Mkapa amkaanga Kikwete

kijana hujui unalosema unakurupuka tu........

Huhitaji akili nyingi kujua nani ni mkurupukaji kati yetu. Kama ulifuatilia kesi ile vizuri utajua kwamba kinachofanyika sasa hivi ni kuinyonga haki na dhana ya kwamba wakubwa hawastahili kwenda jela! Kama ungekuwepo pale IFM (mimi nilikuwepo) wakati wa video evidence ambayo Marando aliipinga sana (bila mafanikio) ungejua kwamba nchi hii ilipaswa kugeuka kuwa China kwa muda na kumtia adabu Mahalu. Yule muuzaji wa jengo lile alionyesha kushangazwa na Tanzania kuwa na maofisa ambao wanalazimisha kutengeneza mikataba miwili tean mmoja ambao una-inflate bei ya mauzo na huku Mahalu akikiri wazi kwamba alitaka kujipatia kitu. Na kwa nini ilielekezwa fedha hizo za malipo ziingie kwenye akaunti binafsi ya Mahalu. Fungua macho! Usiingie kwenye mkumbo wa watu ambao wana chuki binafsi na rais na kubeza hata yale ambayo yanafanyika kuwasaidia watanzania. Kwa mwenendo huu hakika kuna haja ya kutangaza wazi kwamba kila aliye na dhamana ya mali au rasilimali za umma sasa ajichukulie tu! Hivi mnadhani Mahalu ni malaika? Ulizeni mtaambiwa. Jiulize kwa nini imechukua miaka hataki kujitetea kama hana hatia na ana utetezi wa nguvu? Hivi tutabadilika lini na kuweka maslahi ya taifa mbele? Kama Kikwete ni mtu wa bifu basi angemwadhibu Prof. Mwandosya. Mbona wanapiga kazi pamoja tena bila matatizo? Acheni kulishwa sumu na huku mnachekelea!
 
nilikuwepo IFM na ninajua chanzo cha kesi hii....na ndio maana mkapa ametoa ushahidi huo aliotoa.....kwa kifupi ni kwamba Mahalu anashinda kesi hii....mark this post
 
- Ha! ha! ha! ha! Mipasho? ha! ha! ha! ha! familia za wezi na matapeli bwana ha! ha! ha! ni kwenye damu kumbe!

Es!

Mkuu nadhani hujanielewa nilikuwa na maanisha nini, ungekuwa umenielewa usingeni jibu hivi, la msingi hapa ni kuchambua kilichomo ndani na ukweli wake badala ya kuitana majina ya ajabu ajabu
 
we mpopo amwamdhibu mwandosya kwa lipi? kwa upande wa mahalu jk ana chuki binafsi......kwa hiyo unataka kusema mkapa kasema uongo kwenye ushahidi wake?
 
nilikuwepo IFM na ninajua chanzo cha kesi hii....na ndio maana mkapa ametoa ushahidi huo aliotoa.....kwa kifupi ni kwamba Mahalu anashinda kesi hii....mark this post

- Mahalu hawezi kushinda hii kesi, na akishinda ni uoga wa wasimamizi wa sheria na sio CCM wala Rais, maana ukweli upo wazi kwamba hapa kuna wizi umefanyika, ndio haya tunasema kila wakati kwamba waoga ni sisi wenyewe watendaji wa level za chini, halafu baadaye tunalilia Rais na CCM!

- Sasa Marando naye si tulisema kwamba alikuwa kila siku kushinda kwenye ndege ya Rais Mkapa sasa ndio wakati wa kulipia zile fadhila, huku alikilia mafisadi kwenye Chadema! ha! ha! hili taifa bwana!

Es!
 
nilikuwepo IFM na ninajua chanzo cha kesi hii....na ndio maana mkapa ametoa ushahidi huo aliotoa.....kwa kifupi ni kwamba Mahalu anashinda kesi hii....mark this post

Inawezekana wewe una uhakika na matokeo ya kesi hii na mimi sijali uamuzi wa kesi utakuwaje na maana kwa waumini wa utawala wa sheria, maamuzi ya kesi yanaweza kuwa kushinda au kushindwa na hakuna tatizo. Lakini unapoona mtu anatumia njia haramu kutafuata ushindi wenye akili hujiuliza kulikoni? Mtu ambaye amesingiziwa hutulia na kupambana ili hatimaye aufanye umma upambanue pumba na mchele. Hizi gimmicks zinazochezwa humu zinatupa fundisho moja tu, kwamba huyu bwana ana hatia lakini anatumia udhaifu wa mfumo wetu wa utoaji haki, pamoja na kuwatumia lords of impunity kununua uhuru. Kama ungekuwepo IFM usingekuwa na feelings hizi ulizo nazo maana hata Marando mwenyewe siku ile alisikika akisema "this is a kick in my client's teeth". Alimaanisha nini?
 
Mkuu nadhani hujanielewa nilikuwa na maanisha nini, ungekuwa umenielewa usingeni jibu hivi, la msingi hapa ni kuchambua kilichomo ndani na ukweli wake badala ya kuitana majina ya ajabu ajabu

- Karibu sana mkuu, nimekwambia anytime unapohitaji taarabu karibu sana, ninazo kibao on you! ha! ah! ha! ha! ha! vipi kwenye ule mkutano utakuja tena kwa mgongo wa Professor? ha! ha! ha! ha!

Es!
 
Akimwelezea Mahalu katika utetezi wake, Mkapa alidai katika kipindi chote alichokuwa Rais wa nchi alifanya kazi na mshtakiwa huyo katika nyadhifa mbalimbali za utumishi wa umma na kwamba mshtakiwa huyo ni mtu wa tabia njema, mkweli, mwaminifu na mchapaji kazi.

Mkapa anahitimisha utetezi wake kwa kueleza kuwa kutokana na mwenendo huo wa kutukuka, Rais wa Italia alimpatia moja ya tuzo za heshima yenye hadhi ya juu kabisa ya taifa hilo Profesa Mahalu, muda mrefu baada ya balozi huyo kuwa ameshaondoka nchini humo.

Katika huo utetezi wa Mkapa sioni mahala ambapo anasema huyo mheshimiwa Mahalu ahusiki na tuhuma zinazomkabili.

Zaidi ni kwamba yeye ni swahiba wake wa siku nyingi na anamfahamu kama mtu mwema lakini watu hubadilika!!!

Anamaanisha wale wazungu waliotoa ushahidi ni waongo?? wamepikwa??

Hapo naona Mahalu maji yashazidi unga!!!

we mpopo amwamdhibu mwandosya kwa lipi? kwa upande wa mahalu jk ana chuki binafsi......kwa hiyo unataka kusema mkapa kasema uongo kwenye ushahidi wake?

Namwadhibu Mwandosya kwa lipi? Nimekutolea mfano wa mtu ambaye kutofautiana kwake na JK huko nyuma ni well documented na bado alimteua kuwa waziri and they are getting along quite nicely. Hakuna yeyote aliyejaribu kuja na maelezo thabiti ya hicho kinachoitwa chuki binafsi na ni kwa namna gani hiyo ingeweza kupelekea kuwa na kesi hiyo. Are you saying kwamba alichofanya Mahalu ni sahihi hata machoni mwa mtu ambaye hajagombana naye? Hivi wapelelezi na waendesha mashtaka wangejiaibisha kwenda mahakamani kwa kesi ya kutunga? Kwa taarifa yako DPP huyu amekuwa akirudisha mafaili mengi ambayo hayana ushahidi hata kama kesi hizo zinahusisha wakubwa (in the sense kwamba wakubwa wangetaka hatua zichukuliwe). Sasa wewe unashangaa Mkapa kusema uongo kwani yeye ni malaika. Ni ajabu mtu kusema uongo hasa anapokuwa ana maslahi na kitu anachokisemea? Wewe mwenyewe umekiri kwamba Mkapa ni rafiki mkubwa wa Mahalu, sasa kuna ajabu gani "kuwekeza" kwa ajili ya urafiki?
 
Inawezekana wewe una uhakika na matokeo ya kesi hii na mimi sijali uamuzi wa kesi utakuwaje na maana kwa waumini wa utawala wa sheria, maamuzi ya kesi yanaweza kuwa kushinda au kushindwa na hakuna tatizo. Lakini unapoona mtu anatumia njia haramu kutafuata ushindi wenye akili hujiuliza kulikoni? Mtu ambaye amesingiziwa hutulia na kupambana ili hatimaye aufanye umma upambanue pumba na mchele. Hizi gimmicks zinazochezwa humu zinatupa fundisho moja tu, kwamba huyu bwana ana hatia lakini anatumia udhaifu wa mfumo wetu wa utoaji haki, pamoja na kuwatumia lords of impunity kununua uhuru. Kama ungekuwepo IFM usingekuwa na feelings hizi ulizo nazo maana hata Marando mwenyewe siku ile alisikika akisema "this is a kick in my client's teeth". Alimaanisha nini?

- Mbopo, Marando ni lazima sasa alipie zile fadhila za kupewa ubunge wa EAC!, hili taifa ni wajinga ndio wali wao!, I mean Mahalu alikuwa Elimu amepeleka ndugu zake karibu wote kusoma nje kwa mgongo wa Serikali huku akiwarudisha wengine wasio na baba vigogo, unafikiri ni kwa nini Mkapa alipotoka Elimu ya juu, wakurugenzi wake wote walipaishwa kwenye nafasi kubwa serikalini? Akiwemo Dr. Bilal kwenda kuwa Waziri Kiongozi?, Sasa ulitegemea kwenye hii kesi Mkapa amkane mtu waliyekua wakipiga deal naye pamoja?

- Kwenye Mahalu JK amekua mstaarabu sana kwa sababu, kesi against Mahalu na ubalozini ni nyingi sana I mean aibu sana kwa tunaojua kwa karibu sana!

Es!
 
You are better than this! Yaani badala ya nyie kushangazwa na kitendo cha Mkapa kujishushia hadhi yake kwa sababu tu ya urafiki, sasa mnamshutumu Kikwete kwa kufanya kitu ambacho asingefanya mngemlaumu. Sisi wengine tunajua kabisa juhudi ambazo Mkapa alizifanya kuhakikisha kwamba Mahalu hashitakiwi kwa sababu tu ya urafiki wao. Lakini ukweli ni kwamba ushahidi uliotolewa mahakamani umemuumbua Mahalu na ndiyo Maana Marando na wenzake walihaha sana kukimbia kila mahakama ili Mahalu asijitetee wakati tayayri kuna uamuzi wa kwamba ana kesi ya kujibu.

Hii affidavit ya Mkapa ilikuwa itumike kuombe Nolle Prosequi lakini Mkurugenzi wa Mashitaka alipokataa ndo sasa wakaamua kuitoa hadharani ili kutafuta public sympathy, na huyu Marando akawa anatamba kwamba sasa wanaandika barua ya kuomba Kikwete akatoe ushahidi halafu wai-leak kwenye press na kweli wakafanya hivyo. Hivi mpaka hapo hamuoni kwamba kuna tatizo hapa. Tena wanaofanya hivyo ndiyo wale wanaojifanya kupambana na ufisadi (Marando akiwa Chadema) na huku akifanya mambo ambayo mengine ni kinyume na maadili ya taaluma yake. Nchi hii ni ya ajabu sana. Mtu akiwa mwizi wa mali ya umma watu wanamuona kama shujaa na kumpongeza. Hivi kuna nini cha kupongeza hapa wakati profesa mzima wa sheria anafanya forgery ya wazi na ya kitoto ili kukomba hazina ya nchi? Halafu nyie hao hao mnapigia kelele ufisadi mwingine wakati huu wa Mahalu mnauchekea!

Ndio maana leo Rais wa Jf M.M Mwanakijiji kawafukuza waislam Chadema, kumbe ukiwa Mkiristo Fisadi unakuwa shujaa
 
Akimwelezea Mahalu katika utetezi wake, Mkapa alidai katika kipindi chote alichokuwa Rais wa nchi alifanya kazi na mshtakiwa huyo katika nyadhifa mbalimbali za utumishi wa umma na kwamba mshtakiwa huyo ni mtu wa tabia njema, mkweli, mwaminifu na mchapaji kazi.

Mkapa anahitimisha utetezi wake kwa kueleza kuwa kutokana na mwenendo huo wa kutukuka, Rais wa Italia alimpatia moja ya tuzo za heshima yenye hadhi ya juu kabisa ya taifa hilo Profesa Mahalu, muda mrefu baada ya balozi huyo kuwa ameshaondoka nchini humo.

Katika huo utetezi wa Mkapa sioni mahala ambapo anasema huyo mheshimiwa Mahalu ahusiki na tuhuma zinazomkabili.

Zaidi ni kwamba yeye ni swahiba wake wa siku nyingi na anamfahamu kama mtu mwema lakini watu hubadilika!!!

Anamaanisha wale wazungu waliotoa ushahidi ni waongo?? wamepikwa??

Hapo naona Mahalu maji yashazidi unga!!!

Hapo umenena mkuu.
 
- Mbopo, Marando ni lazima sasa alipie zile fadhila za kupewa ubunge wa EAC!, hili taifa ni wajinga ndio wali wao!, I mean Mahalu alikuwa Elimu amepeleka ndugu zake karibu wote kusoma nje kwa mgongo wa Serikali huku akiwarudisha wengine wasio na baba vigogo, unafikiri ni kwa nini Mkapa alipotoka Elimu ya juu, wakurugenzi wake wote walipaishwa kwenye nafasi kubwa serikalini? Akiwemo Dr. Bilal kwenda kuwa Waziri Kiongozi?, Sasa ulitegemea kwenye hii kesi Mkapa amkane mtu waliyekua wakipiga deal naye pamoja?

- Kwenye Mahalu JK amekua mstaarabu sana kwa sababu, kesi against Mahalu na ubalozini ni nyingi sana I mean aibu sana kwa tunaojua kwa karibu sana!

Es!

This is incredible lakini kuna watu ni vipofu. Hawaoni hili. They say: "In the abundance of water the fool is thirsty".
 
Back
Top Bottom