Mkapa kujibu tuhuma mbele ya waandishi wa habari

Status
Not open for further replies.
atajuta kwenda Arumeru,ule mzimu uliotaka kumzuia asiende angeusikiliza yasingemkuta haya
 
Atoe nafasi waandishi wamuulize maswali na asipanic,vicent nyerere simamia ukweli usiogope ni wazi mtaani tunajua nyerere kauliwa na BMW vielezo vyote vinaonekana kwa kua wewe ni member wa familia ongea na mama maria asihojiwe na chombo chochote cha habari kuhusiana na hyo issue chagueni mtu m1 wa familia ndio awe msemaji wa hio issue!!
 
If that is true Kumbe naye mjinga sasa atahama kutoa sera hadi kutoa porojo. I thoughout He was intelligent but he seems not that way
 
Hana huo ubavu.
kama atafanya hivo ujue amewasiliana na mama Maria nyerere, na tutarajie tamko linalo msafisha Nkapa kutoka kwny familia ya Jkn, otherwise atakaa kimya!. Afu pia kuitisha kikao na waandishi kunaweza sababisha cdm kuzidi kuyashadadia makosaya ya awali
 
Mkapa alifanya makosa makubwa kwenda Arumeru na kuongelea mambo ya ukoo wa watu! Yeye ni msemaji wa ukoo wa Nyerere? Mkapa anamfahamu Josephat Kiboko Nyerere? Na ni nani alimwambia kuwa Vicent Nyerere sio mwanafamilia ya Nyerere? Ni Josephat - baba mzazi wa Vicent?

Kilimshinda nini Mkapa kutumia muda wake Arumeru kwa kunadi sera NZURI za chama chake bila ya kulumbana ukoo wa watu?
 
anyway ngoja tusubili but si nasikia alikuwa na LEUKEMIA?? maybe kuna behind the scene maana hata watu mkiona wanagoma sio tu wanatafuta maslahi ya watu wengi but kunakuwa na kitu nyuma yake
 
Mkapa ndiye muuaji wa Nyerere,kamwe hawezi kuongea na waandishi wa habari kuhusu hilo anajua ndio utakuwa mwanzo wa matatizo mazito

Amelianzisha analo hilo!!!
Haya maneno yanaweza kuwa na ukweli ndani yake kwa asilimia 80-90! Maana kama Mwalimu alimpendekeza Mkapa kuwa Rais kwa kumpigia debe kuwa ni Mr. Clean LAKINI HAMADI AKAMGEUKA MWALIMU KWA KUWA FISADI NA MUUZA NCHI BILA SHAKA lazima alikuwa na kila sababu ya kumwondolea mbali Mwalimu mwaka 1999. Mkapa kama binadamu alikuwa anajua kabisa kuwa UCHAGUZI WA MWAKA 2000 ASINGEPATA NAFASI HIYO YA KIPINDI CHA PILI KWA UOZA ALIOKUWA AMEANZA KUUFANYA NA MWALIMU AKIUONA.

Lazima Marehemu Nyerere angelimwekea pingamizi kuingia 2nd term yake kama alivyowazuia kina Lowassa na Malecela.Mkapa aliliona hili na ndiyo maana alifanya namna ya kummaliza kwa kutumia janja hiyo ya ugonjwa ambao hatuna hakika kama kweli ilikuwa ni mapenzi ya Mungu au MKONO WA MTU(Mkapa + Mwakyusa).

Tusubiri tuone hatima ya movie hii tamu.
 
BWM ANATEGEMEA KUTOA POVU MCHANA HUU PALE HABARI MBELE YA WAANDISHi WA HABARI KUTOKANA NA TUHUMA ZA KUMUUA JKN

source OFISI YA BWM

Mchungeni sana BWM ni wa hatari sana na sisiemu lake hawa ndio watakaoanzisha kumwagika kwa damu Tanzania hii. Hii taarifa na amini ni ya kweli na nimwanzo wa cheche hatari. Maskini na wapenzi wa Mwalimu wanaweza kureact vibaya. Subirii tuone
 
Moto umewaka sasa!tutayajua mengi zaidi,ila asisahau na mambo ya Kiwira,ubinafsishaji na nyumba za serikali
 
Benjamen kaua watu wengi zaidi ya huyo mmoja kiuchumi,kwa njaa baada ya kugawa mashirika yoote kwa bei ya unga wa dona na migodi kwa mrahaba wa 3% bila kuhesabu waliofukiwa Nyamongo,wachilia mbali mambo ya Imrani,waandamanaji wa Zanzibar
Hana majibu yoyote ya maana atakoyotoa labda aende huko kwao Nanyumbu
 
Aje atujibu,
  1. Tofali la dhahabu liko wapi?
  2. Kiwira kwa nini aliitafuna ikaisha?
  3. Kwa nini huwa anapanic akiwa jukwaani au ni kutokana na makosa lukuki aliyonayo? Katika hili asisingizie akili za panya kwani hata sisi tunakula panya...
  4. EPA, Kagoda, Meremeta
  5. Kwanini alibinafsisha ma- bank?
  6. Kwa nini anajifanya msemaji wa familia ya mwalimu?
  7. .....
 
sipati picha jinsi alivyovimba huko...anatamani ingekua ndo enzi zake yupo madarakani pangechimbika.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom