Mkapa aliumiza kichwa??

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Naombeni sana maana ya usemi kuumiza kichwa?hivi katika africa kuna kiongozi anaweza umiza kichwa??labda thabo mbeki!!au kuna different type ya kuumiza kichwa????wajameni saidieni
 
Naombeni sana maana ya usemi kuumiza kichwa?hivi katika africa kuna kiongozi anaweza umiza kichwa??labda thabo mbeki!!au kuna different type ya kuumiza kichwa????wajameni saidieni
Thabo Mbeki aliumiza kichwa kwenye maeneo gani dada?

Kagame wa Rwanda anaumiza kichwa sana juu ya nchi yake!...
Akimkamata mtu amekula rushwa anaweza kumpiga makofi ya uso hadi kumjeruhi, na amefanikiwa kusimamia suala la kupunguza matumizi ya juu ya serikali yake, kiasi hakuna wizara au ofisi yoyote andamizi serikalini inayotumia ma-V8 kama ya Bongo!
Nadhani huko ndiko kuumiza kchwa!
 
sasa kuna umuhimu kwa kiongozi wa nchi kuwa muumiza kichwa?
 
Wote wanaumiza vichwa, lakini inategemea anaumiza kichwa kwa ajili ya nani na nini? Kwa mfano wengine wanaumiza vichwa kuibia nchi na watu wake lakini umasikini na hali duni ya maendeleo ya nchi hayawaumizi vichwa. In most cases viongozi wetu wa kiafrica wana jaribu kujenga predatory elite who just use their influence to thieve and amass illegal wealth instead of their skills
 
Back
Top Bottom