Mkapa kufungua kampeni Arumeru ni dalili CCM ya sasa haina mtu safi

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
5,182
2,304
Habari kwamba CCM inamtumia rais wa awamu ya tatu Ben Mkapa kuzindua kampeni zake za ubunge jimbo la Arumeru ni dalili kwamba JK hana confidence ya kukubalika kama atasimama. Kama CCM ina confidence na uongozi wake basi ingeleta viongozi waliopo na si wale waliopita wakaacha some legacy. Naomba CHADEMA itumie udhaifu huu ambao CCM imeuonyesha wenyewe kama silaha ya kuimaliza kwenye jimbo la Arumeru. CHADEMA itatumia viongozi wake wa kitaifa kufungua kampeni kuonyesha kwamba hawana doa ila CCM inaogopa na inataka kuwafanyia watu wa Arumeru kiini macho cha kumleta Mkpa kumwingiza Sumari kwenye serikali ambayo tayari ni NI CORRUPT NA FAILURE.
Mtu akichafuka hasafishiki kama CCM na akitaka kuomba kitu mahali hathubutu kwenda mwenyewe kuhofia kejeli na zomea zomea na pia kuogopa kuulizwa maswali kuhusu udanganyifu, wizi na mambo mabaya ambayo anafanya. CCM imefikia hapo na ili kuficha uchi na aibu inatumia viongozi wastaafu. HII NI AIBU NA WANA ARUMERU WANATAKIWA WAFAHAMU ILI NA WAWAPE ADHABU YA KUWADHALILISHA KUPITIA SANDUKU LA KURA

Pia kumleta Mwigulu Mchemba kuwa mratibu wa kampeni za CCM ni kuwadharau wana Arumeru kwani kama huyu MZINZI ndiye aliyeonekana anafaa kuja kumpigia kijana wao kampeni basi wana Arumeru wameshapewa majibu kwamba CCM ina wa sanifu Wana Arumeru inabidi wame makini na wake zao mchemba anapokuwa humo jimboni wakijua kabisa kilichompeleka kule ni pamoja na ku abuse na hilo ni li pepo la CCM
 
We unaangaika nini ? Na wewe sio ccm ? Hii ni dalili ya kuogopa . Tulia kijana.
 
Kusema ukweli ndiyo kuogopa? Mtu aliyejimilikisha migodi kifisadi na mikataba ya kijinga mimi ameingia kipindi chake halafu leo tena baada ya kuzidiwa kisera na CDM ndiyo mnamuona muokozi wakati mlishamuweka pembeni.
 
Kwanza huyo Mkapa siku hizi kawaida yake katika mikutano ni kuunyaka kisawasawa kwanza. Anaondoa aibu mbele ya Watz jinsi alivyowahujumu katika EPA, Deep Green, radar, kuuza nyumba za serikali na kujimilikisha mgodi.

Mkapa sasa hivi kafikia level ya kukubali kila kitu aambiwacho na CCM kufanya ili kupata ulinzi asije kupandishwa kizimbani.

CDM ingefaa wammalize fisadi huyu huko Arumeru.
 
Kusema ukweli ndiyo kuogopa? Mtu aliyejimilikisha migodi kifisadi na mikataba ya kijinga mimi ameingia kipindi chake halafu leo tena baada ya kuzidiwa kisera na CDM ndiyo mnamuona muokozi wakati mlishamuweka pembeni.

Apewe Marando na Lissu kummaliza huyon huko Arumeru. Sasa hivi Mkapa kabanwa ma***** na akina Nape hawezi kufurukuta, atafata kila agizo. Huyu mahala pake ni jela tu.
 
Mh mkapa unaenda
arumeru! Watakuzomea wewe! Kule ni kaskazini siyo igunga.
Alafu wewe si msafi!
 
kwa jinsi hali ya nchi ilivyo kwa sasa chini ya JK wananchi wanaona at least wakati wa Mkapa even ccm know that kwa hiyo kumtumia Mkapa ni turufu ya kwao.
 
Habari kwamba CCM inamtumia rais wa awamu ya tatu Ben Mkapa kuzindua kampeni zake za ubunge jimbo la Arumeru ni dalili kwamba JK hana confidence ya kukubalika kama atasimama. Kama CCM ina confidence na uongozi wake basi ingeleta viongozi waliopo na si wale waliopita wakaacha some legacy. Naomba CHADEMA itumie udhaifu huu ambao CCM imeuonyesha wenyewe kama silaha ya kuimaliza kwenye jimbo la Arumeru. CHADEMA itatumia viongozi wake wa kitaifa kufungua kampeni kuonyesha kwamba hawana doa ila CCM inaogopa na inataka kuwafanyia watu wa Arumeru kiini macho cha kumleta Mkpa kumwingiza Sumari kwenye serikali ambayo tayari ni NI CORRUPT NA FAILURE.
Mtu akichafuka hasafishiki kama CCM na akitaka kuomba kitu mahali hathubutu kwenda mwenyewe kuhofia kejeli na zomea zomea na pia kuogopa kuulizwa maswali kuhusu udanganyifu, wizi na mambo mabaya ambayo anafanya. CCM imefikia hapo na ili kuficha uchi na aibu inatumia viongozi wastaafu. HII NI AIBU NA WANA ARUMERU WANATAKIWA WAFAHAMU ILI NA WAWAPE ADHABU YA KUWADHALILISHA KUPITIA SANDUKU LA KURA

Pia kumleta Mwigulu Mchemba kuwa mratibu wa kampeni za CCM ni kuwadharau wana Arumeru kwani kama huyu MZINZI ndiye aliyeonekana anafaa kuja kumpigia kijana wao kampeni basi wana Arumeru wameshapewa majibu kwamba CCM ina wa sanifu Wana Arumeru inabidi wame makini na wake zao mchemba anapokuwa humo jimboni wakijua kabisa kilichompeleka kule ni pamoja na ku abuse na hilo ni li pepo la CCM

wanafikiri kumtumia yeye igunga na kulitwaa jimbo basi popote pale atakuwa na uwezo wa kuwashawishi wahusika kuwapatia magamba kura? Pole ben na pole magamba kwani arumeru na igunga ni sehemu 2 tofauti na wanauelewa tofauti na anguko la ccm linaonekana dhahiri
 
Natumaini wanaArumeru watamwimbia wimbo unaomfaa: Fisadiiii...... Fisadiiii...... Fisadiiii......
 
Wanajua wangemwambia malecela angekataa kwani ni juzi tu waliwapiga chini wazee wastaafu ili wawe washauri tu. Leo wanataka washauri ndiyo wawe mstari wa mbele...ukweli ni kuwa mzee huyu ana nafuu mbele ya wana magamba...ukishaona hivyo basi ujue mwisho umekaribia. Mkapa akatae? Akipelekwa mahakamani? Ni heri ya lawama kuliko fedheha kwa babu wa watu. Kila akikaa anaiota cdm kuwa isipate mbunge mwingine maana akipatikana mwingine ni tatizo kwa serikali iliyopo inayowalinda wezi
 
cdm mbn mnaogopa hv jaman?mkapa ndo kbko yenu,kama mlifikiri ni mteremko imekula kwenu,mkapa anaheshmika ndan na nje ya nchi,cdm achen kutapatapa,ushnd tayar n wa ccm
 
Atueleze kwa nini aliuza viwanda na ma benki kwa bei ya kutupa huku vijana hawana pa kwenda
 
Habari kwamba CCM inamtumia rais wa awamu ya tatu Ben Mkapa kuzindua kampeni zake za ubunge jimbo la Arumeru ni dalili kwamba JK hana confidence ya kukubalika kama atasimama. Kama CCM ina confidence na uongozi wake basi ingeleta viongozi waliopo na si wale waliopita wakaacha some legacy. Naomba CHADEMA itumie udhaifu huu ambao CCM imeuonyesha wenyewe kama silaha ya kuimaliza kwenye jimbo la Arumeru. CHADEMA itatumia viongozi wake wa kitaifa kufungua kampeni kuonyesha kwamba hawana doa ila CCM inaogopa na inataka kuwafanyia watu wa Arumeru kiini macho cha kumleta Mkpa kumwingiza Sumari kwenye serikali ambayo tayari ni NI CORRUPT NA FAILURE.
Mtu akichafuka hasafishiki kama CCM na akitaka kuomba kitu mahali hathubutu kwenda mwenyewe kuhofia kejeli na zomea zomea na pia kuogopa kuulizwa maswali kuhusu udanganyifu, wizi na mambo mabaya ambayo anafanya. CCM imefikia hapo na ili kuficha uchi na aibu inatumia viongozi wastaafu. HII NI AIBU NA WANA ARUMERU WANATAKIWA WAFAHAMU ILI NA WAWAPE ADHABU YA KUWADHALILISHA KUPITIA SANDUKU LA KURA

Pia kumleta Mwigulu Mchemba kuwa mratibu wa kampeni za CCM ni kuwadharau wana Arumeru kwani kama huyu MZINZI ndiye aliyeonekana anafaa kuja kumpigia kijana wao kampeni basi wana Arumeru wameshapewa majibu kwamba CCM ina wa sanifu Wana Arumeru inabidi wame makini na wake zao mchemba anapokuwa humo jimboni wakijua kabisa kilichompeleka kule ni pamoja na ku abuse na hilo ni li pepo la CCM
Sidhani kama kuna tatizo kwa Chama chochote kutumia wazee wake, labda kama chama hicho kina sera ya kuwanyanyapaa wazee hao. Siyo mara ya kwanza kwa Mkapa kuzindua kampeni za chaguzi ndogo na mara zote CCM wamekuwa wakiibuka washindi.
 
naipongeza cc-ccm kumteua mzee mkapa kufungua kampen arumeru na kufunga,haya ya ufisadi mliandika sana igunga lakn mkaambulia patupu,wananch hawadanganyki kuhus chuk zenu dhidi ya mkapa,wamajua kpnd chake cha miaka kumi alwafanyia nn?cdm hkuktapatapa kwen mnaonyesha kupwaya kwnye duru za kisiasa,watanzania tnakuombea maisha marefu na mema mzee wetu mkapa
 
je nahuyo NAPE ATAKUWEPO au kama igunga kapigwa marufuku mie nauliza tu????????????????:shock:
 
Akikanyaga Arumeru, awe ameandaa hela zote za Rada na malipo ya Mchuchuma...! Watanzania wamemvumilia ya kutosha na sasa anasahau kuwa anatakiwa kusimama kizimbani kama alivyotajwa na Serious Fraud Office (SFO) ya Uingereza! Serikali ndio inamlea, bado anaendelea kutukumbusha kuwa anatakiwa kusimama kizimbani! Wana-Arumeru watampa majibu na siku ya hukumu yake itatajwa katika kampeni zitakapoanza! Tusikilizie!
 
wacheni shemeji yangu,mlitaka awe msafi katikati ya wachafu?au mlifikiri yeye ni kuku wa kuogea vumbi?
 
Back
Top Bottom