Mkapa 'Atoroka' Sherehe za muungano.

You can't put Nyerere and Mkapa on the same scale. Something happened on the way to heaven. Looks like Mkapa was hit with bug, a virus of sort that completely threw him off-balance.

Nyerere trusted Mkapa, hoping that his "smartness" coupled with the supposed mentoship he garnered under Mwalimu's leadership would steer Tanzania to some sizeable progress.

But as it turns out, Mkapa was looking forward to the demise of the old man. The departure of JKN saw the revelation of the true BWM.

History is already in the making, BWM might go down as the worst nightmare Tanzania ever had.

Besides the policies under JKN which many are trying to fault with no success, Mwalimu managed to safeguard resources while slowly building capacity for the indigenous to benefit.

BWM used his "smartness" to do exactly the opposite. Fool the citizenry with petty developments and a smokescreen economy, and squander the country big-time.

Nyerere was a Statesman. Mkapa is a Thief. One of the Terms of reference for a president is to facilitate development and raise the economy, so this is no news if he did something. Stealing is against the Law, and he did that, plus the issue of Leadership Ethics, let the Law take its toll.
 
Kwani zile pesa za TANPOWER na Kiwira achia mbali za ANBEN anaziweka chini ya Gogoro, kama hivyo hakuna ushahidi. Lkn kama zipo bank hizo account wazifreeze kwani ni mali ya wananchi na sio mali ya Mkapa. Ukimkamata mwizi anakurudishia kilicho chako.
 
Nafikiri wewe utakuwa na matatizo hivi mkapa atoroke nje ya nchi ni kwa sababu gani na hiyo account unayotaka waifreez unauhakika kuwa hizo tuhuma zinazotolewa kwake ni za kweli? toa ushahidi wako na sisi tupate faida

Mzee nimeamua kukujibu kwakua nimeangalia nikaona u ngeni maana una vipost kama 10 hivi.Na nikaenda mabali kidogo kuhusu huo ugeni wako pengine wewe mgeni hapa TZ sio humu JF tu.

Mkapa yule Rais wa awamu ya 3 alieingia kwa ticket ya u clean na kutoka na shutmuma nyingi pale ikulu. Mkapa huyu ukiachilia mbali kugawa benki zetu NMB na NBC pamoja na majengo yake bure kwa weupe, mikataba yenye kuinyonya Tanzania achilia mbali kugawiana nyumba za serikali, Mkapa huyu huyu mzee wa Lushoto alijiuzia mgodi wa makaa ya mawe wa Kiwira coal mining kwa bei ya mil 700 na mpaka sasa amelipa down payment ya mil 70 yaani 10% ya bei waliojipangia wenyewe.

Mgodi wa kiwira ulikuwa chini ya Serikali Serikali ya China ilisaidia kufund mradi ule miaka ya mwisho ya 80. China ilitumia USD 4 million wakati wakati huo Dola ilikuwa sh 12 za tanzania. Mkapa amekuja kujiuzi kwa mil 700 ukipiga hesabu utaona kuwa wamejichukulia tu kama ule usemi wao maarufu wa CCM "tumechukua tumeweka waa" Na hiyo kampuni yake na yona inazalisha megawati 2 inaziuza kwa Tanesco na kina mkapa wanalipwa sh mil 142 kwa siku kama capacity charges!!! mtajifanya hamjui??!!
Inabidi aurudishe ule mgodi! tu u value upwa dola mil 4 mara 1235 (rate ya sasa) then tutafute atakae weza kuununua akikosekana na ufungwe kwani yale makaa hayaozi!

Mkapa na Richmond hawana tofauti ila wenzao wameshitukiwa mapema kutokana na ubabaishaji mwingi na makeke wangetulia kama Mkapa wangekula capacity charges zao kiulaini bila kuguswa!

Richomond ilianzishwa kumpiku Mkapa walipo feli wameona bora wamchokonoe na mzee "ukimwaga ugali tunamwaga mboga"

Habari ndio hiyoo
 
Kwani zile pesa za TANPOWER na Kiwira achia mbali za ANBEN anaziweka chini ya Gogoro, kama hivyo hakuna ushahidi. Lkn kama zipo bank hizo account wazifreeze kwani ni mali ya wananchi na sio mali ya Mkapa. Ukimkamata mwizi anakurudishia kilicho chako.

No no nooo mama ukimkamata mwizi unamchoma moto ila akikamatwa fisadi anaambiwa arudishe alizochukua!
 
No no nooo mama ukimkamata mwizi unamchoma moto ila akikamatwa fisadi anaambiwa arudishe alizochukua!

Kwa hiyo fisadi akisharudi mali yetu basi tumwache tu. Mbona kila kiongozi atachukua chake aondoke. Inabidi hawa wawajibishwe wawe mfano wa kuigwa kwa vizazi vya sasa na vijavyo, vinginevyo tutakuwa tunampigia mbuzi gitaa.
 
Mama upo dunia gani?ofcourse ukirudisha na mambo yameisha kama upo madarakani hutakiwi hata kurudisha unajuzulu basi mchezo umekwisha. "Wakubwa wanaaidi wadogo tunapigwa na baridi" mama usiniambie hulijui hili.
 
Hilo nalijua lkn mwisho wake umefika sasa kwanba magereza iwe kwa kila muhalifu au kigogo ama la. Hao wakubwa nao wataionja segerea nao wapoteze uhuru wao (vimwana na pombe). Hii itasaidia pia kuboresha huduma katika magereza.

BTW Sokomoko bado nipo hapa duniani kwani tayari kuna binadamu wameanza kuhamia Mars?
 
..siku hizi amehama sea view...anaishi masaki na mostly lushoto....

tunaye rais mstaafu aliyefanya kazi kubwa kujenga uchumi...lakini yupo kati kati ya kashfa....

na tunaye rais anayetusaidia kujua upande wa pili wa shilingi wa mkapa tuliyemsifu sana ...lakini yeye akiwa hana analofanya kukuza uchumi zaidi ya kuudidimiza ...

historia itakuja kuwapa nafasi gani hawa wawili??

PM bwana Mkapa hajakuza uchumi wetu labda tumbo lake tu.
kwa kauli yako ina maana mafile ya Mkapa anayeyafungua ni JK? Sio wapinzani.

ubadhirifu wa Mkapa ulikuwa wazi na unajulikana kila kona sioni sababu ya kumuhusisha JK kwa ujinga wake Mwenyewe Mkapa.
 
Serikali yenyewe buzi hii hata ningekuwa mimi ningejitenga nayo!Brother Ben anakula good time saa hivi kasema kurupushani za siasa hataki wewe mtoa hoja unakuwa kama mbea yaani hujaona hoja ya maana ya kuanzisha unaongelea kutokuja kwa mtu kwenye sherehe.Angekuja ingeongeza nini au kutokuja kwake hasara gani tumepata?
Unajua wewe pia unalikosema taifa lako na vizazi vyako vijazo !Unatakiwa u play your part kama mwanainchi kuhakikisha unazuia maovu na kutoa masuhurisho ya matatizo na kufanya kazi kwa bidii bila kusahau kuchagua viongazi bora ili uwe na imani na kodi yako inatumika vema.
Ila acha kupoteza muda kujadili non sense,kama una data za kutosha mwaga hapa ila zilizopo za brother Ben hazitoshi kumuona muovu mpaka zitazotoka zilizo jificha kama zipo.Mtufunulie hizo if any!.
unapokuwa rais mstaafu bado kuna mambo ya Taifa lazima uyafanye hadi unakufa. ni jambo la muhimu na wajibu kwake kuwepo kwenye sherehe kama hizo.
Ben ni muovu mkubwa ktk Taifa letu
 
Nafikiri wewe utakuwa na matatizo hivi mkapa atoroke nje ya nchi ni kwa sababu gani na hiyo account unayotaka waifreez unauhakika kuwa hizo tuhuma zinazotolewa kwake ni za kweli? toa ushahidi wako na sisi tupate faida
Ama kweli dunia ina mambo hujui Mkapa kama anatuhuma nzito na za kweli, nenda BRELA wasajili wa makapuni liko jina lake kinyume na katiba yetu.
vipi ni shemeji yako au umekula ten percent ya kiwira?
Hakosheki Mkapa hata kwa dodoki na ananuka kuliko donda ndugu.
 
Waungwana,
Inasemekana BWM yuko Ghana kikazi, lakini wanasema hana raha anaesema eti wabunge wameishiwa hoja
 
Heshima mbele Wakuu huyu Bwana kama angeongezewa miaka hata miwili ingekuwa balaa angeimaliza inji hii bora walijuwa mapema kuwawekea mwisho miaka mitano angeuza kila kitu lazima ashitakiwe
 
Ama kweli dunia ina mambo hujui Mkapa kama anatuhuma nzito na za kweli, nenda BRELA wasajili wa makapuni liko jina lake kinyume na katiba yetu.
vipi ni shemeji yako au umekula ten percent ya kiwira?
Hakosheki Mkapa hata kwa dodoki na ananuka kuliko donda ndugu.

Inaonekana Mkapa alifanya alichofanya Mwinyi kama vile Kikwete anavyofanya alichofanya Mkapa - anza na Buzwagi na Richmonduli
 
Back
Top Bottom