Mkapa kujibu tuhuma mbele ya waandishi wa habari

Status
Not open for further replies.
Alivyoanza kulikoroga alitegemea alinywe nani? Atalinywa asijali kuwa limeiva au bichi, kumbe hakuwa na kifua akalianzisha.
 
Huyu Mkapa ni fisadi wa daraja la kwanza, sawa alilifanyia taifa mengi mazuri ila kipengere za ufisadi hakisafishiki! Kiwira coal mining, Net Solution, EPA ni mshiriki mkubwa.
Hayo aliyofanyia taifa ni yepi mkuu wangu? Ku implement IMF and Word bank recommendations!! Kitu gani alibuni kama rais? Mbinu ya kutengeneza mazingira bora ya uwekezaji ndio hiyo hiyo imetumika kutuliza bila faida!!
 
alimuua AMRAN KOMBE ushaidi ni yeye kutoa msamaha kwa wauaji huku wakiwa wamehukumiwa kunyongwa!
 
Nasubiri kwa hamu hiyo press coference.............. Lakini angeenda kulekule Arumeru maana magazeti waasomi kule hivyo haitakuwa rahisi kujisafisha!!
 
kiwanda cha MTIBWA SUGAR chake,ushaidi mmiliki wa super doll,kampuni tata ya SIMU2000 jk kaifutilia mbali
 
Anaongelea wapi? tafadhali tujuzeni....
Aeleze hayo yote kuanzia ya Kombe, Mwembechai, Pemba...na kule Bulyanhulu.
 
mmesahau..... alitaka kuinywa na nmb bank ya watu wadogo eti inapata hasara
 
kama asingekuwa anahusika na kifo cha Baba wa taifa angekaa kimya.....muuwaji mkubwa huyu
 
Hoya no uchaguzi aw mbunge wa Arumeru mashariki,watu wenye akili hawawezi kujeadili matatizo ya Wameru na uhusiano wa matatizo hayo na uchaguzi we mbunge mkaanza kuzua mambo yanaweza kujeadili mfarakano usiokuwa na Tina kwa taifa. Baba aw taifa aliaga dunia miaka12 iliyopita iweje muuaji apatikane tokana na uchaguzi mdogo wa Arumeru. Tusche kuchezea amani ya nchi yetu kwa yasiyokuwa na msingi.
 
Hili dude bwana we! La kimataifa hili bwana weee! Mzee Ben hili unalo unge2lia zako tu haya yote yasingekukuta umechokoza nyuki sasa! Na kama kweli ulifanya hilo jambo ulaniweee!
 
Hoya no uchaguzi aw mbunge wa Arumeru mashariki,watu wenye akili hawawezi kujeadili matatizo ya Wameru na uhusiano wa matatizo hayo na uchaguzi we mbunge mkaanza kuzua mambo yanaweza kujeadili mfarakano usiokuwa na Tina kwa taifa. Baba aw taifa aliaga dunia miaka12 iliyopita iweje muuaji apatikane tokana na uchaguzi mdogo wa Arumeru. Tusche kuchezea amani ya nchi yetu kwa yasiyokuwa na msingi.

Fanya spelling check kabla ya kupost! Kiazi mkubwa wewe
 
Ndio maana nyimbo na mapambia ya mzee Komba na TOT baada tu kifo kutangazwa walianza kuimba na kupepesa midomo....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom