Mkapa kutinga kortini

Rais Mstaafu Benjamin Mkapa anatarajiwa kutinga mahakamani Kisutu, katika kesi inayomkabili Prof Mahalu juu ya manunuzi wa nyumba akiwa balozi nchini Italia. Rais Mkapa atatua Kisutu kutoa ushahidi katika kesi husika.

Source: Gazeti la Mwanahalisi, Aprili 27, 2011
Hii itavunja rekodi hapa bongo, sijawahi sikia mkuu wa kaya au aliyewahi kuwa mkuu wa kaya akakanyaga kizimbani kutoa ushahidi au hata kushitakiwa.
 
Mbona yeye ajashitakiwa kwa kununua mladi wa Kiwila kwa Mil 70 badala ya makubaliano ya awali ya Mil 700 ingawa Mladi wenyewe ulikuwa unathamani ya Shiling Bilion 70!!!!!!!!!!!!! hapo ni changa la kope tuuuuuuuuuu

Kuna ubaya gani Mkapa kununua Kiwira Mkuu? kama alinunu adharani na ku- claire Publicly? kwani alifanya kwa siri, au alibadili majina akaweka ya bandia? Nani anajua kuwa kati ya hao wathamini wawili wa 70 na 700 mio yupi yu sahihi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom