Mkapa kutoshiriki kufunga kampeni Arumeru mashariki

segwanga

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
2,789
729
Baada ya kujikuta akizama kwenye tope zito siku ya ufunguzi,rais mstaaf ben hataki tena kurudi arumeru mash kushiriki ktk kufungwa kwa kampeni za uchaguzi mdogo mwishoni mwa mwezi huu.Katika kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la igunga,mkapa alihusika ktk uzinduzi na kufungwa kwa kampeni za ccm.Kwa kampeni za Arumeru mashariki Mkapa alijichafua mwenyewe baada ya kusema kuwa vincent nyerere si mwanafamilia ya baba wa taifa.

Inasemekana mkapa anamfaham fika vicent nyerere kuwa ni mwafamilia ya nyerere lkn alijifanya kutomfahamu kwa sababu wameru walionekana kuwa na shauku ya kumwona mtu mwenye jìna la nyerere ambalo ni jina kubwa ktk medani za siasa za tz hivyo mkapa kuamua kupotosha kwa makusudi na kujikuta inakula kwake.

Ili kuepuka kuchafuka zaidi yeye na chama chake wameamua asirudi tena arumeru katka ufungaji wa kampeni.

Source.Ni ya uhakika toka jikoni lumumba stréet
 
si alidai kuwa alikuwa anatania?? Sasa hataki kurudi kumalizia utani aliouanza??
 
Ben hii current regime kuwa makini nayo unaweza enda chaka ukapoteza ata raia wachache ambao wanajua ulikuwa raisi wa ukweli
 
Mlituambia hatakwenda kufungua kampeni Arumeru........akawaumbua siku ya ufunguzi wa kampeni kwamba mnaosema hivyo ni wajinga na hamkwenda kumuuliza mkamsemea kwenye vyombo vya habari.........mnarudia tena kosa lilelile.
 
arudi akajibu tuhuma otherwise wameru watachukulia maneno ya vicent ni ukweli mtupu
 
Baada ya kujikuta akizama kwenye tope zito siku ya ufunguzi,rais mstaaf ben hataki tena kurudi arumeru mash kushiriki ktk kufungwa kwa kampeni za uchaguzi mdogo mwishoni mwa mwezi huu.Katika kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la igunga,mkapa alihusika ktk uzinduzi na kufungwa kwa kampeni za ccm.Kwa kampeni za arumeru mash,mkapa alijichafua mwenyewe baada ya kusema kuwa vincent nyerere si mwanafamilia ya baba wa taifa.Inasemekana mkapa anamfaham fika vicent nyerere kuwa ni mwafamilia ya nyerere lkn alijifanya kutomfahamu kwa sababu wameru walionekana kuwa na shauku ya kumwona mtu mwenye jìna la nyerere ambalo ni jina kubwa ktk medani za siasa za tz hivyo mkapa kuamua kupotosha kwa makusudi na kujikuta inakula kwake.Ili kuepuka kuchafuka zaidi yeye na chama chake wameamua asirudi tena arumeru katka ufungaji wa kampeni.

Source.Ni ya uhakika toka jikoni lumumba stréet

Nilidhani kuwa Mkapa alipangiwa ratiba na CCM kufungua na kufunga kampeni za Arumeru kumbe ratiba hii mpya umepanga ratiba wewe.

Unatuletea ratiba ya Igunga na kuipeleka Arumeru. Acha propaganda.
 
Baada ya kujikuta akizama kwenye tope zito siku ya ufunguzi,rais mstaaf ben hataki tena kurudi arumeru mash kushiriki ktk kufungwa kwa kampeni za uchaguzi mdogo mwishoni mwa mwezi huu.Katika kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la igunga,mkapa alihusika ktk uzinduzi na kufungwa kwa kampeni za ccm.Kwa kampeni za arumeru mash,mkapa alijichafua mwenyewe baada ya kusema kuwa vincent nyerere si mwanafamilia ya baba wa taifa.Inasemekana mkapa anamfaham fika vicent nyerere kuwa ni mwafamilia ya nyerere lkn alijifanya kutomfahamu kwa sababu wameru walionekana kuwa na shauku ya kumwona mtu mwenye jìna la nyerere ambalo ni jina kubwa ktk medani za siasa za tz hivyo mkapa kuamua kupotosha kwa makusudi na kujikuta inakula kwake.Ili kuepuka kuchafuka zaidi yeye na chama chake wameamua asirudi tena arumeru katka ufungaji wa kampeni.

Source.Ni ya uhakika toka jikoni lumumba stréet

Aende au asiende does not make any difference. Akienda Chadema watamhoji kuhusu uthabiti wa kauli yake. Asipoenda ndo balaa zaidi. So, it's all up to him and CCM.
 
Chadema mna hofu moja kuu kwamba Mkapa akifunga kampeni Arumeru CCM itashinda. Hofu ya nini wakati kura hazijapigwa?
 
Mambo ya utani jukwaani?! Bw mdogo Nyerere alisema Benny kam-beep akaamua kumpigia! Ajibu mapigo, anakimbilia wapi?. Siasa za CCM uongo na uzushi ni sehemu ya campaign zao. Mkumbuke Wassira hivi majuzi na uzushi wake!! Damn!!!
 
Aende au asiende does not make any difference. Akienda Chadema watamhoji kuhusu uthabiti wa kauli yake. Asipoenda ndo balaa zaidi. So, it's all up to him and CCM.

It does make difference ndio sababu thread imeanzishwa hapa na mkereketwa aliyetumwa kupima upepo kama tuna habari rasmi za Mkapa kwenda tena Arumeru kufunga kampeni.
 
Mlituambia hatakwenda kufungua kampeni Arumeru........akawaumbua siku ya ufunguzi wa kampeni kwamba mnaosema hivyo ni wajinga na hamkwenda kumuuliza mkamsemea kwenye vyombo vya habari.........mnarudia tena kosa lilelile.

Kwa aliyoyafanya na yaliyomkuta ilikuwa faida kwake kutokwenda kama walivyosema mwanzoni kuliko alivyofanya na kurudi na aibu. Mara aliomba apatanishwe na Vicent Nyerere na hatimaye akaishia kutetewan na Mama Maria Nyerere kwamba Mkapa hakuhusika na kifo cha Mwl. Nyerere. Hata hivyo mama Maria Nyerere alichindwa kujibu kama Vicent Nyerere ni mwanafamilia ya Nyerere.

Mkapa! aibu yako. Usirudi tena maana hatujui utakwenda kujimaliza.
 
Tuna hasara sana na uongozi ulioko madarakani!
Janga kwa Taifa le2!

Ila hakika mwisho wao waja!
Hatadhubutu kuweka miguu yake hapa!
 
Mkapa aje,asije kufunga kampeni CDM kama ni wa kushinda watashinda tu.
Na ukweli ni huu CCM hawaoni kitu ndani ya CDM.
CDM msiogope chochote ushindi ni wetu hata kama wakichakachua.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom