Mkapa aomba suluhu kwa Nyerere

HAKUSEMA familia ja JKN Alisema familia ya Nyerere na kwa maana hiyo yako hata Akina Madaraka sio familia ya Nyerere pia....
Asichofahamu huyo Pimbi ni kwamba Baba wa Taifa jina lake lilikuwa ni Julius, sasa ukiingiza jina Nyerere linajumuisha wote waliozaliwa na Mzee Nyerere, Mkapa angekuwa sahihi kama angesema Vicent sio mtoto wa Julius kambarage Nyerere, lakini hata kama angesema hivyo hili lina tija gani kwa wana Arumeru ambao wameporwa ardhi zao? hukumu ya CCM ni kuwanyima kura tu basi.
 
Nawashauri CDM waachane na hili swala la Nyerere wpige kampeni. Linawa derail kwenye hoja ya msingi ya ardhi elimu na ajira. Ole Sendeka ameshawasaidia vijana wangapi ajira kutoka katika jimbo lake. Unemployment kule ni 100 percent, leo hii anajisai kuwa atamsaidia Siyo-hii? CDM tumieni data kujibu mapigo ya hawa CCM

To the best of my knowledge suala hilo kwa upande wa CDM limekwisha, sasa ni ku weweseka tu kwa magamba.
 
Mwenzake mzee wa ruksa toka apigwe kibao anafikiri sana kabla ya kuropoka,sasa huyu mzee kipara sijui anatoa wap ujasiri karne hii ya "nguvu ya umma"
 
Haya matatizo ya kunyamazia ubaya, Ben alijua waliosuka mpango na kumuua JKN lakini aliamua kunyamaza sasa wamemjumuisha kama muuaji namba 2.
 
yaani kila nikikutana na sentensi inayosema MKAPA ALIMUUA NYERERE,mwili unaishiwa nguvu na machozi yanakaribia kunitoka.Huyu fisadi yafaa atwambie ukweli wa mambo maana tulimpenda sana baba yetu.
 
My Take:
Mkapa anaendaje kwa mama Maria wakati alisema Vincent sio Ukoo huo(kumbe Mzee Muongo?)

kwani alitaka amjue Vincent in advance, alikuwa na mpango wa kwenda kuoa kwenye ukoo wa Nyerere? Akili ya kuelekea kaburi ni hiyo ya huyo kibabu Nkapa, bhaaaaaaaa!
 
Back
Top Bottom