ISSUE YA CITY WATER THISDAY HAWAJAIGUSA NA SI KWAMBA HAWAIFAHAMU BALI NI SUALA LA WAKATI TU. NA KWA KWELI UNAPOMZUNGUMZIA MKAPA/CITY WATER/ LOWASA/SUPERDOL UNAKUA NA MAANA PANA ZAIDI, NA HII KWA WENYE KUFAHAMU WATAONA NI JINSI GANI ILIVYO NGUMU KWA MKAPA KUCHUKULIWA HATUA, LABDA AANZE KUCHUKULIWA HATUA EL, NA HAPO NDIPO NAONA HATA KINA HOSEA NAO WAMEINGIZWA KATIKA MKUMBO
 
JENGA HOJA INGINE KUHUSIANA NA MAHUSIANO HAYO LAKINI SI TABIA NJEMA KUPEANA MENU ZILIZO LALA
 
Hazijalala, hivi hujui kwamba serikali inaingia gharama katika kesi ya City Water? hoja hapa ni Mkapa anasema Lowasa hakukosea kuhusu City Water, sasa ninapozungumzia kwamba Mkapa anahusika katika City Water, na kwamba anachozungumzia si kama anamtetea Lowasa bali anajitetea Mwenyewe, inakuaje kuwa ni hoja iliyolala? Kama imelala basi mada nzima hapa IMELALA. Fedha za City Water zilizotoka World Bank zitalipwa na Watanzania, kama si mimi na wewe ni watoto wetu ama wajukuu, HAKUNA CHA MADA KULALA HAPA, TUNATAKA FEDHA ZETU TUJUE NI NANI ALIHUSIKA KUZILA ama Kwa uzembe ama makusudi
 
Back
Top Bottom