Mkapa atoa pole kwa balozi mstaafu daraja

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,298
33,083
pix.gif

Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, akishuka kwenye gari nyumbani kwa balozi mstaafu, Andrew Mhando Daraja, huko Kimara Temboni jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumpa pole kwa kufiwa na mkewe marehemu Bi Anna Daraja.


Mkapa akisalimiana na baadhi ya maofisa wastaafu majira ya saa 10 adhuhuri leo. Kushoto kwake, mwenye kandambili, ni Balozi Daraja aliyefiwa na mkewe.


Mkapa akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa balozi huyo.


Mkapa akiwa ameketi kwenye kochi na maofisa wengine waandamizi akipewa taarifa na balozi kuhusu msiba wa mkewe.
 
Nami naungana na Mhe. Mkapa kumpa pole Balozi Daraja kwa kifo cha mkewe mpendwa. Hakika ni mauaji ya kutisha sana na ya kuhuzunisha pia. Hope waliofanya hivyo watakamatwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria
 
Back
Top Bottom