Mkapa kujibu tuhuma mbele ya waandishi wa habari

Status
Not open for further replies.
Nahitaji Coke Na Popcorn nitizame hii movie kwa HD vizuuuuuuuuri.

Mkapa ubaya uliwataka mwenyewe
 
Huyu Mkapa ni fisadi wa daraja la kwanza, sawa alilifanyia taifa mengi mazuri ila kipengere za ufisadi hakisafishiki! Kiwira coal mining, Net Solution, EPA ni mshiriki mkubwa.
 
....... mwendelezo wa filamu iliyoanza Arumeru

wajamani msininuukuuu! kurikuwa na tetesi tu uchaguzi wa 2000, Hayati Mwl JKN, alipanga kuja na hoja ya raisi mwanamke......... lengo ni kumuondoka BWM..... akawahiwa yeye sasa

Amelianzisha analo hilo!!!
Haya maneno yanaweza kuwa na ukweli ndani yake kwa asilimia 80-90! Maana kama Mwalimu alimpendekeza Mkapa kuwa Rais kwa kumpigia debe kuwa ni Mr. Clean LAKINI HAMADI AKAMGEUKA MWALIMU KWA KUWA FISADI NA MUUZA NCHI BILA SHAKA lazima alikuwa na kila sababu ya kumwondolea mbali Mwalimu mwaka 1999. Mkapa kama binadamu alikuwa anajua kabisa kuwa UCHAGUZI WA MWAKA 2000 ASINGEPATA NAFASI HIYO YA KIPINDI CHA PILI KWA UOZA ALIOKUWA AMEANZA KUUFANYA NA MWALIMU AKIUONA.

Lazima Marehemu Nyerere angelimwekea pingamizi kuingia 2nd term yake kama alivyowazuia kina Lowassa na Malecela.Mkapa aliliona hili na ndiyo maana alifanya namna ya kummaliza kwa kutumia janja hiyo ya ugonjwa ambao hatuna hakika kama kweli ilikuwa ni mapenzi ya Mungu au MKONO WA MTU(Mkapa + Mwakyusa).

Tusubiri tuone hatima ya movie hii tamu.
 
Hatati Mwl. J.K Nyerere alikataha mlabaha wa 15% akasema ngoja watanzania wasome, Mkapa na CCM yake wakabubali 3%! hakika mchawi wetu ni CCM tu!

Benjamen kaua watu wengi zaidi ya huyo mmoja kiuchumi,kwa njaa baada ya kugawa mashirika yoote kwa bei ya unga wa dona na migodi kwa mrahaba wa 3% bila kuhesabu waliofukiwa Nyamongo,wachilia mbali mambo ya Imrani,waandamanaji wa Zanzibar
Hana majibu yoyote ya maana atakoyotoa labda aende huko kwao Nanyumbu
 
Mkapa aliliona hili na ndiyo maana alifanya namna ya kummaliza kwa kutumia janja hiyo ya ugonjwa...(Mkapa + Mwakyusa). Tusubiri tuone hatima ya movie hii tamu.

Hii kali. Ina maana BWM alimuua Nyerere kwa kushirikiana na Mwakyusa halafu akampa Mwakyusa Uwaziri wa Afya kama shukurani?
 
Huyu mzee hana washauri, au ukishastaafu unaondolewa wale washauri?
Alianza kwa kuwaita wapinzani MAKOKOTO!..wakakaa kimya!
Sasa hivi Arumeru kasema wapinzani ni wajinga sana!..alitegemea watakaa kimya!
Mbona hata JK hajawahi kutamka kuwa Wapinzani ni wajinga sana?..yeye anajiamini nini?..Ni freemason nini?
Akaenda mbali zaidi kwa kumpandia mtu mmoja personally, akidhani mpango wake wa kumnyonga Mwalimu kwa kutumia sumu kali ya Arsenic ulikuwa wa siri na hakuna ambaye angejua!..Aisee huyu mzee mbaya sana wakuu!
 
Ngoja ni gugo hiyo sumu Arsenic
ili niunganishe dots.

Update:
=============
http://www.bbc.co.uk/health/physical_health/conditions/arsenic_poisoning.shtml
 
Mauaji ya pemba kupeleakea wanzibari kuikimbia nchi hadi shimoni kenya na mogadishu somalia yachunguzwe.
 
Sasa naanza kuamini Hayati mwl.Nyerere anakaribia kutangazwa MWENYE HERI maana magugu yanaanza kung'olewa.Isafisheni nji9a yanyoosheni mapito yake yuaje mfalme waamani.VIVa Nyerere family
 
Ngoja ni gugo hiyo sumu Arsenic
ili niunganishe dots.

Update:
=============
BBC - Health: Arsenic poisoning
[h=3]Toxicity of Arsenic:[/h] The acute lethal dose of inorganic arsenic to humans has been estimated to be about 0.6 mg/kg/day: RAIS data . This means that for a 70 kg (150 pound) adult, a toxic dose is 42 mg or 0.042 grams. For a 20 pound child, this works out to 6 mg or 0.006 grams. For comparison, a 12 foot long 2x6 contains about 27 grams of arsenic, enough to kill more than 200 adults. Exposure to high levels of inorganic arsenic - greater than 100 ppm parts of arsenic in food or water - can also be fatal. Arsenic and arsenic compounds are known cancer-causing agents and have been implicated in lung and skin cancer and associated with birth defects. While organic arsenic (arsenic combined with carbon compounds) is less toxic it causes similar effects.

More detailed toxicity information for the medical community can be found at: Risk Assessment Information
 
Mkapa, umefanya maovu mengi mno kwa taifa hili la Tz!
1. Umeiba rasilimali za nchi ulizopewa uwe kama mdhamini na mtunza hazina wetu, ukajimilikisha madini na kufungua biashara Ikulu wewe mkeo na watoto wako
2. Mkapa alifanya mauaji kwa wananchi wa Pemba na Unguja Mwaka 2000 kwa maslahi madogo ya kisiasa na kutojali roho za watu. Zaidi ya hapo hakuna aliyewajibishwa na kwa dharau aliwapandisha vyeo wauaji

3. Mkapa aliua waandamanaji wa Kiislam pale mwembe chai
4. Mkapa alimtuma mramba awaambie wale nyasi ili yeye anunue ndege ya kifahari ili aishi maisha ya kifalme huku watanzania wakifa kwa njaa!
5. Mkapa aliuza nyumba za serikali ambazo zilijengwa kwa jasho la wakulima, wafanya biashara na wafanyakazi, kwa watu wachache!
6. Hili la kumuua Mwalim ni moja tu ya ukatili na roho mbaya yake kwa taifa la tz
 
Atafanya kosa lingine kubwa zaidi kama anataka kujaribu kujibu hizo tuhuma tusubiri tuone!

Mtikila aliwai kulamba jela kwa hii issue, labda kawakuwa BWM ni sehemu ya dola lakini iwapo atajaribu kujibu hili aepuke jazba hasijikute analumbana na familia ya Nyerere wakati si kweli kuwa maneno ya Vicent ni tamko la hiyo familia.
 
Mkapa, umefanya maovu mengi mno kwa taifa hili la Tz!
1. Umeiba rasilimali za nchi ulizopewa uwe kama mdhamini na mtunza hazina wetu, ukajimilikisha madini na kufungua biashara Ikulu wewe mkeo na watoto wako
2. Mkapa alifanya mauaji kwa wananchi wa Pemba na Unguja Mwaka 2000 kwa maslahi madogo ya kisiasa na kutojali roho za watu. Zaidi ya hapo hakuna aliyewajibishwa na kwa dharau aliwapandisha vyeo wauaji

3. Mkapa aliua waandamanaji wa Kiislam pale mwembe chai
4. Mkapa alimtuma mramba awaambie wale nyasi ili yeye anunue ndege ya kifahari ili aishi maisha ya kifalme huku watanzania wakifa kwa njaa!
5. Mkapa aliuza nyumba za serikali ambazo zilijengwa kwa jasho la wakulima, wafanya biashara na wafanyakazi, kwa watu wachache!
6. Hili la kumuua Mwalim ni moja tu ya ukatili na roho mbaya yake kwa taifa la tz

Huyu Mzee wa Lupaso lazima afunguliwe mashitaka kwa kumuua baba wa taifa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom