Mkapa akikata ishus Davos

good2015,

Hivyo ndivyo viongozi wanavyofikiri hata dakika hii kilio ni hicho hicho na pengine miaka 50 ijayo hotuba zikawa na maudhui yale yale na zikapita harambee kwa mtindo huo huo!!!
 
Chinese,japanese hata nenoi moja la kiingereza hawaongei lakini wazungyu wanakoma nao...Samsung,Toyota etc
 


Wakati wenzake wanacheza chequers yeye anacheza Chess.

Watu wake wanasema kosa lake kubwa lilikuwa kuwasikiliza makada wa CCM in 2000 na matokeo yake wakapata mtu wao ambaye by default amekuwa kama Gorbachev ndani ya Chama cha Kikomunisty in the late 80's na sasa hivi inabidi ku dela na hili zimwi ambalo ngumu kuli contain while tumebakisha siku 6.

Lakini la muhimu zaidi tazama legacy yake. President Mkapa watu wake aliowaweka kwenye key strategic positions ndani na nje ya serikali wako mle mle na wanaendelea kufanya kazi na wengine wanaendelea kupewa nafasi. Na wenye kufahamu utawala wake wanasema pamoja na mapungufu aliyokuwa nayo lakini Ben was the technocrat in Chief ndio maana watu wake walikuwa ni reflection yake.

Lakini it gets even more juicier, Dodoma kwenye kuchagua candidate wa urais, Ben alikuwa na influence zaidni ndani ya CC kuliko current commander in chief (JK) Na mwishowe nadhani mmeona kapita mtu wake. Na ma political analysts wanasema kuwa kama JPM akipita na akashinda then kaeni stand by kuona influence ya Ben kwenye uchaguzi wa Cabinet mpya hivyo kuna possibility kuwa Ben atakuwa amemreplace Mchonga as the most powerful non public man in Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
Magufuli atazungumza lugha gani akienda Davos?

Ila sidhani kama atakuwa anaenda maana yeye ni 'poritician':biggrin1:
 
Hivi ujinga, maradhi na umasikini aliupunguza kwa kiwango gani vile???????????

Watanganyika sisi %kubwa niwapenda Hotuba tam tam zisizo na Impact yoyote nahii pia ndio ameitumia sana JK akisiamama Jukwaani anachekaaa....watu mioyo chwee hadi anaondoka ndio maana wengi wa wanaomponda LOWASA sikwamabaya yake ila hajui kuongea fully upuuzi....
 
Back
Top Bottom